Yaliyojiri katika Chaguzi Ndogo: Uchaguzi wa ubunge jimbo la Dimani na madiwani Tanzania Bara

Nilishaanza kujifunza kutokutegemea jipya, kutegemea jipya ni kuendelea kuumiza moyo wangu.
 
Huko mwanza kata zote mbili ccm wameshinda.
Arusha nako kata mbili ccm wameshinda. Jimbo la Dimani limeenda ccm.
 
upinzani wana safari ndefu mno kwa wao
kuweza kuichukua nchi
nb:viongozi wa upinzani wajitathimini
kama wanafaa kuwa viongozi
maana naona kama upinzani
umekufa vile!!!!!!
 

Embu acha ujinga, kaa chini ufikiri upya ulichodhamiria kusema!
 
Reactions: BAK
upinzani wana safari ndufu mno kwa wao
kuweza kuichukua nchi
nb:viongozi wa upinzani wajitathimini
kama wanafaa kuwa viongozi
maana naona kama upinzani
umekufa vile!!!!!!

Mkiisha kuacha unafiki mkajitambua na kujielewa na waliopo madarakani wakatii utawala wa sheria yeyote anaweza kuongoza nchi,hakuna chama chenye hisa kuongoza Tanzania!
 
Reactions: BAK
Umwambie Lowassa asigombee 2020 eti kushinikiza Tume huru? Chadema watagawana Mbao[emoji3][emoji3]

Mkuu tunapozungumzia upinzani kumtaja Lowassa ni kama unatukosea heshima. Lowassa sio mpinzani bali ni mwanaccm aliyekosa nafasi huko akatumia anachokijua yeye kupata nafasi ya kugombea urais kupitia cdm. Kwa hiyo ninapozungumzia upinzani sio sahihi ukanitajia Lowassa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…