Elections 2015 Yaliyojiri Chato: Mkutano wa Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA, Edward Lowassa

Ukitaka kujuwa Magufuli ni mzigo kwa Ccm ni mkutano Lowassa aliofanya Chato leo.
Watu hawamtaki magufuli kila mtu lowassa na mabadiliko.
Ina maana kama Lowassa amepata ushindi mkubwa namna hii nyumbani kwa Pombe nani tena wakumzuia asiingie ikulu.

Nenda Chato,vunja kufuli,ingia ndani kisha mwaga pombe.teh teh teh...
 
Nyie Chato hamuijui.

Kabla ya Magufuli chato kilikuwa kijiji yani bushiiiii. Ktk Wilaya zote Tanzania Chato ndo imepiga hatua kutoka kijiji hadi muonekano muonekano kwa kasi mno. Alichofanya Magufuli hadi mnayoiona hiyo chato ya leo kafanya kazi kubwaaaa mnoooooooooooo

kwa hiyo kama kilikuwa kujiji ndio kikose maji????
 
Mwogope Mungu wewe eti watu hawamtaki magufuli, eti kila mtu lowassa, jipeni matumaini, hakika nakwambia lowassa atagalagazwa na magufuli mchana kweupe, el anawafaa sana nyie wanywa viroba msioweza kufikiri, tena anafaa huko huko kwenu pambafu

Sawasawa tena anafaa hukohuko kwao Chato.
 
Sasa kama mtu amekuwa mbunge kwa miaka ishirini na ameshindwa kutoa maji yaliyopo umbali wa mita kama 100 kutoka mjini, lakini leo anatuahidi kupeleka maji vijijini, (Tanzania nzima kwa miaka mitano). TUTAMWAMINI vipi???? Ndio hivyo tena HATUNA NAMNA NYINGINE
Yaani kaishindwa Chato moja tu kuipatia maji, ataweza Tanzania nzima??
 
kwa hiyo kama kilikuwa kujiji ndio kikose maji????

Alichofanya, kafanya kazi kubwa mno, ku transform kijiji hadi wilaya, huwezi leta mambo yote kwa wakati mmoja.
Wilaya yote ya Chato ilikuwa haina umeme, haina barabara, barabara zilikuwa kama njia za ng'ombe. Kila jambo na wakati wake. Ila alichofanya Chato kutoka kijiji hadi muonekano wa sasa, naamini kabisa tukimpa Tanzania atafanya makubwa mnooo.

Kutoka Mwanza kufika Chato, unatumia masaa karibu 12 ilikuwa ama zaidi. Mpeni nchi acheni kigugumizi huyu atafanya kazi njema bali kunachangamoto pia.
 
Robo TATU ya wapiga kura Tanzania siyo

wanachama wa chama cha siasa

Kwani Cc m wakiuona watu
wengi wamehudhuria ukawa wAnadai siyo ishara ya kukubalika ????

Ila wao wakijaza watu kwa mmalori ndo wAnakubalika ??

Ukawa 64% ccm 32%
 
Nyie Chato hamuijui.

Kabla ya Magufuli chato kilikuwa kijiji yani bushiiiii. Ktk Wilaya zote Tanzania Chato ndo imepiga hatua kutoka kijiji hadi muonekano muonekano kwa kasi mno. Alichofanya Magufuli hadi mnayoiona hiyo chato ya leo kafanya kazi kubwaaaa mnoooooooooooo
Akili za kimagamba shida sana. Kwa hiyo hiyo traffic light aliyoweka hapo njiapanda ya kwenda kwenye hotel yake ni muhimu sana kuliko maji??
Anajua maana ya Basic Human Needs kwanza??
Priorities/Vipaumbele vyake ni shida aisee
 
hivi ww unafikiri Magufuli anaweza kujaza watu bila DIAMOND, ALLY KIBA, THE COMEDY, YAMOTO BAND, FUTUI NAKINA WEMA?????MAGUFULI ni saiz ya LISSU, ZITTO , JJ MNYIKA.

LOWASSA ni habari nyingine.
Aweze wapi Mkuu. Watu wa naenda kuangalia Fiesta ya Bure tu!!
 
Ukitaka kujuwa Magufuli ni mzigo kwa Ccm ni mkutano Lowassa aliofanya Chato leo.
Watu hawamtaki magufuli kila mtu lowassa na mabadiliko.
Ina maana kama Lowassa amepata ushindi mkubwa namna hii nyumbani kwa Pombe nani tena wakumzuia asiingie ikulu.

Magufuli alisema tumhukumu kwa maendeleo aliyoyapeleka Chato, ili tuone kama hafai kumpa nchi. Sasa huu ni mrejesho mfupi wa yale tuliyoyaona huko; kwa kweli Magufuli amejitahidi sana kuweka taa za barabarani japo hakuna magari yanayohitaji kuongozwa na mataa hayo.

