Yaliyojiri katika Chaguzi Ndogo: Uchaguzi wa ubunge jimbo la Dimani na madiwani Tanzania Bara

REF/AB/T/001/2017 22/01/2017
Mkurugenzi wa Uchaguzi,
Tume ya Taifa ya Uchaguzi,
Dar Es Salaam
YAH: UCHAGUZI WA VURUGU
Tafadhali husika na mada ya barua hii kama inavyojieleza hapo juu.
Mhe. Mkurugenzi wa Uchaguzi, kama Mgombea wa Ubunge kwa tiketi ya THE CIVIC UNITED FRONT CUF- Chama Cha Wananchi) napenda kueleza kwako ukiukwaji wa Sheria na taratibu za uchaguzi unaofanywa katika vituo mbali mbali vya uchaguzi kama ifuatavyo:-
1. Kutolewa kwa Mawakala wa Upigaji Kura wa Chama Cha CUF kinyume na sheria ya Tume yaTaifa ya Uchaguzi Na. 1 ya mwaka 1985 (Sura ya 343), na Sheria ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Na. 4 ya mwaka 1979 (Sura ya 292): Katika hali isiyotarajiwa, Mawakala wa Chama changu wametolewa na kudhalilishwa katika vituo vya kupigia kura, Kwa Mfano: Abeid Majid Abeid (Bweleo, Chumba Na. 1), Yunus Masoud Gharib (Bweleo, Chumba Na. 2), Abdi Mustafa Habib (Uwandani, Chumba Na. 6) wametolewa katika vituo vya uchaguzi. Pia tumeshuhudia mawakala wa vyama vyengine wasiokuwa wa CCM wametolewa katika vituo vyao vya kupigia kura, Kwa Mfano: Shani Khatib Khamis (NRA, Fumba, Chumba Na. 2), Mbarouk Ali Haji (NRA, Uwandani, Chumba Na. 3), Ibrahim Muharam Mwinyi (NRA, Uwandani, Chumba Na. 4), Suleiman Othman Omar (CHAUMMA, Kisakasaka, Chumba Na. 2), Masoud Khamis Ramadhan (CHAUMMA, Uwandani, Chumba Na. 3) wote wametolewa kwenye vituo bila ya sababu za msingi kwa lengo maalumu la kukinufaisha Chama Cha CCM.

2. Kubadilishwa kwa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura (DKWK): Itakumbukwa kwamba tarehe 25/10/2015 kulifanyika uchaguzi wa Mbunge wa Dimani na Chama Changu kilipatiwa Nakala ya Daftari la Kudumu la Wapiga Kura, ni jambo la makusudi ambalo limeratibiwa na Tume yako kuandaa Daftari jipya ambalo leo wamepatiwa wasimamizi wa Vyumba vya Uchaguzi likiwa tofauti na lile lililotumikguzi Mkuu wa Oktoba,2015.Vile vile Mawakala, wangu wamegunduwa katika baadhi ya maeneo, wapiga kura halali wametolewa katika vyumba vya kupigia kura wakikoseshwa haki zao za msingi za kuchagua Mbunge wa Jimbo lao la Dimani huku wakishuhudia makundi ya wapiga kura kutoka nje ya shehia zao wanaruhusiwa kupiga kura.

3. Kuruhusiwa kwa Wapiga Kura Haramu kupiga kura: Katika hali ya kusikitisha, wapiga kura kadhaa wameripotiwa kupewa shahada za kupigia za watu wengine na kuruhusiwa kupiga kura na wasimamizi wa vituo vya uchaguzi!

4. Uchaguzi kukabidhiwa na kuendeshwa na Jeshi la Polisi na kuingiliwa na Jeshi la Wananchi wa Tanzania: Kwa mujibu wa Sheia ya Uchaguzi, Tume ya Taifa ya Uchaguzi ndio yenye mamlaka ya kusimamia na kuendesha uchaguzi hapa Nchini; hali inayoonekana katika vituo vyote vya uchaguzi ni kuachiwa Polisi na JWTZ kuendesha uchaguzi na kufanya wanavyotaka wakati wote kwa mfano:Tumeliona gari la JWTZ Na: 3579 JW 14 likichukuwa makundi ya watu wasiokuwa wapigakura wa Dimani na kuwapeleka katika vituo vya kupigia kura vya Fuoni Kibondeni na Kituo cha Skuli ya Sekondari ya Fuoni. Jeshi la Polisi nalo ndilo lenye kazi ya kuwatoa Mawakala pamoja na wapiga kura halali katika viyuo vya kupigia kura kinyume na taratibu za uchagzuzi.

