Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
majaji wa UPE!November 4 , 2019
Dar es Salaam, Tanzania
Majaji 12 wapya wa Mahakama Kuu walioteuliwa, wala viapo vyao leo katika Ikulu ya Dar es Salaam nchini Tanzania mbele ya Mh. Rais John Pombe Joseph Magufuli.
Walioteuliwa ni;
Dkt. Zainabu Diwa Mango, Kabla ya uteuzi huu Dkt. Zainab Diwa Mango alikuwa Wakili wa Serikali Mkuu katika Ofisi ya Taifa ya Mashtaka.
Edwin Elias Kakolaki, Kabla ya uteuzi huu Edwin Elias Kakolaki alikuwa katika Ofisi ya Kupambana na Kuzuia Dawa za Kulevya Nchini.
Dkt. Deo John Nangela, Kabla ya uteuzi huu Dkt. Deo John Nangela alikuwa katika Ofisi ya Tume ya Ushindani (Fair Competition Commission – FCC).
Fredrick Kapela Manyanda, Kabla ya uteuzi huu Fredrick Kapela Manyanda alikuwa katika Ofisi ya Taifa ya Mashtaka.
Elizabeth Yoeza Mkwizu, Kabla ya uteuzi huu Elizabeth Yoeza Mkwizu alikuwa Naibu Msajili wa Mahakama ya Rufani.
Augustine Karichuba Rwizile, Kabla ya uteuzi huu Augustine Karichuba Rwizile alikuwa Naibu Msajili wa Mahakama.
Ephery Sedekia, Kabla ya uteuzi huu Ephery Sedekia alikuwa Katibu wa Mwanasheria Mkuu wa Serikali (Attorney General – AG).
Angaza Mwaipopo, Kabla ya uteuzi huu Angaza Mwaipopo alikuwa katika Ofisi ya Rais, Ikulu.
Joachim Charles Tiganga, Kabla ya uteuzi huu Joachim Charles Tiganga alikuwa Naibu Msajili Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam.
Kassim Ngukali Robert, Kabla ya uteuzi huu Kassim Ngukali Robert alikuwa katika Ofisi ya Kitengo cha Kudhibiti Fedha Haramu cha Wizara ya Fedha na Mipango.
Said Mashaka Kalunde, Kabla ya uteuzi huo, Said Mashaka Kalunde alikuwa katika Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
Angela Antony Bahati, Kabla ya uteuzi huo, Angela Antony Bahati alikuwa Katibu Msaidizi wa Tume ya Kurekebisha Sheria.
Maneno ya Jaji Mkuu wa Tanzania:
Jaji Mkuu wa Tanzania awataka Majaji walioapishwa kufuata Sheria Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Juma, amewataka Majaji 12 wa Mahakama Kuu walioteuliwa na baadaye kuapishwa na Rais John Magufuli, kutekeleza majukumu yao kwa kufuata sheria na kamwe wasifanye upendeleo.
Akizungumza wakati wa hafla ya kuwaapisha Majaji hao pamoja na viongozi wengine Ikulu jijini Dar es salaam, Jaji Mkuu amesisitiza kuwa Majaji hawana Polisi wa kuwachunga, hivyo vi vema wakajichunga wenyewe na kujitathmini kila wakati wakifanya kazi zao.
Jaji Mkuu amesema kuwa mashauri bado ni mengi yanayohitaji kufanyiwa kazi haraka, hivyo ni vema wakahakikisha wanayafanyia kazi na kuhakikisha hukumu zinatoka kwa wakati.
Amemshukuru Rais Magufuli kwa kuiongezea Mahakama Kuu Majaji 12, na kuongeza kuwa kwa sasa Mahakama Kuu itakuwa na Majaji 78 kutoka 66 waliokuwepo hapo awali. Amesema kuwa kwa ongezeko hilo, Jaji mmoja wa Mahakama Kuu kwa sasa itakua na uwezo wa kushughulikia mashauri 220 kwa mwaka, badala ya mashauri 518 ambayo walikuwa wakiyashughulikia kabla ya ongezeko la Majaji hao 12.
Halfa ya kuwaapisha Majaji hao pamoja na viongozi wengine, pia imehudhuriwa na viongozi mbalimbali akiwemo Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, - Job Ndugai.