Mitaa mingi ya mjini imeweka lami, na barabara kuu ya kwenda Bukoba kupitia Chato ina lami (japo ni ya kiwango cha chini sana). Amejitahidi kujenga Hotel yake ya kifahari na Apartment za kutosha (JS MOTEL), tena ilifunguliwa na Mkapa pamoja na Raila Odinga japo yeye amesikika akisema hapendi matajiri (ni mfanya biashara)

Sasa tukirudi kwenye hali halisi ya maisha kwa mwananchi wa kawaida, utashangaa. Maisha ni duni mno, kuna ziwa lakini hakuna hata kiwanda cha kusindika samaki japo yeye amesikika ukishangaa ni kwa nini ukanda wote wa bahari ya hindi hakuna kiwanda cha samaki. Kuna ziwa lakini maji safi ni ya shida sana japo yeye amesikika aki ahidi maji safi na salama kwa vijiji vyote Tanzania kama akipata ridhaa. Watu wanachota maji ziwani kwenda kupikia.

Magufuli amekuwa Mbunge kwa miaka ishirini lakini ameshindwa kuwapatia watu wake maji safi tena yaliyopo umbali wa mita mia tu. Ameshindwa kuwapatia watu wake kiwanda ili vijana wapate ajira japo malighali zipo.Sasa anapata wapi uhalali wa kutuambia kuwa atatuletea Ajira, atatuletea Maji Safi na Salama, na atatujengea viwanda????

HUYU AMESHINDWA kabla hajaanza, NA SISI HATUNA NAMNA NYINGINE
 
Huko kwingine ni mifano midogo kazi inaandaliwa Jimboni kwa Nape ambapo ni Ngome ya Membe yule Adui namba moja wa Lowasa huko ndipo wanajiandaa kupiga mkutano wa kihistoria ingawa Membe ameleta Waganga wa kienyeji wengi kuwazuia wasifanikishe kupata watu Jimboni kwa Nape ili kumwokoa Nape vuvuzela ambaye amekuwa akitumiwa na Membe kumhujumu Lowasa kwa mbinu mbalimbali.

Wamuulize mwenzao pombe alivyotanguliza mtu aliyekuwa na mikia ya ng'ombe dizaini ya lishirikina flani pale Nzega na bado nyomi lilikuwa la kuleta kwa Fuso
 
Akili za kimagamba shida sana. Kwa hiyo hiyo traffic light aliyoweka hapo njiapanda ya kwenda kwenye hotel yake ni muhimu sana kuliko maji??
Anajua maana ya Basic Human Needs kwanza??
Priorities/Vipaumbele vyake ni shida aisee

Traffic light bei gani, wewe mwenye akili nzuri? hata mie nauwezo wa kununua traffic light , peanut money unaongelea. Ha ha ha ha na project ya maji ni ma bilion.
 
Magufuli alisema tumhukumu kwa maendeleo aliyoyapeleka Chato, ili tuone kama hafai kumpa nchi. Sasa huu ni mrejesho mfupi wa yale tuliyoyaona huko; kwa kweli Magufuli amejitahidi sana kuweka taa za barabarani japo hakuna magari yanayohitaji kuongozwa na mataa hayo.

Mitaa mingi ya mjini imeweka lami, na barabara kuu ya kwenda Bukoba kupitia Chato ina lami (japo ni ya kiwango cha chini sana). Amejitahidi kujenga Hotel yake ya kifahari na Apartment za kutosha (JS MOTEL), tena ilifunguliwa na Mkapa pamoja na Raila Odinga japo yeye amesikika akisema hapendi matajiri (ni mfanya biashara)

Sasa tukirudi kwenye hali halisi ya maisha kwa mwananchi wa kawaida, utashangaa. Maisha ni duni mno, kuna ziwa lakini hakuna hata kiwanda cha kusindika samaki japo yeye amesikika ukishangaa ni kwa nini ukanda wote wa bahari ya hindi hakuna kiwanda cha samaki. Kuna ziwa lakini maji safi ni ya shida sana japo yeye amesikika aki ahidi maji safi na salama kwa vijiji vyote Tanzania kama akipata ridhaa. Watu wanachota maji ziwani kwenda kupikia.

Magufuli amekuwa Mbunge kwa miaka ishirini lakini ameshindwa kuwapatia watu wake maji safi tena yaliyopo umbali wa mita mia tu. Ameshindwa kuwapatia watu wake kiwanda ili vijana wapate ajira japo malighali zipo.Sasa anapata wapi uhalali wa kutuambia kuwa atatuletea Ajira, atatuletea Maji Safi na Salama, na atatujengea viwanda????

HUYU AMESHINDWA kabla hajaanza, NA SISI HATUNA NAMNA NYINGINE

Huyu jamaa ni mbinafsi hatari hizo bararabara alilazimisha design ipite huko kwake..na miradi mingi ya majaribio alilazimisha ifanyike kwake hiyo lami ni otta seal iliyokuwa kwenye study
 
Back
Top Bottom