MUSSA ALLAN
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 18,925
- 13,267
Wakeni mazingira huru na ya haki ya kupigia kura.Tume huru,Leo msimamizi wa Uchaguzi kada wa CCM halafu unakimbilia kuja kuandika upupu. Hizo kata tulizowapiga zinatosha sana kuwasomesha maana ni kata za CCMNi dhahiri katika uchaguzi mdogo uliorudiwa leo, CHADEMA wamepigwa vibaya mno ndo maana hatujasikia kelele. Tunasubiri kusikia wakilalamika kuwa wameibiwa kura, sasa sijui wale walinzi wao wa kulinda kura wamegoma au?
Upinzani wanahitaji sura mpya. Viongozi wa sasa wana scandal za kutosha hawawezi kushawishi watanzania wa kutosha kuwapigia kura.hii ni sababu ndogo sana ili upinzani ushinde ni lazima waache maslahi binafisi na iwe masilahi ya watz wote wavunje vyama vyote waunde chama kimoja tu cha upinzani ndo tutashinda ,vinginevyo tuwe washiriki na CCM wawe washindi
Unastahili ban weweKijichi Tayari Chadema ishashinda
Na huku upo kumbeKama wanasema mazingira sio huru kwanini wameshiriki!
Najaribu tu,huku kuna wenyewe.Na huku upo kumbe
Hilo la Mbowe kuwepo au kutokuwepo kawaambie wanacdm maana wao ndio wenye haki ya kumchagua au kumuondoa.
Huwa napita mara moja moja hukuNajaribu tu,huku kuna wenyewe.
Ataondoka tu. Maana tuliosema hatukusikilizwa ila kaua chama 2015
Ndiyo vizuri,siasa haikwepeki.Huwa napita mara moja moja huku
Na kweli siasa haikwepeki kabisaNdiyo vizuri,siasa haikwepeki.
Ccm mnachekesha sana makashfa yote yenu bado mnaaminiwa??Mbowe kila kukicha anatajwa kukwepa kodi ya wananchi.
Je nani mwenye akili ataendelea kuamini chadema itakomboa watanzania???
Jibu hoja acha porojo!Naona unachangia kutokea miguuni kuelekea kichwani
Unastahili ban wewe
Hakuna tume huru ya uchaguzi...
Wateule wa rais ndio wasimamizi wa uchaguzi.....unategemea nini?