SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Ila hapa naona mjinga umekuwa wewe kwa kuangalia upande mmoja tu
Mkuu;ACHA KUJIDANGANYA WEWE UNAYEKURUPUKA.
Wala usifikiri wanachadema na wanaCUF original wanachonganishwa na huu uzushi wako hapa
Una akili ndogo sana.
Ulisikia hotuba ya LOWASSA jana ilivyo strong? Iliwaingia sana vijana wa Lumumba.
Hahaha...vijana wa CCM mnatia huruma na UZUSHI wenu wa kila siku.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
ACHA KUJIDANGANYA WEWE UNAYEKURUPUKA.
Wala usifikiri wanachadema na wanaCUF original wanachonganishwa na huu uzushi wako hapa
Una akili ndogo sana.
Ulisikia hotuba ya LOWASSA jana ilivyo strong? Iliwaingia sana vijana wa Lumumba.
Hahaha...vijana wa CCM mnatia huruma na UZUSHI wenu wa kila siku.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wanafikiri kuzungusha mikono ndio maendeleo. Wataishia kuandika na kukodoa mimacho Jf, wananchi wanaona nini rais wao anafanya.
Wananchi wanaona namna viongozi waandamizi chadema walivo wapiga dili.
Nani wa kumwamini Mbowe, Nani wa Kumwamini Lowasa.
Acha dozi iwaingie
Huyo siyo mjinga bali ni mpumbavu kwani kama kusoma hajui hata picha haoni kuwa bila mabavu ya dola CCM ingeshazikwa kitambo,ila wajue kuwa hata hao wanaotumika kukandamiza upinzani kuna wakati watafanya maamuzi magumu.
Ila hapa naona mjinga umekuwa wewe kwa kuangalia upande mmoja tu
Never argue with a fool. Mkuu umewafikishia ujumbe wa kweli kabisa naona inawauma.Mkuu,
Upambanue ujinga wangu ili nipate elimu.
Mkuu;
Mimi nimetoa fikra yangu na sikulazimishi kuikubali au kuikataa.
Ni kweli wanaChadema na wana ''Cuf original'' hawawezi kuchonganishwa na mada isiyochonganisha!
Kama ningekuwa na akili ndogo, basi wewe mwenye akili kubwa wala usingepoteza muda wako kuweka komenti kwenye mada ya mtu mwenye akili ndogo labda kama hujitambui.
Mimi nadhani wanaotia huruma ni wale wanazungusha mikono huku wakiimba Mabadiliko Lowassa, Lowassa Mabadiliko bila kufahamu kilicho nyuma ya Lowassa.
Kuhusu strong speech. Ndio maana tunasema Lowassa anaisarambatisha CHADEMA! Yaani hakuweza kutoa wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu ili ashinde Urais halafu baada ya kushindwa uchaguzi ndiyo anaanza kutoa strong speech ili muendelee kumuamini zaidi.
Lowassa anatoa strong hotuba kwa sauti ya nani?
Aliwekewa speaker ya kasuku koonI.
Mnayoambiwa hamtaki kusikia ila yanayowafurahisha mioyo yenu.
Endelea hivyo.........
Mkuu;View attachment 462872 Ni yupi kati ya hawa alikuwa anapiga push ups
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kama hukupewa elimu na wazazi wako huwezi kupewa elimu JFMkuu,
Upambanue ujinga wangu ili nipate elimu.
Tatizo lililopo nchini, siasa za upinzani kwa kiasi kikubwa zina matapeli wa kisiasa.Maskini CUF na CHADEMA.
Niliona.through tv lipokuwa kuwa Geita nimsikia akiwaambia wananchi People's.......wakajibu Power, nae akawauliza Power?.......wakakaa kimya.wengine.wakaanza kucheka tu
Jakaya aliwalatea Katiba Mpya yenye Tume huru ya Uchaguzi wakataa kuendelea na Mchakato wa Katiba Mpya akawaita Ikulu akawabembeleza na Chai isiyo na Pipi Bali bites wakapewa wakakubali kuendelea na Katiba Mpya.
Waliporudi Bungeni akili Wakaacha Guest house wakamkabidhi Lipumba awaongoze nae akawaambia wasuse waondoke na kweli Wakaondoka!
Pamoja na Kususa na Jk akijua anakabidhi Nchi kwa Mtata akawaomba wamuunge Mkono walau tupige kura ya Maoni kabisa na Kazi ya Rais ajae iwe kutekeleza tu ya Katiba Mpya wakakataa nae kwa Uungwana wake akaridhia japo kwa Shingo Upande!
Wapinzani wangekuwa na Think tanks za Kutosha wakati wa Jk wangeweka Misingi mingi na mizuri sana ya Demokrasia Tatizo ni kuwa Wote waliwekeza akili zao kwa Lipumba na Tundu Lissu kuwaamulia cha kufanya!