Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hadi sasa ni machafuko matupu, mawakala wa CUF wametolewa kwenye vyumba vya kupiga kura kwa makosa haya;
(a). Wamegundua baadhi ya masanduku yamejazwa kura ambazo zimeshatatiwa tiki kwa mbunge wa CCM.
(b). Wamegundua kuwa kuna watu hawamo ndani ya daftari la kupiga kura ila wamekuja kupiga kura na walipo pinga ndipo POLISI walivyoamua kuwatoa.
(c) Chumba numba 6 imegundilika kwamba masunduku yote yamejazwa kura.
(d) Mazombi wameanza kupiga watu maeneo ya Fuoni kituo cha Kibondeni
(e) Katika kituo hicho cha Fuoni mabasi yamekua yakisomba watu na kuwaleta kupiga kura. Watu hao si wakazi wa jimbo la Dimani. Picha hapo chini inaonesha moja ya mabasi yanayotumika kusomba watu na kuwapeleka vituoni kupiga kura.
Chanzo; # Hababi_CUF
HaswaKweli kabisa naunga hoja kwa 100%
Watujuuze wale waloko maeneo hayooo
Maana naona kimyaaa kweliiiii
Bila figisufigisu hatuwezi kuheshimiana.Kumekucha jamaa walishazoea ubabe
Tofautisha Nec na ZecTena wapigwe sana maana tamaa imewazidi wapinzani ni juzi tuu mmetuaminisha mlishinda mkaporwa ushindi tume ile ile mazingira yale yale uchaguzi unaandaliwa mnakimbilia kichwa kichwa bora mmpate mnacho stahili mmezidi tamaa
Nao wamekaa kimya wakipokea kipigo?[HASHTAG]#UchaguziMdogo[/HASHTAG] Kata ya Ikweha, wananchi wanapigwa na mbunge wa CCM Mahamud Mgimwa na kuwatisha na bastola wasishiriki uchaguzi.
Nao wamekaa kimya wakipokea kipigo?[HASHTAG]#UchaguziMdogo[/HASHTAG] Kata ya Ikweha, wananchi wanapigwa na mbunge wa CCM Mahamud Mgimwa na kuwatisha na bastola wasishiriki uchaguzi.