lemayan92
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 877
- 254
Huku arusha tu, sijui kama atafikaNasubiri siku magufuli anaenda monduli sijui kama atafika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huku arusha tu, sijui kama atafikaNasubiri siku magufuli anaenda monduli sijui kama atafika
Mgufuli atamshinda mshikaji kiulaini sana na tutabaki tunaulizana nini kimetokea. Kura za mashibiki pekee hazitoshi mnahitaji kupata pia kura za watu makini wanaojielewa.
Ni FC Bayern (lowasa) vs West Ham United (makomeo)hii ni kama fainali ya EUFA team ni fc barcelona(lowasa)vs maccabi haifa(magufuli)
Watu wa chato hawana ubaguzi kama wale wa kiskazini. Watampokea na kumskiliza. Watu hawa si wale wanabaguana hata huko kwao jijini arusha kwa kuitana Arusha Asili na Arushamoshi. Hii tabia ya watu wa chato inanipa Tumaini kuwa Magufuli atawatumikia watanzania wote bila kuwabagua.
Mchawi mpe mtoto akulelee, hawezi kumroga kwa sababu unamfahamu. Ni afadhali mchawi unayemfahamu kuliko usiye mjua, atakumaliza bila kugahamu huku akiwasingizia wachawi wengine.Yaani nchi tumkabidhi fisadi!!hapana haiwezekani
Wakijaa kwa makufuri ni dalili ya ushindi?
Unaweza kutupatia matokeo ya uchaguzi Serikali za mitaa hapo Chato? Ukipata au kutoa jibu ya swali hilo ndio hasa matokeo ya umati ule.
Sana tu.kwa taarifa yako magufuli ni chato na chato ni magufuli.
Unaweza kutupatia matokeo ya uchaguzi Serikali za mitaa hapo Chato? Ukipata au kutoa jibu ya swali hilo ndio hasa matokeo ya umati ule.
Huyo anayeleta hoja za matokeo ya serikali za mitaa kaishiwa. Na kama ndivyo basi CCM na itangazwe mshindi sababu aliwagaragaza vibaya wapinzani.hapa namuongelea magufuli wala siiongelei ccm.
kwani magufuli aligombea uwakilishi serikali za mtaa?