Uchaguzi unaoendeshwa kwa mtindo huu hauwezi kuitwa uchaguzi wa haki na huru na hauwezi kuakisi maamuzi ya wapiga kura.

5. Upigaji wa kura wa Wafu: Tumegunduwa katika vituo mbali mbali wanaletwa watu wasiojulikana na kuwapigia kura watu waliofariki.Mfano mzuri ni ule unaonihusu mimi mwenyewe.
Dada yangu khalisi: Samia Khatib Ramadhan ambaye alifariki tarehe 5 Januari,2017,ambaye alikuwa mpiga kura wa Kituo cha kupigia kura cha Skuli ya Dimani,naye amepigiwa kura katika uchaguzi huu mdogo wa jimbo hili ambalo mimi ni Mgombea.Nnachotaka kufahamishwa Mheshimiwa Mkurugenzi ni sheria ipi ya Tume yako inayoruhusu Mfu kupigiwa kura?

Abdulrazak Khatib Ramadhan
Mgombea wa Uchaguzi, Jimbo la Dimani

Nakala:
Msimamizi wa Uchaguzi,
Katibu Mkuu CUF
Katibu CUF- Wilaya ya Magharibi ?B?
Susia tena si mmekuwa wazoefu wa kususa
 
CC: Mod 1 Mod 5
 
Web - 3.jpg

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji wa Rufaa Mhe. Semistocles Kaijage (Katikati) akizungumza na Msimamizi kituo cha Dimani Bi. Abdi Simai Haji leo wakati zoezi la upigaji kura likiendelea katika jimbo la Dimani.
Web -1.jpg
Mwananchi akipiga Kura kumchagua Mbunge katika jimbo la Dimani leo.
Web -2.jpg

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji wa Rufaa Mhe. Semistocles Kaijage (Kushoto) akizungumza na Mawakala wa Vyama vya Siasa waliokuwepo ndani ya kituo cha kupigia Kura cha Kombeni katika jimbo la Dimani leo.​
Web -0.jpg

Wangalizi wa Uchaguzi katika jimbo la Dimani wakifuatilia matukio mbalimbali wakati wa Uchaguzi mdogo wa Ubunge katika jimbo la Dimani leo.
Web 4.jpg

Wananchi wakiangalia majina yao kabla ya kupiga kura katika kituo cha Bweleo katika jimbo la Dimani leo

*******************************************************

Zoezi la upigaji wa Kura katika vituo mbalimbali lilianza saa 1 asubuhi kwa hali ya Amani na Utulivu huku baadhi ya wananchi waliojitokeza kupiga kura wakipongeza Tume ya Taifa ya Uchaguzine (NEC) kwa maandalizi mazuri kufanikisha Uchaguzi huo.

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji wa Rufaa, Mhe. Semistocles Kaijage akizungumza kuhusu mwenendo wa Uchaguzi huo mara baada ya kutembelea vituo vya kupigia kura katika jimbo hilo na kuzungumza na Mawakala wa Vyama vya Siasa waliokuwepo vituoni, Waangalizi wa Uchaguzi na Wasimamizi wa Uchaguzi huo amesema Tume imeridhishwa na kazi nzuri iliyokuwa ikiendelea katika vituo mbalimbali vya kupigia Kura.

“ Viongozi wa Tume tumetembelea vituo mbalimbali vya kupigia Kura katika jimbo la Dimani; tumeona wenyewe upigaji wa Kura unaendelea vizuri, tumewauliza Mawakala, Watazamaji na Wasimamizi wa Vituo vya Uchaguzi kila mmoja amesema Uchaguzi unakwenda vizuri, nachoweza kuwaambia watanzania Uchaguzi Dimani unakwenda Vizuri” Amesema Jaji Kaijage.