Miafrika ndivyo tulivyo kaka.Influenza,
This nigga is a bonafide bipolar.
Anateua mtu kua CEO wa TRA,
Anamtoa kwa matusi na maneno ya kejeli
Anampa kazi ya hovyo huko Njombe!
Ghafla bin vuu ana mteua kua CAG!
Mwenye matatizo very serious is this nigga!
Nobody else!
Wasaliti ni wale ambao hawataki ukaguzi ufanyike kwenye mahesabu ya ununuzi wa ndege na ujenzi wa Chato International Airport.Hongera Magufuli kwa kujali Watanzania Endelea kuchapa kazi
Wale wasaliti wa nchi sijui wataweka wapi sura zao
Hapo ni ndio mzee, namkumbuka sana kakaTLInasikitisha sana, katika kila idara nyeti serikalini anaweka watu ambao watakuwa ni wenye kukubaliana na yale ayatakayo hata kama yako kinyume na sheria.
Tuliamini ya kuwa katiba ni sauti ya uma lakini si kwa utawala huu dhalimu. Pamoja na Katiba yetu kuwa na mapungufu mengi lakini bado ilipaswa kuheshimiwa.
Kwa sasa nchi inaongozwa bila ya kuzingatia misingi ya katiba, alitakalo yeye ndilo alifanyalo bila kujali matokeo yake.
MUNGU INUSURU TANZANIA [emoji850]
Hicho ni kielelezo tosha kuwa mtukufu huwa hatekelezi ahadi zake mwenyeweHivi Dodoma kashindwa kabisa kwenda uko? Nashindwa kuelewa kabisa ilikuwa ni siasa au mkakati nilitegemea mambo kama aya yafanyike Dodoma maana juzi tu kasema kashaamia uko.
Naiunga hoja yako kwa 100%Wasaliti ni wale ambao hawataki ukaguzi ufanyike kwenye mahesabu ya ununuzi wa ndege na ujenzi wa Chato International Airport.
Ni kweli umenena mkuumajaji wa UPE!
Alisema kweli lakini kwa kuwa mshauri wa mtukufu ndugu Naibu Rais Daud Bashite ndiye huamua kila kitu imekuwa vigumu mtukufu magufuli kubadilikaHapo ni ndio mzee, namkumbuka sana kakaTL
NiFedhea sana jamii ikiwa hai wahamini! Mkifanya jambo jema jamii inashangaaMagufuli kamuapisha jaji mmoja, ambaye ni Mchagga na alikuwa fair competition. Anasema jamaa alivyo muadilifu hadi alipokuwa fair competition watu walikuwa wanajiuliza "Huyu ni Mchagga gani asiyependa rushwa?"
Alisema Makonda, kuwa Mengi alikuwa ni Mchagga wa pekee, Mchaga gani anaesaidia yatima, na leo baba naye amewakilisha mawazo ya wengi, walio kuwa kumbe watu wengi hushangaa wakiona Mchagga haibi, hapokei rushwa, na anasaidia watu.
Swali, Wachagga mlifikaje hapa, kwenye jamii kuwaona namna hii?
Mmmm sasa hapo uongo yani auwe familia yote kisa fedha?Mchanga yuko radhi auwe familia mzima kisa apate pesa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]CAG kaagizwa na Amiri jeshi atii maelekezo ya mihimili mingine
Kakumbushwa anaweza kutolewa hata baada ya mwaka mmoja
Vikatiba katiba vyenu wekeni kabatini mpaka 2026
CCM haijawahi kufanya jambo jema ndiyo maana miaka 50 sasa Nchi haina maendeleo licha ya kuwa na rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani, mpaka leo CCM wamekariri zidumu fikra binafsi za mwenyekiti wa CCM Taifa, hizo fikra sasa ndizo zinazidi kuleta haya ya sasa.NiFedhea sana jamii ikiwa hai wahamini! Mkifanya jambo jema jamii inashangaa
Hapo mbowe kute alilamba mazerooo tu
State agent
CCM wapo tayari kuua upinzani wote ili warejeshe mfumo wa chama kimoja ambacho Bashite anapenda kiwe peke yakeMmmm sasa hapo uongo yani auwe familia yote kisa fedha?
Siyo kweli.Nasikia wateule wengi ni 'ujamalizition' from TANROADS.