Yaliyojiri katika Chaguzi Ndogo: Uchaguzi wa ubunge jimbo la Dimani na madiwani Tanzania Bara

Yaliyojiri katika Chaguzi Ndogo: Uchaguzi wa ubunge jimbo la Dimani na madiwani Tanzania Bara

ACHA KUJIDANGANYA WEWE UNAYEKURUPUKA.

Wala usifikiri wanachadema na wanaCUF original wanachonganishwa na huu uzushi wako hapa

Una akili ndogo sana.

Ulisikia hotuba ya LOWASSA jana ilivyo strong? Iliwaingia sana vijana wa Lumumba.

Hahaha...vijana wa CCM mnatia huruma na UZUSHI wenu wa kila siku.

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu;
Mimi nimetoa fikra yangu na sikulazimishi kuikubali au kuikataa.

Ni kweli wanaChadema na wana ''Cuf original'' hawawezi kuchonganishwa na mada isiyochonganisha!

Kama ningekuwa na akili ndogo, basi wewe mwenye akili kubwa wala usingepoteza muda wako kuweka komenti kwenye mada ya mtu mwenye akili ndogo labda kama hujitambui.

Mimi nadhani wanaotia huruma ni wale wanazungusha mikono huku wakiimba Mabadiliko Lowassa, Lowassa Mabadiliko bila kufahamu kilicho nyuma ya Lowassa.

Kuhusu strong speech ya Lowassa. Ndio maana tunasema Lowassa anaisambaratisha CHADEMA! Yaani hakuweza kutoa strong speech wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu ili ashinde Urais halafu baada ya kushindwa uchaguzi ndiyo anaanza kutoa strong speech ili muendelee kumuamini zaidi.
 
Asilimia kubwa ya vijana wanao shabikia ccm wanakuwa na upungufu wa homoni fulani hivi kwa wingi (kwa wanaume)

Kitu kinachowafanya muda wote kuchekacheka hovyo na hupenda sana kukaa saloni za kike kupiga umbea ..

Hawa vijana hawafanyagi kazi kabisa,mara nyingi hushinda lumumba kusubiria mgao wa buku( )

Naongea hivi kutokana na experience yangu ya kukaa na watu tofauti tofauti hapa bongo

*kwa ujumla tabia zao ni kama vile;*
-kupenda vya bure
-hawapendi kujitegemea
-asilimia kubwa ya vijana(wa kiume) wanapenda kukaa saloni za kike kupiga umbea
-wanadeka kwa wazazi wao
-wanapenda kufanya kitu ili kuwafurahisha wakubwa zao. Hata Kama hajui anachokifanya
-wengi wana mapungufu fulani hivi (mabwa.bwa) kwa watoto wa kiume ........and so on...
Nikisema niweke picha humu nahisi watanimeza
Pia sishabikii chama chochote ili nipate slope!!![emoji28]
Samahani lakini kama nimewachoma ila nimeongea ukweli
 
Lowassa anatoa strong hotuba kwa sauti ya nani?

Aliwekewa speaker ya kasuku koonI.

Mnayoambiwa hamtaki kusikia ila yanayowafurahisha mioyo yenu.

Endelea hivyo.........
ACHA KUJIDANGANYA WEWE UNAYEKURUPUKA.

Wala usifikiri wanachadema na wanaCUF original wanachonganishwa na huu uzushi wako hapa

Una akili ndogo sana.

Ulisikia hotuba ya LOWASSA jana ilivyo strong? Iliwaingia sana vijana wa Lumumba.

Hahaha...vijana wa CCM mnatia huruma na UZUSHI wenu wa kila siku.

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wanafikiri kuzungusha mikono ndio maendeleo. Wataishia kuandika na kukodoa mimacho Jf, wananchi wanaona nini rais wao anafanya.

Wananchi wanaona namna viongozi waandamizi chadema walivo wapiga dili.

Nani wa kumwamini Mbowe, Nani wa Kumwamini Lowasa.

Acha dozi iwaingie

Na nyie mnafikiri kuzungusha viuno ndiyo sera..
 
Huyo siyo mjinga bali ni mpumbavu kwani kama kusoma hajui hata picha haoni kuwa bila mabavu ya dola CCM ingeshazikwa kitambo,ila wajue kuwa hata hao wanaotumika kukandamiza upinzani kuna wakati watafanya maamuzi magumu.

