mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Nguvumoja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unapitwa?Hupitwi kama lile TAGA, Bia yetu!
Mbona Kama jaji kashatoa uamuzi maneno yake kuwa upande wa mashtaka mtamleta shahidi na atakaa kizimbani kuendelea kutoa ushahidi si tayari anaashiria kukataaa pingamizi.Salaam Wakuu,
Leo tarehe 16/11/2021 kesi ya Mwenyekiti wa CHEDEMA Freeman Mbowe inaendelea.
Kujua jana kesi ilipoishia, soma: Yaliyojiri kesi ya Freeman Mbowe na wenzake Nov 15,2021
Haha! Usiseme yote kaka!;Mkuu,wabongo wengi tuna matatizo ya akili yasababishwayo na msongo wa mawazo, sonona, umasikini na ugumu wa maisha, kunakopelekea tuishi kihasirahasira na kikichaakichaa...
Na mimi nimeshangaa au labda sijaelewa vizur kuhusu mapingamizi ya jana.Mbona Kama jaji kashatoa uamuzi maneno yake kuwa upande wa mashtaka mtamleta shaidi na atakaa kizimbani kuendelea kutoa ushahidi si tayari anashiria kukataaa pingamizi
Huyu Jaji anayumba sana.Mbona Kama jaji kashatoa uamuzi maneno yake kuwa upande wa mashtaka mtamleta shaidi na atakaa kizimbani kuendelea kutoa ushahidi si tayari anashiria kukataaa pingamizi
Hili hata mimi sijaelewa, kama hakuna typing errors, basi jaji kashatoa maamuzi, ila tuu haja yaandika.Mbona Kama jaji kashatoa uamuzi maneno yake kuwa upande wa mashtaka mtamleta shaidi na atakaa kizimbani kuendelea kutoa ushahidi si tayari anashiria kukataaa pingamizi
Huyu Jaji anafanya makusudi kuharibu kesi. Anataka asilaumiwe na waliomtuma ili maamuzi yake yakatiwe rufaa.Upande wa mashtaka mutamleta shahidi atakaa kizimban na ataendelea kutoa ushahidi wake, mbona sasa kama tayari ameshatoa uamuzi kwa namna yake fulani hivi
Jaji anawapa muda mawakili wa Serikali kwenda kumfunda vizuri shahidi wao ambaye akili yake ni ndogo.sana kuweza kushika uongo anaofundishwa kuja kuutoa mahakamani.Salaam Wakuu,
Leo tarehe 16/11/2021 kesi ya Mwenyekiti wa CHEDEMA Freeman Mbowe inaendelea.
Kujua jana kesi ilipoishia, soma: Yaliyojiri kesi ya Freeman Mbowe na wenzake Nov 15,2021
Ungana nami katika uzi huu ili kujua kila kinachojiri Mahakamani.
Nafikili wakati wa kutoa mahamazi, shaidi anatakiwa awepo kizimbani, na vile vile unavgofikiria pia InawezekanaMbona Kama jaji kashatoa uamuzi maneno yake kuwa upande wa mashtaka mtamleta shaidi na atakaa kizimbani kuendelea kutoa ushahidi si tayari anashiria kukataaa pingamizi
AminaMkuu atachomoka tu