Amesema Wasimamizi wa Uchaguzi katika Jimbo hilo wanaendelea kufanya kazi zao kwa kuzingatia Sheria, Kanuni na Maadili pia kushughulikia kwa haraka changamoto zilizokuwa zikijitokeza katika baadhi ya vituo vya kupigia Kura.

Ameeleza kuwa zoezi zima la upigaji wa Kura linaendeshwa kwa uwazi mkubwa, Utulivu na Amani na kuwawezesha wananchi kupiga kura bila vikwazo vyovyote.

Aidha, Mhe. Kaijage amebainisha kwamba endapo yatajitokeza malalamiko yoyote wakati zoezi la upigaji wa Kura likiendelea katika vituo mbalimbali , Mawakala wa Vyama vya Siasa ambao ni wasimamizi wa Maslahi ya Wagombea na Vyama vyao Vituoni watajaza fomu ya malalamiko Na. 14 kwa mujibu wa Sheria ambayo inatoa fursa ya kushughulikiwa kwa malalamiko hayo.

Aidha, amebainisha kuwa mara baada ya zoezi la upigaji wa kura kumalizika leo saa 10 jioni kazi ya kuhesabu Kura itafuata ili hatimaye wamnanchi wa Jimbo la Dimani waweze kupatiwa matokeo ya maamuzi waliyoyafanya kupitia Kura zao.

Mhe. Kaijage amesisitiza kuwa Wasimamizi wote wa Uchaguzi huo wamepewa mafunzo ya kuzingatia ili kuhakikisha wanaendesha zoezi hilo kwa ufanisi mkubwa na kuwezesha matokeo kutangazwa kwa wakati ili kuwawezesha wananchi kumjua mshindi wa Uchaguzi huo.

“ Endapo taratibu zote za Uchaguzi zitakuwa zimekamilika kwa mujibu wa Sheria, hakutakuwa na sababu yoyote ya kuchelewesha matokeo,mpaka sasa Tume ya Taifa ya Uchaguzi tumeridhishwa na mwenendo mzima wa zoezi la upigaji wa Kura na matokeo yatatolewa kwa wakati” Amesisitiza.

Kwa Upande wake Mkurugenzi wa Huduma za Sheria wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Bw. Emmanuel Kawishe akizungumzia zoezi la Upigaji wa Kura amesema kuwa Wapiga Kura wanaoruhusiwa kupiga kura ni wale waliokidhi Sifa na Vigezo vilivyoainishwa kisheria kuwawezesha kupiga Kura.

Amesema kwa mujibu wa Sheria Msimamizi wa Kituo ndiye mwenye mamlaka ya maamuzi katika kituo cha kupigia Kura ikiwa ni pamoja na kuamuru kuondolewa kwa mtu yeyote atakayeonekana kufanya fujo au kuzuia zoezi la uchaguzi kuendelea kituoni.

Katika Uchaguzi Uchaguzi huo mdogo wa Ubunge wa jimbo la Dimani jumla ya Wapiga Kura 9,280 wanatarajiwa Kupiga kura katika Vituo 29 huku vyama vya Siasa vyenye wagombea vinavyoshiriki Uchaguzi huo ni 11 huku Waangalizi wa Uchaguzi waliojitokeza kushiriki katika Uchaguzi huo ni zaidi ya 300.​
 
