Yaliyojiri JamiiForums Space kuhusu Maambukizi ya COVID-19 na Utoaji Chanjo Tanzania

Yaliyojiri JamiiForums Space kuhusu Maambukizi ya COVID-19 na Utoaji Chanjo Tanzania

Thanks 🙏🏾 to Shangazi Maria Tseshai Sarungi Space ya kule Twitter sasa inapaa kwa umaarufu. Bidada ni mzuri ile mbaya halafu sauti yake sasa na anavyojua kuongea kwa ufasaha na pozi oyooooo!
Pumbavu huna akili, huyo kahaba ndio alialzisha space. Pumbavu kabisa.
 
Tengenezeni chanjo zenu acheni kujifanya wataalamu kwenye machanjo ya watu!

Machanjo yametengenezwa ulaya huko, hamjui hata chemical composition zake lakini kutwa kujifanya mna utaalamu nazo!

BADILIKENI, Mtaangamiza vizazi kwa kupenda machanjo ya kuletewa kila siku.

ACHENI UVIVU NA UJANJA UJANJA, fanyeni kazi, GET TO WORK, CREATE YOUR OWN VACCINES.....
 
Haya sasa, here we go. Tukiwaambia chadema ni zero brain tunaambiwa mataga sukuma gan and the likes. Badala mtu uchambue na kuskiliza ubora wa content anayoongea muhusika ww unaanza kusifia uzuri wa mtu, mara sauti yake mara mapozi..aisee hii nchi wacha CCM tuendelee kuiongoza kamwe hatuwezi kuwapa wapuuz kama hawa nchi.
Pamoja na kwamba CCM kuna wapuuzi pia ila % yao ni ndogo kulinganisha na hawa jamaa..
Alichoandika na ulichoandika wewe tofauti ipo wapi? Maana hata na wewe uko nje ya mada. Ila huu ndio uhuru wa kujieleza watu wanaotaka, hongereni wote
 
Msipobadilika na kufanya jitihada, mtabaki kuwa dampo la machanjo na majaribio ya madawa.

Inaleta kichefuchefu kuona mtu anayejiita "mwanasayansi" amekaa kitako anadalalia machanjo ya wazungu badala ya kujibidisha kutengeneza tiba za ndani.

FANYENI KAZI, JIBIDISHENI, ACHENI UVIVU NA KUJIDEKEZA.

Wazungu sio wajomba zenu, MTAKUFWAA!
 
Tengenezeni chanjo zenu acheni kujifanya wataalamu kwenye machanjo ya watu!

Machanjo yametengenezwa ulaya huko, hamjui hata chemical composition zake lakini kutwa kujifanya mna utaalamu nazo!

BADILIKENI, Mtaangamiza vizazi kwa kupenda machanjo ya kuletewa kila siku.

ACHENI UVIVU NA UJANJA UJANJA, fanyeni kazi, GET TO WORK, CREATE YOUR OWN VACCINES.....
mkuu umesema vyema madaktari wenyewe hata hawajahi tengeneza panadol hata formula ya cough syrup hawaijui..leo anazungumzia chanjo ya Corona kuwa ni salama..ukiuliza unauhakika gani wanakuambia kilekile tunachoambiwa na WHO

Hizo lab za utafiti hawajawahi kanyaga wanaona kwa picha, isitoshe hio technology yenyewe iliotumika kutengeneza chanjo hawaijui...
 
Chanjo haizuii kirusi kuingia mwilini mwa aliyechanjwa. Chanjo inasaidia kuupa uwezo mwili kupambana na hicho kirusi.

Chanjo pia haiwezi kuwa na ufanisi wa 100%. Kama itathibitika kuwa na ufanisi km 90%, wanaokufa baada ya kupata chanjo wanaweza kuwa kwenye hilo kundi la 10%.

Hatari kwa baadhi ya chanjo za covid19 ni kwamba zipo baadhi zisizofikia hata ufanisi wa 60%. Bahati mbaya sana ndizo tunapewa kwenye huo mpango wao wa covax.
Hivi hii kauli ya kwamba haiwezi kuwa na ufanisi wa 100% ina maana gani hasa au hivi viwango vya asilimia ya ufanisi katika chanjo kina maanisha nini hasa?

Nisaidie kuelewa hili.
 
mkuu umesema vyema madaktari wenyewe hata hawajahi tengeneza panadol hata formula ya cough syrup hawaijui..leo anazungumzia chanjo ya Corona kuwa ni salama..ukiuliza unauhakika gani wanakuambia kilekile tunachoambiwa na WHO

Hizo lab za utafiti hawajawahi kanyaga wanaona kwa picha, isitoshe hio technology yenyewe iliotumika kutengeneza chanjo hawaijui...
Mimi nikimsikia daktari anazungumzia machanjo ya corona nahisi kutapika kabisa.

