Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tehetehetehetehe. Sasa nafasi yenu wapinzani ipo wapi? Na je kule mnakoshinda ina maana hakuna hao uliowataja?Huwa yanajulikana mapema. Lakini chama cha siasa kushiriki Uchaguzi ni sehemu ya uenezi pia.
Uchaguzi unajulikana kuwa ni Chadema VS Dola (Polisi,DED, usalama nk) maana mshindani CCM ni kama vile hayupo au ana nguvu kama TLP tuu
Basi sawa mkuu kidumu chama cha mapinduziKwa hiyo majimbo mlioshinda ya akina Lissu, Lema, Mnyika and the like, ulikuwa ni upuuzi tu!
Mkuu tatizo ni kuwa bado kuna watu wanajiita wapinzani kumbe ni mahawara wa Ccm kama Lipumba,Dovutwa nk. Vyama makini mfano utokee Uchaguzi mdogo tena hata vikisusia hao watasimama na kwa vile wapo kisheria basi mbele ya jumuia ya kimataifa utaitwa Uchaguzi wa vyama vingi.
Tujiulize, tuwafanye nini wasaliti hao?
acha uhuni, dimani hamjashinda, msema ukweli mpenzi wa Mungu, mneingiza kura fakekatika Kata 22 zilizofanya uchaguzi mdogo Chama cha Mapinduzi kimeibuka na ushindi wa kishindo kwa kushinda kata 21 huku chama cha demokrasia na maendeleo kikiambulia kata moja pekee mkoani Manyara katika kata ya Duru.
Pia Chama cha Mapinduzi kimeibuka na ushindi mnono katika Jimbo LA Dimani Zanzibar dhidi ya mgombea wa muungano wa ukawa.
Huwa yanajulikana mapema. Lakini chama cha siasa kushiriki Uchaguzi ni sehemu ya uenezi pia.
Uchaguzi unajulikana kuwa ni Chadema VS Dola (Polisi,DED, usalama nk) maana mshindani CCM ni kama vile hayupo au ana nguvu kama TLP tuu
Vyama vingi havikuja tuwe na ushabiki wa kama Yanga na Simba. Ila ni kuleta fikra kinzani chanya zitakazotufikisha mbali kijamii na kiuchumi. Jambo unalotakiwa kufurahia ni kuwa sera au fikra zako zitatekelezwa sio chama chako kimeshinda. Kwa kuwa hatuna Dira kama nchi hata uwepo wa vyama umekuwa ni deal za kujipatia maisha tu lakini si kufikisha maendeleo kwa wananchi. Pole Tanzania pole Africa tuna miaka mingi sana ya kuwa binadamu tutakaolewa nini maana yaChakaza Daudi Mchambuzi
Mpaka sasa kati ya kata 22 CCM wana kata 19
Chadema wao wanakata line za vodacom tu
Pole ndg mwanaMatombo kwa kupigwa kipigo kitakatifu.Hakika huko kwenu leo Matombo ni majonzi na giza lililo kuu!Tuliwaakumbusha lkn kwamba siasa si matamko na mbwembweacha uhuni, dimani hamjashinda, msema ukweli mpenzi wa Mungu, mneingiza kura fake
kwa utawala huu wa awamu ya tano na tume hizi zilizo chini ya wakurugenzi makada wa ccm upinzani wasahau.Ni dhahiri katika uchaguzi mdogo uliorudiwa leo, CHADEMA wamepigwa vibaya mno ndo maana hatujasikia kelele. Tunasubiri kusikia wakilalamika kuwa wameibiwa kura, sasa sijui wale walinzi wao wa kulinda kura wamegoma au?
Vyama vingi havikuja tuwe na ushabiki wa kama Yanga na Simba. Ila ni kuleta fikra kinzani chanya zitakazotufisha mbali kijamii na kiuchumi. Jambo unalotakiwa kufurahia ni kuwa sera au fikra zako zitatekelezwa sio chama chako kimeshinda. Kwa kuwa hatuna Dira kama nchi hata uwepo wa vyama umekuwa ni deal za kujipatia maisha tu lakini si kufikisha maendeleo kwa wananchi. Pole Tanzania pole Africa tuna miaka mingi sana ya kuwa binadamu tutakaolewa nini maana ya
Matokeo Rasmi kata ya Isagehe-Kahama ni km ifuatavyo;
-NCCR-MAGEUZI-KURA=11
-CHAUMA-KURA=11
-C.U.F-KURA=30
-CHADEMA-KURA=439
-ACT-WAZALENDO-KURA=578
-C.C.M-KURA=1562.
Kura zilizoharibika ni -49.
Bado hata ukiunganisha kura zao wamepigwa!!Naona kata hii UKAWA waligawana Mbao
ACT tupo vizuri...tunakuja taratibu.Matokeo Rasmi kata ya Isagehe-Kahama ni km ifuatavyo;
-NCCR-MAGEUZI-KURA=11
-CHAUMA-KURA=11
-C.U.F-KURA=30
-CHADEMA-KURA=439
-ACT-WAZALENDO-KURA=578
-C.C.M-KURA=1562.
Kura zilizoharibika ni -49.