Niko chato ntaenda kwenye mkutano zikiwa zmebaki dk5 mkutano kuisha sababu na jua jamaa ataongea dk2 tu nakuondoka
Labda chato ya lumumba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niko chato ntaenda kwenye mkutano zikiwa zmebaki dk5 mkutano kuisha sababu na jua jamaa ataongea dk2 tu nakuondoka
Nilipita hapo Geita jana mtaa wa soko kuu niliona watu wengi sana wamezingira bango la UKAWA lililokuwa limeandikwa LOWASA TUSAIDIE SISI WACHIMBAJI WADOGOWADOGO. Kwa sasa niko hapa Chato rais anatarajiwa mchana lakini mji umeshazizima. Nimelala Geita pia kulikuwa na mkesha wa Lowasa uwanja wa MAGEREZA.
Mkuu ccm kwisha siku nyingi:
Jamaa yangu usidanganyike mabadiliko kupitia ccm ni ndoto ya mchana kweupe.. mi mwenyewe mwana ccm lakini kura yangu ni kwa lowasa... ikiwa ccm ilifutilia mbali maoni ya wananchi ktk katiba ni dhahiri kwamba ccm haitakuwa/haipo tayari kufanya mabadiliko yatakayoiumiza. Maana ili ufanye mabadiliko ni lazima ccm iumie kwani ccm inauroho wa madaraka sana...na vogogo na watoto wao wachache wa ccm ndio wanaomiliki uchumi wa nchi na raslimali.
<<<<usishangae jamaa yangu ni kwamba watanzania wameamua kwa dhati na kwa ujumla wao kuiadhibu ccm kutokana na mfumo wake wa kulindana na kuongeza maadui 2 zaidi Ufisadi na rushwa.>>> na kimsingi ukitazama kwa makini lowasa kaachia ngazi za kiserikali toka 2007 miaka 8 takribani lakini ufisadi umeongezeka maradufu kumbe tatizo sio lowasa ni mfumo ccm>>>>>>>>
Hali ni tete kwa chama kile cha kijani.......chenye jembe na nyundo!
Mji umesimama?? mkuu acha uongo bwana, watanzania wanapenda maigizo wamekuja kuangalia maigizo ya Ukawa bure, kiingilio miguu yao, kura CCM
.
Hivi yule ni katibu mkuu au ni mwenezi wa hilo lichama?
.
Yaani nchi tumkabidhi fisadi!!hapana haiwezekani
Wapiga Kula? Au Kura? Alipanda ndege au chopa?
Jipange ulete habari ya kueleweka
Labda chato ya lumumba
Picha hazipigi kura, jifunze