Ni kichefuchefu. Hakuna wanalolijua lakini kutwa wanajitutumua!
 
Uingizwaji wa vijidudu mwilini ili vije kupambana na ugonjwa fulani
Je mtu asipopatwa na ugonjwa huo hivyo vijidudu haviwezi kufanya kazi nyingine mwilini 🧐🧐🧐
 
Je inawezekanaje mtanzania kuchambua chanjo ambayo hata Africa nzima hakuna wenye Uwezo wa kutengeneza?
 
Vp kuhusu tangawiz,kitunguswaumu,lmao,iliki
Tuendele kutumia

Ova
 
Hivi hii kauli ya kwamba haiwezi kuwa na ufanisi wa 100% ina maana gani hasa au hivi viwango vya asilimia ya ufanisi katika chanjo kina maanisha nini hasa?

Nisaidie kuelewa hili.
Chanjo au dawa yoyote kabla ya kuingizwa sokoni lazima ipitie hatua ya majaribio kwa binadamu. Kama wamefanyiwa majaribio watu 1000, kati ya hao 950 wakaponywa na dawa au chanjo kuonyesha matokeo chanya, itasemwa kuwa chanjo hiyo au dawa hiyo ina ufanisi wa 95%. Haitarajiwi kwamba matokeo yanaweza kuwa chanya kwa sampuli ya wote 1000 watakaokuwa wamefanyiwa majaribio.

Does this answer your question?
 
Sawa mkuu, Unajua mkuu, hakuna mtu nayemheshimu kama matabibu aisee, hawa watu ni wa kuheshimu sana, kwanza wako smart sana, hawana nongwa na mtu yeyote, hata angelikuwa ni mchagfu kuliko binadamu awavyo,

Niliingiwa na mashaka juu ya jibu lako, lakini sasa naomba unijibu swali langu mkuu,

tumekuwa tukiona clip mbalimbali kutokea ng'ambo huko, miili ya watu ikishika vitu vya chuma sehemu waliochanja, je hiyo haina shida ktk mwili wa binadamu
Asante sana kiongozi, ukweli ni kwamba hakuna kitu kama hicho mkuu, wengi wamechanja,mimi pia ni shahidi namba moja nimechanja hizo chanjo,sijaona sumaku wa upungufu wa nguvu za kiume!
Hizo ni habari za uongo tu zinasambaa ,na sinajua malengo yao nini kwakweli.
 
Dr. Biggag anajiuliza Kama China anaweza chanja chanjo ya Usa!!? , Au usa anaweza chanja ya china.

Au usa anaweza chanja ya Russia!!
Mh!?
Kwanin. Chanjo hii isiandaliwe na dunia kwa ujumla wake kwasababu suala ni la kidunia kupitia WHO?!

Kwanini Kila nchi tajiri wanajifungia kutoa chanjo yao!!?

Basi ikitokea nchi haitaki chanjo iheshimiwe. Kwa kua sio Kila suala la kidunia, bali ni mipango ya nchi moja moja.

Kama ni la kidunia basi tutumie mashirika yetu yanayotuunganisha.

Tutunge sera pamoja, tu tafute chanjo pamoja na tu dungwe chanjo pamoja.

Suala la mtafute chanjo wenyewe, halafu mtudunge tusicho kijua halikubaliki!!!

Tafadhalini nyie ma promoters
 
Asante sana kiongozi, ukweli ni kwamba hakuna kitu kama hicho mkuu, wengi wamechanja,mimi pia ni shahidi namba moja nimechanja hizo chanjo,sijaona sumaku wa upungufu wa nguvu za kiume!
Hizo ni habari za uongo tu zinasambaa ,na sinajua malengo yao nini kwakweli.
Machanjo hayafai hayo. Ni SUMU TUPU

Acha kujifariji hapa ili uwaingize wenzako mkenge wakadungwe hayo matakataka!
 
Chanjo au dawa yoyote kabla ya kuingizwa sokoni lazima ipitie hatua ya majaribio kwa binadamu. Kama wamefanyiwa majaribio watu 1000, kati ya hao 950 wakaponywa na dawa au chanjo kuonyesha matokeo chanya, itasemwa kuwa chanjo hiyo au dawa hiyo ina ufanisi wa 95%. Haitarajiwi kwamba matokeo yanaweza kuwa chanya kwa sampuli ya wote 1000 watakaokuwa wamefanyiwa majaribio.

Does this answer your question?
imechukua muda gani kufanya majaribio hadi mkapata hayo machanjo ya corona?
 
Back
Top Bottom