Elections 2015 Yaliyojiri Chato: Mkutano wa Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA, Edward Lowassa

Elections 2015 Yaliyojiri Chato: Mkutano wa Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA, Edward Lowassa

Mtu akikupa ushauri mshukuru alafu amua kuufanyia kazi au kutupilia mbali lakini haitakusaidia kuanza kujitetea au kumbeza mtu huyo.
 
hapa namuongelea magufuli wala siiongelei ccm.
kwani magufuli aligombea uwakilishi serikali za mtaa?
Wewe hamnazo kwa kichwa yako. Unajibishia mwenyewe sasa tukusaidie vipi!? Wivu ni mbaya sana utajikuta unaropoka na vitu ambavyo hukuvitarajia.
 
kitu kingine ambacho chadema inajisahaulisha ni kwamba serikali za mitaa zilifanyika escrow ikiwa hot. walifaidika sana na kura za hasira.
kwa sasa richmond ndo hot. tabiri matokeo

tehteh..mwamba ngoma huvutia pake...hakika unatuaminisha watanzania ni wavivu wa kufikiri kiasi gani...hata mwaka haujapita wameshasahau ya Escrow...tehteh
worse enough..''Rich'' ndio hot..kana kwamba ni breaking news ama kuna jipya la ziada...
kama 1970 inawakilisha mwaka wako wa kuzaliwa...basi hakika ''Age is nothing but just a number''
......tehteh..wasalimie uhu.ru f.m.......
 
Una wazimu eti richmund.ndo hot na escrow..bwana nendene zenu tumeshawachokaaaa!!!!
 
Mji umesimama?? mkuu acha uongo bwana, watanzania wanapenda maigizo wamekuja kuangalia maigizo ya Ukawa bure, kiingilio miguu yao, kura CCM

Hakuna cha ze comed wala Diamond, mwaka Wa mabadiliko huu
 
chadema muwe makini na mdundo mnaoucheza wa ngoma ya lowasa ya umati/mafuriko. siku hizi hotuba nzuri/mawe kwa utawala siyo tena ajenda yenu.
sikuwepo jana chato ila nimeishi chato kwa vipindi tofauti magufuli akiwa mbunge.
haijalishi ule umati wa chato ni wanachato au wanageita ila ukweli mchungu ni kwamba mkoani geita ukawa itapata pesa kura kiduchu sana za urais.
wekezeni kwenye siasa za ushawishi, mkiendelea kuwekeza nguvu kwenye kujaza watu pekee mtapotea kama wafuasi wa kibwetele

Gamba linapokuwa lishauri la UKAWA!!!
 
We kweli kibwetele,siasa za ushawishi ni zipi? Unaweza kuja kwenye mkutano kama hujashaushika.acha wivu wa kike
 
kitu kingine ambacho chadema inajisahaulisha ni kwamba serikali za mitaa zilifanyika escrow ikiwa hot. walifaidika sana na kura za hasira.
kwa sasa richmond ndo hot. tabiri matokeo


Unadhani malofa cc ni Wasahaulifu?
 
hapa namuongelea magufuli wala siiongelei ccm.
kwani magufuli aligombea uwakilishi serikali za mtaa?

uwepo wake kama mbunge wa ccm kwa utendaji kazi mbovu,ndio ulipelekea wagombea kushindwa.shule ulisoma nini kama hata simple logic kama hi inakushinda
 
Back
Top Bottom