Yaliyojiri JamiiForums Space kuhusu Maambukizi ya COVID-19 na Utoaji Chanjo Tanzania

Hawawezi kukuelewa hawa madalali wa machanjo.

Wanataka wakudunge huku umefumba macho. Hakuna kuhoji.

Ukihoji unaambiwa ati haujui SAYANSI!

Kwao "sayansi" ni kuwadunga watu machanjo bila kuulizwa swali lolote.
 
Mpaka sasa wananchi wanashangaa taiafa kuwa na wasomi kama hawa waliokuwa wanaensesha mjadala kupitia space ya jamii forum. Madkatari waliojaa unafiki na kujali matumbo ndio waliojifanya kuipigia debe chanjo ambayo hata wao wanakiri kuwa hata ukidungwa bado utakuwa na maambukizi.

Ndio maana hayati JPM alikuwa hawezi kuvumilia wasomi kama hawa ambao wanajali matumbo kuliko maslahi ya taiafa letu.

My take: Itachukua muda mrefu sana kupata kiongozi mwingine kama JPM inabidi kuandaaa vijana wakiwa wadogo kupata viongozi wazalendo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…