Yaliyojiri katika Chaguzi Ndogo: Uchaguzi wa ubunge jimbo la Dimani na madiwani Tanzania Bara

Yaliyojiri katika Chaguzi Ndogo: Uchaguzi wa ubunge jimbo la Dimani na madiwani Tanzania Bara

CCM, Sio vyema kujisifu kwa ushindi kwenye chaguzi zinazoendeshwa kihuni namna hii?

Hivi CCM hamuoni aibu kusema mmeshinda kwenye chaguzi zilizotamalaki figisu figisu za wazi namna hii?
 
Ni dhahiri katika uchaguzi mdogo uliorudiwa leo, CHADEMA wamepigwa vibaya mno ndo maana hatujasikia kelele. Tunasubiri kusikia wakilalamika kuwa wameibiwa kura, sasa sijui wale walinzi wao wa kulinda kura wamegoma au?
Wakeni mazingira huru na ya haki ya kupigia kura.Tume huru,Leo msimamizi wa Uchaguzi kada wa CCM halafu unakimbilia kuja kuandika upupu. Hizo kata tulizowapiga zinatosha sana kuwasomesha maana ni kata za CCM
 
Naona tume ya uchaguzi,ccm na police ccm wameshinda kwa kishindo uchaguzi Dumila......
 
hii ni sababu ndogo sana ili upinzani ushinde ni lazima waache maslahi binafisi na iwe masilahi ya watz wote wavunje vyama vyote waunde chama kimoja tu cha upinzani ndo tutashinda ,vinginevyo tuwe washiriki na CCM wawe washindi
Upinzani wanahitaji sura mpya. Viongozi wa sasa wana scandal za kutosha hawawezi kushawishi watanzania wa kutosha kuwapigia kura.
 
Ataondoka tu. Maana tuliosema hatukusikilizwa ila kaua chama 2015

Awepo asiwepo sina cha kupoteza maana mimi sio mwanachama wala maisha yangu hayategemei uwepo wa Mbowe kama mwenyekiti wa cdm.
 
Hakuna tume huru ya uchaguzi...

Wateule wa rais ndio wasimamizi wa uchaguzi.....unategemea nini?

Mkuu nilisema toka mwanzo, upinzani kushiriki uchaguzi ulioko chini ya tume hii ya uchaguzi ni kupoteza muda na raslimali fedha. Hayo matokeo niliyatarajia na ningeshangaa kama yangekuwa tofauti na hapo ni lazima mwenyekiti wa tume angebadilishwa.
 
Back
Top Bottom