Justice minister
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 1,173
- 823
Mimi nafikiri umefika watu wakakataa kushiriki upigaji kura kabisa, vinginevyo uchaguzi ujao ccm itawapunguza wapinzani kwa wizi wa kura kwa sababu wanasaidiwa na polisi ambao ni wanaccm wenzao.CCM, Sio vyema kujisifu kwa ushindi kwenye chaguzi zinazoendeshwa kihuni namna hii?
Hivi CCM hamuoni aibu kusema mmeshinda kwenye chaguzi zilizotamalaki figisu figisu za wazi namna hii?
Wamebadili gia angani hapoKama wanasema mazingira sio huru kwanini wameshiriki!
Makamanda mpaka waseme poo, bado 2019 na 2020. CHADEMA tulikupenda, lakini mafisadi wamekupenda zaidi.Makamanda ina maana hakuna hata kata moja ambayo wamemaliza kuhesabu kura? Mbona kimya makamanda? au hali si nzuri? hakuna hata matokeo ya awali? Makamanda mbona mmekuwa wapole gafla?
Makamanda matokeo tunayaomba...Mbona kimya makamanda?
Hawaishiwi sababu hawa watu.Wamebadili gia angani hapo
Hali ikoje kwa sasa mkuuUchaguzi wa Jimbo la dimani hadi sasa ni machafuko matupu, mawakala wa cuf wametolewa kwenye vyumba vya kupiga kura kwa sababu ya KUGUNDUA na KUHOJI mambo yafuatayo:
Wamegundua baadhi ya masanduku yamejazwa kura ambazo zimeshatiwa tiki kwa mbunge wa ccm
Wamegundua kuwa kuna watu hawamo ndani ya daftari la kupiga kura ila wamekuja kupiga kura na walipo pinga MAWAKALA WETU, (kaa Mujib wa Sheria na Kanuni za Sheria za Uchaguzi) JESHI LA POLISI waliwakunja na kuwatoa Nje
Chumba number 6 imegundilikana kwamba masunduku yote yamejazwa kura
MAPANDIKIZI NI MENGI YAKILINDWA NA KUSINDIKIZWA NA JESHI LA POLISI.
Mazombi waanza kupiga watu maeneo ya fuoni kituo cha kibondeni
Sungura alisema sizitaki mbichi hizi kwani alikuwa ameshiba ndo wanasiasa walivyoHawaishiwi sababu hawa watu.
CCM inaongoza Maeneo mbalimbali ya Nchi kuanzia Ubunge Zanzibar na chaguzi ndogo za huku Bara. Imani ya Wananchi kwa Serikal Yao na Chama cha Mapinduzi imerejea
Matokeo ya uchaguzi yanafahamika toka muda ulipotangazwa uchaguzi, leo ni kuuhadaa tu ulimwengu kwamba kuna demokrasia. Matokeo yote yanatakiwa ccm ishinde ili kuonyesha kwamba wananchi wana imani sana na ccm. Kwa hiyo wala hakuna cha kushangilia hapo mshindi ameshachaguliwa na tume.
Tukifika hapo ndo adabu na heshima itapatikana kila mtu atamuona mwenzie anafaa na niwamuhimuAwamu ya magufuli imezika kabisa misingi ya muasisi wa taifa hili wa haki na usawa. Na kinachoonekana wazi ndani ya taifa la Tanzania ni kiu ya kiwango kikubwa ya kumwaga damu.
Sasa Kama Mlijua hayo kwanini mlishiriki UchaguZi ? Tushawazoea hamtupi shida!
*MATOKEO YA CHAGUZI NDOGO NCHINI:SOMO KWA UPINZANI?*
: *ubunge jimbo la Dimani CCM Imeshinda kwa kishindo kura 4408 na cuf 1204..*
*Kata ya Ng'hambi Wilaya Mpwapwa CCm1306 chadema 812*
*Matokeo Ya jumla ngarenanyuki. Ccm 1615 chadema 764 cuf 11*.
*Kahama Tumeshinda kwa kura 539ccm na342 chadema*
*K/ndege Morogoro CCM 1384 cdm 1189 cuf 218*
*Mkoa wa Mwanza kata zote 2 tumeshinda kwa kishindo! Malya (Kwimba), na Kahumulo (Sengerema)*
*Kata ya Kwani muleba kati ya vituo 26. Ccm inaongoza vituo 20 kwa kura 526...Bado matokeo ya vituo 6*
pole yako kwa kujidanganya...Lembeni, Mateves,kijichi,kiwanja cha ndege,kahama na Geita CHADEMA wameshashinda hata kabla ya uchaguzi, watangazwe tu washndi hakuna namna!