Attachments

  • Web 4.jpg
    Web 4.jpg
    66.5 KB · Views: 38
REF/AB/T/001/2017 22/01/2017
Mkurugenzi wa Uchaguzi,
Tume ya Taifa ya Uchaguzi,
Dar Es Salaam
YAH: UCHAGUZI WA VURUGU
Tafadhali husika na mada ya barua hii kama inavyojieleza hapo juu.
Mhe. Mkurugenzi wa Uchaguzi, kama Mgombea wa Ubunge kwa tiketi ya THE CIVIC UNITED FRONT CUF- Chama Cha Wananchi) napenda kueleza kwako ukiukwaji wa Sheria na taratibu za uchaguzi unaofanywa katika vituo mbali mbali vya uchaguzi kama ifuatavyo:-
1. Kutolewa kwa Mawakala wa Upigaji Kura wa Chama Cha CUF kinyume na sheria ya Tume yaTaifa ya Uchaguzi Na. 1 ya mwaka 1985 (Sura ya 343), na Sheria ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Na. 4 ya mwaka 1979 (Sura ya 292): Katika hali isiyotarajiwa, Mawakala wa Chama changu wametolewa na kudhalilishwa katika vituo vya kupigia kura, Kwa Mfano: Abeid Majid Abeid (Bweleo, Chumba Na. 1), Yunus Masoud Gharib (Bweleo, Chumba Na. 2), Abdi Mustafa Habib (Uwandani, Chumba Na. 6) wametolewa katika vituo vya uchaguzi. Pia tumeshuhudia mawakala wa vyama vyengine wasiokuwa wa CCM wametolewa katika vituo vyao vya kupigia kura, Kwa Mfano: Shani Khatib Khamis (NRA, Fumba, Chumba Na. 2), Mbarouk Ali Haji (NRA, Uwandani, Chumba Na. 3), Ibrahim Muharam Mwinyi (NRA, Uwandani, Chumba Na. 4), Suleiman Othman Omar (CHAUMMA, Kisakasaka, Chumba Na. 2), Masoud Khamis Ramadhan (CHAUMMA, Uwandani, Chumba Na. 3) wote wametolewa kwenye vituo bila ya sababu za msingi kwa lengo maalumu la kukinufaisha Chama Cha CCM.

2. Kubadilishwa kwa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura (DKWK): Itakumbukwa kwamba tarehe 25/10/2015 kulifanyika uchaguzi wa Mbunge wa Dimani na Chama Changu kilipatiwa Nakala ya Daftari la Kudumu la Wapiga Kura, ni jambo la makusudi ambalo limeratibiwa na Tume yako kuandaa Daftari jipya ambalo leo wamepatiwa wasimamizi wa Vyumba vya Uchaguzi likiwa tofauti na lile lililotumikguzi Mkuu wa Oktoba,2015.Vile vile Mawakala, wangu wamegunduwa katika baadhi ya maeneo, wapiga kura halali wametolewa katika vyumba vya kupigia kura wakikoseshwa haki zao za msingi za kuchagua Mbunge wa Jimbo lao la Dimani huku wakishuhudia makundi ya wapiga kura kutoka nje ya shehia zao wanaruhusiwa kupiga kura.

3. Kuruhusiwa kwa Wapiga Kura Haramu kupiga kura: Katika hali ya kusikitisha, wapiga kura kadhaa wameripotiwa kupewa shahada za kupigia za watu wengine na kuruhusiwa kupiga kura na wasimamizi wa vituo vya uchaguzi!

4. Uchaguzi kukabidhiwa na kuendeshwa na Jeshi la Polisi na kuingiliwa na Jeshi la Wananchi wa Tanzania: Kwa mujibu wa Sheia ya Uchaguzi, Tume ya Taifa ya Uchaguzi ndio yenye mamlaka ya kusimamia na kuendesha uchaguzi hapa Nchini; hali inayoonekana katika vituo vyote vya uchaguzi ni kuachiwa Polisi na JWTZ kuendesha uchaguzi na kufanya wanavyotaka wakati wote kwa mfano:Tumeliona gari la JWTZ Na: 3579 JW 14 likichukuwa makundi ya watu wasiokuwa wapigakura wa Dimani na kuwapeleka katika vituo vya kupigia kura vya Fuoni Kibondeni na Kituo cha Skuli ya Sekondari ya Fuoni. Jeshi la Polisi nalo ndilo lenye kazi ya kuwatoa Mawakala pamoja na wapiga kura halali katika viyuo vya kupigia kura kinyume na taratibu za uchagzuzi.

Uchaguzi unaoendeshwa kwa mtindo huu hauwezi kuitwa uchaguzi wa haki na huru na hauwezi kuakisi maamuzi ya wapiga kura.

5. Upigaji wa kura wa Wafu: Tumegunduwa katika vituo mbali mbali wanaletwa watu wasiojulikana na kuwapigia kura watu waliofariki.Mfano mzuri ni ule unaonihusu mimi mwenyewe.
Dada yangu khalisi: Samia Khatib Ramadhan ambaye alifariki tarehe 5 Januari,2017,ambaye alikuwa mpiga kura wa Kituo cha kupigia kura cha Skuli ya Dimani,naye amepigiwa kura katika uchaguzi huu mdogo wa jimbo hili ambalo mimi ni Mgombea.Nnachotaka kufahamishwa Mheshimiwa Mkurugenzi ni sheria ipi ya Tume yako inayoruhusu Mfu kupigiwa kura?