Hahahahahaha
Unapoona mgonjwa anazinduka icu halafu anaanza kuongea ghafla ujue ni dalili za kufa.hizo

Niwatakie wapinzani kifo.chema
 
Mkuu;
Mimi nimetoa fikra yangu na sikulazimishi kuikubali au kuikataa.

Ni kweli wanaChadema na wana ''Cuf original'' hawawezi kuchonganishwa na mada isiyochonganisha!

Kama ningekuwa na akili ndogo, basi wewe mwenye akili kubwa wala usingepoteza muda wako kuweka komenti kwenye mada ya mtu mwenye akili ndogo labda kama hujitambui.

Mimi nadhani wanaotia huruma ni wale wanazungusha mikono huku wakiimba Mabadiliko Lowassa, Lowassa Mabadiliko bila kufahamu kilicho nyuma ya Lowassa.

Kuhusu strong speech. Ndio maana tunasema Lowassa anaisarambatisha CHADEMA! Yaani hakuweza kutoa wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu ili ashinde Urais halafu baada ya kushindwa uchaguzi ndiyo anaanza kutoa strong speech ili muendelee kumuamini zaidi.
IMG-20170122-WA0001.jpeg
Ni yupi kati ya hawa alikuwa anapiga push ups

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Just jaribu kuwa wabunifu hamjui Lowassa alitumwa kuidondosha UKAWA hata kwa dawa UKAWA haitoboi ikiwa na Lowassa
 
Lowassa anatoa strong hotuba kwa sauti ya nani?

Aliwekewa speaker ya kasuku koonI.

Mnayoambiwa hamtaki kusikia ila yanayowafurahisha mioyo yenu.

Endelea hivyo.........

Niliona.through tv lipokuwa kuwa Geita nimsikia akiwaambia wananchi People's.......wakajibu Power, nae akawauliza Power?.......wakakaa kimya.wengine.wakaanza kucheka tu
 
Kenya wapinzani wamepambana kudai tume huru hata wamefanikiwa. Hapa kwetu wapinzani hawawezi kufanikiwa kama tutaendelea na tume hii ambayo mwenyekiti na wajumbe wote huteuliwa na Rais ambaye pia ni mwenyekiti wa CCM. Kwanini wapinzani wa hapa Tanzania wamekuwa wakishindwa kutumia mbinu wanazotumia wenzao wa Kenya?
 
Hahahahahahahahaha!!!! Ndo wanatanguliza jokery lao.

Akili ni nywele kweli!!!!!
Niliona.through tv lipokuwa kuwa Geita nimsikia akiwaambia wananchi People's.......wakajibu Power, nae akawauliza Power?.......wakakaa kimya.wengine.wakaanza kucheka tu
 
Habari wadau, kwa habari nilizopata ni kuwa, chama cha mapinduzi kimeshinda viti vingi vya udiwani ktk uchaguzi uliofanyika jana maeneo mbalimbali ya nchi yetu.
 
Jakaya aliwalatea Katiba Mpya yenye Tume huru ya Uchaguzi wakataa kuendelea na Mchakato wa Katiba Mpya akawaita Ikulu akawabembeleza na Chai isiyo na Pipi Bali bites wakapewa wakakubali kuendelea na Katiba Mpya.

Waliporudi Bungeni akili Wakaacha Guest house wakamkabidhi Lipumba awaongoze nae akawaambia wasuse waondoke na kweli Wakaondoka!

Pamoja na Kususa na Jk akijua anakabidhi Nchi kwa Mtata akawaomba wamuunge Mkono walau tupige kura ya Maoni kabisa na Kazi ya Rais ajae iwe kutekeleza tu ya Katiba Mpya wakakataa nae kwa Uungwana wake akaridhia japo kwa Shingo Upande!

Wapinzani wangekuwa na Think tanks za Kutosha wakati wa Jk wangeweka Misingi mingi na mizuri sana ya Demokrasia Tatizo ni kuwa Wote waliwekeza akili zao kwa Lipumba na Tundu Lissu kuwaamulia cha kufanya!

Pamoja na yote hayo, wewe unaona leo hii tuna uongozi bora au unawalaumu "wapinzani" kwa kutuangusha na kutuharibia misingi ya demokrasia ya kweli kwa kutomsikiliza JK?
 
Back
Top Bottom