Hakuwepo hata kwenye kampeni za 2015.Mkuu hiv kuna ukweli juu ya hilo?
Mkuu, kuwa na sense of humour mida fulani.Mentality ya kijinga kabisa ufisadi hauna kabila, Makonda Anayejenga hotel ya kisasa ya mabilion wakati analipwa chini ya mshahara wa ml 10 kwa mwezi vipi na yeye ni mchaga? wakina Lugumi, Chenge, Ngereja wote hao ni wachaga?
Yaani sizani kama kuna kabila bongo ambalo halijiusishi na ufisada kama lipo basi halijapata fulsa.
Mbona hujaquote comment yote? Kasema alimshusha pia..Huyu jamaa anakumbuka aliyosena siku anamtumbua TRA?
Magufuli kamuapisha jaji mmoja, ambaye ni mchagga na alikuwa fair competition,
Anasema jamaa alivyo muadilifu hadi alipokuwa Fair competition watu walikuwa wanajiuliza "Huyu ni Mchagga gani asiependa Rushwa"
Alisema Makonda, kuwa Mengi alikuwa ni mchagga wa pekee, Mchaga gani anaesaidia Yatima, na leo Baba nae amewakilisha mawazo ya wengi, walio kuwa kumbe watu wengi hushangaa wakiona mchagga, haibi, hapokei rushwa, na anasaidia watu!
Swali Wachagga mlifikaje hapa, kwenye jamii kuwaona namna hii?
Kutangaza kuhamia Idodomya ilikuwa ni tamko la kisiasa zaidi, bado mahali pa kazi ni Magogoni.Ivi Dodoma kashindwa kabisa kwenda uko? Nashindwa kuelewa kabisa ilikuwa ni siasa au mkakati nilitegemea mambo kama aya yafanyike Dodoma maana juzi tu kasema kashaamia uko.
Team "TANROADS" chezea wasanii wewe ?This nigga is a bonafide bipolar...
Anateua mtu kua CEO wa TRA,
Anamtoa kwa matusi na maneno ya kejeli
Anampa kazi ya hovyo huko Njombe!
Ghafla bin vuu ana mteua kua CAG!
Mwenye matatizo very serious is this nigga!
Nobody else!
Kwahiyo Magufuli anaamini wachaga ni wezi, wala rushwa na siyo waadilifu ?
Je yeye kutuibia nyumba za umma ina maanisha kabila lake wezi ?
Anajua kuwa wachagga wengi, wana hizo mambo, ukute kwa wasukuma ni yeye tuKwahiyo Magufuli anaamini wachaga ni wezi, wala rushwa na siyo waadilifu ?
Je yeye kutuibia nyumba za umma ina maanisha kabila lake wezi ?
Nyinyi mnaweza kujiendeleza, kwa kuwa mnapiga kwiwngine afu manjiendeleza, kwa hiyo saiv tunafocus na wale ambao hawawezi kupiga, ili tuwaletee maendeleoMkuu
Kwenye maendeleo pia mmesema tusubiri..
Naona kanda ya ziwa mnatumia nguvu sana kutuattack
Lkn hamtaweza....
Kaskazini mikono juu
Sasa yeye mwenyewe mbona anajiona ni exceptional kwani yeye sio mtumishi wa umma?Habari wana JF..
Mh. Rais Magufuli, leo wakati akitoa hotuba na ushauri kwa wateuliwa wapya wa ngazi mbali mbali, ametoa ushauri mzuri sana kwa CAG mpya Ndugu Kichere, "Usijifanye muhimili, mihimili iko mitatu tu na unaijua, wewe ni mtumishi wa umma, kasimamie haki na una sifa za kutosha, nakutakia kazi njema"
Message nzuri sana hii, watumishi wa umma wasijione exceptional au untouchable hata uwe katika nafasi ya juu kiasi gani.. Nimependa hii reminder kwa watumishi wa umma. Excellent message from my President JPM. πππ
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hyo ya 2.Anamuapisha CAG mteule, anasema maneno ya msingi sana.
1. Usiende kujifanya na wewe ni Muhimili, Mihilimi ni mitatu tu. (ASSAD alijiona muhimili eeh)
2. Una nidhamu sana, unatenguliwa hapa, na pale, lakini haulalamiki
3. Una elimu nzuri na uzoefu wa kazi.