Abdulrazak Khatib Ramadhan
Mgombea wa Uchaguzi, Jimbo la Dimani

Nakala:
Msimamizi wa Uchaguzi,
Katibu Mkuu CUF
Katibu CUF- Wilaya ya Magharibi ?B?
Kwikwikwikwikwi. Unahaha kama kuku anataka kutaga. Huoni taarifa zako za uchochezi zinafutwa. Huoni hata aibu!!? Kwikwikwikwi!!!
 
UKAWA hakuna mwananchi mwenye akili timamu atakayewapa kura.

Muda wa kutafuta shughuli nyingine umewadia maana madili yamezuiwa. Mambo ya kuitwa Ikulu na madili hamna tena.

Lazima mfe njaa.
 
Uchaguzi Mdogo wa Dimani
hali ilikuwa nzuri sana na watu wamejitokeza kwa wingi kwenda kupiga kura na kwa kuwa Jimbo hilo ni la CCM hata Cuf wanalijuwa hilo kwa upande wa CUF hata viongozi wa juu hawakwenda kutembele vituoni kama kawaida yao

Wakati huu wa vituo vimefungwa na uhisabuji wa Kura unaendelea na kwa vituo vingi mgombea wa CCM ameshinda kama ilivyo tarajiwa na wengi kwa kura takribani 4,984.00 na CUF 1,213.00 uchaguzi na matokeo hayo yanafana kwa karibu zaidi na uchaguzi uliopita
 
Hiki chama kinajuia kuwa huwa hakipendwi na wananchi bali kinatawala kwa mabavu ya dola
 
REF/AB/T/001/2017 22/01/2017
Mkurugenzi wa Uchaguzi,
Tume ya Taifa ya Uchaguzi,
Dar Es Salaam
YAH: UCHAGUZI WA VURUGU
Tafadhali husika na mada ya barua hii kama inavyojieleza hapo juu.
Mhe. Mkurugenzi wa Uchaguzi, kama Mgombea wa Ubunge kwa tiketi ya THE CIVIC UNITED FRONT CUF- Chama Cha Wananchi) napenda kueleza kwako ukiukwaji wa Sheria na taratibu za uchaguzi unaofanywa katika vituo mbali mbali vya uchaguzi kama ifuatavyo:-
1. Kutolewa kwa Mawakala wa Upigaji Kura wa Chama Cha CUF kinyume na sheria ya Tume yaTaifa ya Uchaguzi Na. 1 ya mwaka 1985 (Sura ya 343), na Sheria ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Na. 4 ya mwaka 1979 (Sura ya 292): Katika hali isiyotarajiwa, Mawakala wa Chama changu wametolewa na kudhalilishwa katika vituo vya kupigia kura, Kwa Mfano: Abeid Majid Abeid (Bweleo, Chumba Na. 1), Yunus Masoud Gharib (Bweleo, Chumba Na. 2), Abdi Mustafa Habib (Uwandani, Chumba Na. 6) wametolewa katika vituo vya uchaguzi. Pia tumeshuhudia mawakala wa vyama vyengine wasiokuwa wa CCM wametolewa katika vituo vyao vya kupigia kura, Kwa Mfano: Shani Khatib Khamis (NRA, Fumba, Chumba Na. 2), Mbarouk Ali Haji (NRA, Uwandani, Chumba Na. 3), Ibrahim Muharam Mwinyi (NRA, Uwandani, Chumba Na. 4), Suleiman Othman Omar (CHAUMMA, Kisakasaka, Chumba Na. 2), Masoud Khamis Ramadhan (CHAUMMA, Uwandani, Chumba Na. 3) wote wametolewa kwenye vituo bila ya sababu za msingi kwa lengo maalumu la kukinufaisha Chama Cha CCM.

