Yaliyojiri Ikulu Dar: Rais Magufuli amtaka CAG Kichere kutojifanya Muhimili mwingine, amwambia anaweza kuondolewa hata akiwa na mwaka mmoja

majaji wa UPE!
 
Magistrates wote hakuna aliyepata ! why? Why? why? Halafu eti anayejiita jaji Mkuu yupo hana lolote alijualo katika uteuzi! haiwezekani magistrates wote wasiwe na sifa ya kuwa majaji! Rubbish! The worst CJ ever!
 
Hongera Magufuli kwa kujali Watanzania Endelea kuchapa kazi

Wale wasaliti wa nchi sijui wataweka wapi sura zao
Wasaliti ni wale ambao hawataki ukaguzi ufanyike kwenye mahesabu ya ununuzi wa ndege na ujenzi wa Chato International Airport.
 
Hapo ni ndio mzee, namkumbuka sana kakaTL
 
Hivi Dodoma kashindwa kabisa kwenda uko? Nashindwa kuelewa kabisa ilikuwa ni siasa au mkakati nilitegemea mambo kama aya yafanyike Dodoma maana juzi tu kasema kashaamia uko.
Hicho ni kielelezo tosha kuwa mtukufu huwa hatekelezi ahadi zake mwenyewe
 
NiFedhea sana jamii ikiwa hai wahamini! Mkifanya jambo jema jamii inashangaa
 
CAG kaagizwa na Amiri jeshi atii maelekezo ya mihimili mingine

Kakumbushwa anaweza kutolewa hata baada ya mwaka mmoja

Vikatiba katiba vyenu wekeni kabatini mpaka 2026
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
NiFedhea sana jamii ikiwa hai wahamini! Mkifanya jambo jema jamii inashangaa
CCM haijawahi kufanya jambo jema ndiyo maana miaka 50 sasa Nchi haina maendeleo licha ya kuwa na rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani, mpaka leo CCM wamekariri zidumu fikra binafsi za mwenyekiti wa CCM Taifa, hizo fikra sasa ndizo zinazidi kuleta haya ya sasa.
 
Mmmm sasa hapo uongo yani auwe familia yote kisa fedha?
CCM wapo tayari kuua upinzani wote ili warejeshe mfumo wa chama kimoja ambacho Bashite anapenda kiwe peke yake
 
CCM hakuna mzalendo hata mmoja wote ni after money ni chukua chako mapema hakuna malaika CCM wa kumnyoshea mwenzie kidole kwani kila mmoja kwa nyakati zake keshapiga Dili hakuna msafi CCM wote wana Dhambi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…