OSOKONI
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 10,965
- 5,339
Geita ??Lembeni, Mateves,kijichi,kiwanja cha ndege,kahama na Geita CHADEMA wameshashinda hata kabla ya uchaguzi, watangazwe tu washndi hakuna namna!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Geita ??Lembeni, Mateves,kijichi,kiwanja cha ndege,kahama na Geita CHADEMA wameshashinda hata kabla ya uchaguzi, watangazwe tu washndi hakuna namna!
Huko zenj kuna chama kipya kinaitwa cut?Wakuu mtusaidie tujue mini kinaendelea kuhusu chaguzi ndogo zinazofanyika nchi nzima. Mi nadhani tungepeana updates hapa jukwaan, maana nasikia huko Zenji kuna sintofahamu Kati ya polisi na wananchi baada ya mawakala wa cut kutolewa na kuwekwa kizuizini. Wenye taarifa sahihi mtujuze!! Wahadha Salaam aleykum!!
Ni wale wale tuuTofautisha Nec na Zec
Typing error very sorry!!Huko zenj kuna chama kipya kinaitwa cut?
Acha majungu, weka picha si uko huko?Wakala wa chadema aliyepo Kituo cha uchaguzi kijichi B Mh. CCaro Kazinza kakamatwa na polisi, na kituoni kwake hakuna wakala kwa sasa. Wakala wa akiba dada Salma Sharif alitaka kwenda kusimamia lkn naye amefukuzwa. Watu katika eneo hilo wanakimbizwa na kukamatwa ovyo. Katika pitapita yangu nimekutana na watu ambao wanasadikiwa kuwa ni wana CCM walikuwa wakisema hawatakubali kushindwa kwani watatumia hata goli la mkono.
Haya waangalizi na washabiki wa demokrasia tunaomba mliangalie hili kwa jicho la pekee. Kwani huu ni uchaguzi mdogo tu wa udiwani, je wa ubunge na urais itakuwaje?
Naunga mkono hoja, endesha nchi kidicto..pitisha kwa nguvu Wa upande wetu hata kama hapendwi na wananchi tutamlinda, atakayeleta fyoko kama tia ndani. Walizoea kubembelezwa awamu hii ubabe mbele hakuna kulemba.Heko CCM Na M a DED Kazi nzuri hiyo ndio Demokrasia wapinzania wakileta fujo Polisi iwakamate Na Mahakama iwafunge bila faini
Kwa hiyo mnafanya makusudiMbona mshaanza kulia faulo...