2. Kubadilishwa kwa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura (DKWK): Itakumbukwa kwamba tarehe 25/10/2015 kulifanyika uchaguzi wa Mbunge wa Dimani na Chama Changu kilipatiwa Nakala ya Daftari la Kudumu la Wapiga Kura, ni jambo la makusudi ambalo limeratibiwa na Tume yako kuandaa Daftari jipya ambalo leo wamepatiwa wasimamizi wa Vyumba vya Uchaguzi likiwa tofauti na lile lililotumikguzi Mkuu wa Oktoba,2015.Vile vile Mawakala, wangu wamegunduwa katika baadhi ya maeneo, wapiga kura halali wametolewa katika vyumba vya kupigia kura wakikoseshwa haki zao za msingi za kuchagua Mbunge wa Jimbo lao la Dimani huku wakishuhudia makundi ya wapiga kura kutoka nje ya shehia zao wanaruhusiwa kupiga kura.

3. Kuruhusiwa kwa Wapiga Kura Haramu kupiga kura: Katika hali ya kusikitisha, wapiga kura kadhaa wameripotiwa kupewa shahada za kupigia za watu wengine na kuruhusiwa kupiga kura na wasimamizi wa vituo vya uchaguzi!

4. Uchaguzi kukabidhiwa na kuendeshwa na Jeshi la Polisi na kuingiliwa na Jeshi la Wananchi wa Tanzania: Kwa mujibu wa Sheia ya Uchaguzi, Tume ya Taifa ya Uchaguzi ndio yenye mamlaka ya kusimamia na kuendesha uchaguzi hapa Nchini; hali inayoonekana katika vituo vyote vya uchaguzi ni kuachiwa Polisi na JWTZ kuendesha uchaguzi na kufanya wanavyotaka wakati wote kwa mfano:Tumeliona gari la JWTZ Na: 3579 JW 14 likichukuwa makundi ya watu wasiokuwa wapigakura wa Dimani na kuwapeleka katika vituo vya kupigia kura vya Fuoni Kibondeni na Kituo cha Skuli ya Sekondari ya Fuoni. Jeshi la Polisi nalo ndilo lenye kazi ya kuwatoa Mawakala pamoja na wapiga kura halali katika viyuo vya kupigia kura kinyume na taratibu za uchagzuzi.

Uchaguzi unaoendeshwa kwa mtindo huu hauwezi kuitwa uchaguzi wa haki na huru na hauwezi kuakisi maamuzi ya wapiga kura.

5. Upigaji wa kura wa Wafu: Tumegunduwa katika vituo mbali mbali wanaletwa watu wasiojulikana na kuwapigia kura watu waliofariki.Mfano mzuri ni ule unaonihusu mimi mwenyewe.
Dada yangu khalisi: Samia Khatib Ramadhan ambaye alifariki tarehe 5 Januari,2017,ambaye alikuwa mpiga kura wa Kituo cha kupigia kura cha Skuli ya Dimani,naye amepigiwa kura katika uchaguzi huu mdogo wa jimbo hili ambalo mimi ni Mgombea.Nnachotaka kufahamishwa Mheshimiwa Mkurugenzi ni sheria ipi ya Tume yako inayoruhusu Mfu kupigiwa kura?

Abdulrazak Khatib Ramadhan
Mgombea wa Uchaguzi, Jimbo la Dimani

Nakala:
Msimamizi wa Uchaguzi,
Katibu Mkuu CUF
Katibu CUF- Wilaya ya Magharibi ?B?
Invisible hakiki na upandishe juuu
 
Uchaguzi Mdogo wa Dimani
hali ilikuwa nzuri sana na watu wamejitokeza kwa wingi kwenda kupiga kura na kwa kuwa Jimbo hilo ni la CCM hata Cuf wanalijuwa hilo kwa upande wa CUF hata viongozi wa juu hawakwenda kutembele vituoni kama kawaida yao hu

Wakati huu wa vituo vimefungwa na uhisabuji wa Kura unaendelea na kwa vituo vingi mgombea wa CCM ameshinda kama ilivyo tarajiwa na wengi kwa kura takribani 4,984.00 na CUF 1,213.00 uchaguzi na matokeo hayo yanafana kwa karibu zaidi na uchaguzi uliopita
hueleweki. Mara wanaendelea kuhesabu, mara matokeo tayari???
 
Madas wote ni Makada. maded wote pia ni makada. poor africa, poor Tanzania
 
Back
Top Bottom