Yaliyojiri Ikulu Dar: Rais Magufuli amtaka CAG Kichere kutojifanya Muhimili mwingine, amwambia anaweza kuondolewa hata akiwa na mwaka mmoja

Yaliyojiri Ikulu Dar: Rais Magufuli amtaka CAG Kichere kutojifanya Muhimili mwingine, amwambia anaweza kuondolewa hata akiwa na mwaka mmoja

Mentality ya kijinga kabisa ufisadi hauna kabila, Makonda Anayejenga hotel ya kisasa ya mabilion wakati analipwa chini ya mshahara wa ml 10 kwa mwezi vipi na yeye ni mchaga? wakina Lugumi, Chenge, Ngereja wote hao ni wachaga?

Yaani sizani kama kuna kabila bongo ambalo halijiusishi na ufisada kama lipo basi halijapata fulsa.
Mkuu, kuwa na sense of humour mida fulani.
 
Nalaani mtu yeyote mwenye wadhifa wa ku-track hela serikali Tanzania kusema "hela katika taasisi fulani hazionekani"
Tafadhali msirudie tena kusema hela hazionekani kwenye taasisi fulani wakati watu kwenye taasisi hiyo wapo hapo hapo na wanaonekana!
 
Kwahiyo Magufuli anaamini wachaga ni wezi, wala rushwa na siyo waadilifu ?

Je yeye kutuibia nyumba za umma ina maanisha kabila lake wezi ?
Magufuli kamuapisha jaji mmoja, ambaye ni mchagga na alikuwa fair competition,

Anasema jamaa alivyo muadilifu hadi alipokuwa Fair competition watu walikuwa wanajiuliza "Huyu ni Mchagga gani asiependa Rushwa"

Alisema Makonda, kuwa Mengi alikuwa ni mchagga wa pekee, Mchaga gani anaesaidia Yatima, na leo Baba nae amewakilisha mawazo ya wengi, walio kuwa kumbe watu wengi hushangaa wakiona mchagga, haibi, hapokei rushwa, na anasaidia watu!

Swali Wachagga mlifikaje hapa, kwenye jamii kuwaona namna hii?
 
Ivi Dodoma kashindwa kabisa kwenda uko? Nashindwa kuelewa kabisa ilikuwa ni siasa au mkakati nilitegemea mambo kama aya yafanyike Dodoma maana juzi tu kasema kashaamia uko.
Kutangaza kuhamia Idodomya ilikuwa ni tamko la kisiasa zaidi, bado mahali pa kazi ni Magogoni.
 
Na assad naye bado anapitia pitia vifungu vya katiba na sheria vilivyotumika kumsataafisha. Kazi ipo. Sijui hiyo saa sita atakuwa keshaondoa documents zake zote au bado atakuwa anapitia pitia vifungu vya sheria.
 
Kwahiyo Magufuli anaamini wachaga ni wezi, wala rushwa na siyo waadilifu ?

Je yeye kutuibia nyumba za umma ina maanisha kabila lake wezi ?
Anajua kuwa wachagga wengi, wana hizo mambo, ukute kwa wasukuma ni yeye tu
 
Suala hili ni gumu kwa kiasi chake!
Lakini tukubaliane tu kuwa taratibu za matumizi zimebadilika zama hizi, mfano zamani CAG alikuwa anapeleka report yake bungeni kwa maana bunge ndilo lilikuwa linapanga matumizi na kuhoji lakini sasa utaratibu ni tofauti kidogo katika 'kulinda uzalendo na kudhibiti ufisadi'.
Mfano hospitali ya ubungo meya na baraza lake la madiwani waliomba pesa kupitia bungeni ambapo ilitakiwa itoke kwa mafungu mafungu kama utaratibu tuliozoea lakini utolewaji wake ukawa tofauti tena katika kipindi cha masaa kama 48 maana tofauti na hivyo 'ingeliwa'. Maendeleo hayana vyama!
 
Mkuu

Kwenye maendeleo pia mmesema tusubiri..

Naona kanda ya ziwa mnatumia nguvu sana kutuattack

Lkn hamtaweza....

Kaskazini mikono juu
Nyinyi mnaweza kujiendeleza, kwa kuwa mnapiga kwiwngine afu manjiendeleza, kwa hiyo saiv tunafocus na wale ambao hawawezi kupiga, ili tuwaletee maendeleo
 
Habari wana JF..

Mh. Rais Magufuli, leo wakati akitoa hotuba na ushauri kwa wateuliwa wapya wa ngazi mbali mbali, ametoa ushauri mzuri sana kwa CAG mpya Ndugu Kichere, "Usijifanye muhimili, mihimili iko mitatu tu na unaijua, wewe ni mtumishi wa umma, kasimamie haki na una sifa za kutosha, nakutakia kazi njema"

Message nzuri sana hii, watumishi wa umma wasijione exceptional au untouchable hata uwe katika nafasi ya juu kiasi gani.. Nimependa hii reminder kwa watumishi wa umma. Excellent message from my President JPM. 🙏👏👏
Sasa yeye mwenyewe mbona anajiona ni exceptional kwani yeye sio mtumishi wa umma?
 
Anamuapisha CAG mteule, anasema maneno ya msingi sana.

1. Usiende kujifanya na wewe ni Muhimili, Mihilimi ni mitatu tu. (ASSAD alijiona muhimili eeh)

2. Una nidhamu sana, unatenguliwa hapa, na pale, lakini haulalamiki

3. Una elimu nzuri na uzoefu wa kazi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hyo ya 2.
 
Kwa Sasa Ni Kosa mtu yeyote mwenye wadhifa wa ku-track hela serikali Tanzania kusema "hela katika taasisi fulani hazionekani"
Tafadhali msirudie tena kusema hela hazionekani kwenye taasisi fulani wakati watu kwenye taasisi hiyo wapo hapo hapo na wanaonekana!
 
Back
Top Bottom