Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe: Jaji aahirisha kutoa uamuzi mpaka tarehe 17/11/2021 saa tatu asubuhi

Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe: Jaji aahirisha kutoa uamuzi mpaka tarehe 17/11/2021 saa tatu asubuhi

Hili jua la Leo liongezeke kidogo li wachome Jaji na Shahidi wake hadi wa seme sms walikuwa wanapokea toka kwa nani?
Hizi ni mbinu za kukawiza haki. Hakimu anasubiri maagizo kutoka kwa wakubwa zake. Atapiga chini pingamizi. Ndiyo maana amehitimisha kauli ya kuahirisha kesi kwa kuwataka upande wa mashitaka wamlete shaidi kesho kuendelee kutoa ushahidi.
 
Jaji amesha ona haya maamuzi yake ya kuwa beba serikali ina kuja kuwa mbaya kwake. Maana kina Kibatala wana kusanya taarifa za kukata rufaa. Kule hakuna poyoyo tena. Bali kuangalia ni wapi Jaji ali teleza na kupa lalamikia.

Kwenye maamuzi yake tayari kuna mbeleko moja alisha ibeba serikali wazi wazi. Na hii inakwenda kufutwa na mahakama ya rufaa. Kina Kibatala sio maboya. Wako makini sana kwenye haya mapingamizi yao.

Jaji wabebe utakavyo ila maamuzi yako yana kwenda kuwa reference mbovu mahakamani.
 
Polisi wa tz kweli wanafahamika kwa matendo yao maovu Ila hii story yako ina walakini
 
Salaam Wakuu,

Leo tarehe 16/11/2021 kesi ya Mwenyekiti wa CHEDEMA Freeman Mbowe inaendelea...
Histotria ya Belshaza, Azaria, Mishaeli na Hanania ilionesha ukuu wa Mungu ndani ya serikali ya Babeli chini ya Chifu Hanganya Nebukadneza. Hata Sasa Bwana atawatendea Mbowe na wenzake.

Wakati ule wa Nebkadneza watu walilia na kumwonea huruma Daniel na wenzake wakijua hawata pona kamwe. Nebkadneza alikuwa anatisha. Akiamua jambo huponi.

Watu wa Mungu walikuwa wamamcheki wanasema hiihii hiiiiii!!!
 
Jaji amesha ona haya maamuzi yake ya kuwa beba serikali ina kuja kuwa mbaya kwake. Maana kina Kibatala wana kusanya taarifa za kukata rufaa. Kule hakuna poyoyo tena. Bali kuangalia ni wapi Jaji ali teleza na kupa lalamikia...
Lakini pia kumbuka maamuzi ya judge ni 1wapo ya vyanzo vya sheria. Hivyo usishangae hayo maamuzi yake unayosema ni ya kuibeba serikali ikawa ni marejeo katika maamuzi ya kesi mbalimbali Dunianj.
 
Upande wa mashtaka mutamleta shahidi atakaa kizimban na ataendelea kutoa ushahidi wake, mbona sasa kama tayari ameshatoa uamuzi kwa namna yake fulani hivi
Maamuzi mnapewa in advance.

Jaji hajamalizia tu kuandika ndio maana ameomba mpaka kesho.
 
Jaji anawapa muda mawakili wa Serikali kwenda kumfunda vizuri shahidi wao ambaye akili yake ni ndogo.sana kuweza kushika uongo anaofundishwa kuja kuutoa mahakamani. Wakati huo huo Jaji naye anaenda kupigwa msasa na mamlaka ya uteuzi ili ahakikishe Mbowe anafungwa.Hakika mhimili wa Mahakama na tasnia ya sheria kwa ujumla wake imenajisiwa vibaya sana.

Sikuwahi kufiria kwamba jaji anaweza kula njama za kumdhuru mtu katika maamuzi pasipo haki. Na jaribu tu kuvuta historia ya majaji wengi waliojenga legacy ya huu mhimili wa mahakama I.E. Jaji lugakingira, kyando, mchome, chipeta, nk na baadhi.... Things fall apart kabisa
 
Mkuu jmushi1 nimeisoma hiyo link inaenda mpaka walipoishia jana ebu icheki tena.
Wakati anaanzisha hii thread, ilikuwa haipo. Naona walifanya update...

Sasa jaji kaongea tofauti na alivyoongea jana. Ni kama ameshatoa uamuzi kuwa shahidi aendelee kutoa ushahidi.

Jana alichosema hapo chini, ndivyo alivyotakiwa kusema hata leo wakati analihairisha shauri hilo.

Jaji: Basi kesho tarehe 16 saa 5 asubuhi kesi itakuja kwa maamuzi madogo MJIANDAE KWA YOTE.. Shahidi, naomba uwepo ILI uamuzi ukiwa utaendelea kuwepo basi tutaendelea Nahairisha kesi mpaka kesho saa 5 asubuhi
 
Mbona Kama jaji kashatoa uamuzi maneno yake kuwa upande wa mashtaka mtamleta shaidi na atakaa kizimbani kuendelea kutoa ushahidi si tayari anashiria kukataaa pingamizi.
Upo sahihi, hata mimi nimejiuliza hilo swali. Jana alisema hivi...

Jaji: Basi kesho tarehe 16 saa 5 asubuhi kesi itakuja kwa maamuzi madogo MJIANDAE KWA YOTE.. Shahidi, naomba uwepo ILI uamuzi ukiwa utaendelea kuwepo basi tutaendelea Nahairisha kesi mpaka kesho saa 5 asubuhi
 
Lakini pia kumbuka maamuzi ya judge ni 1wapo ya vyanzo vya sheria. Hivyo usishangae hayo maamuzi yake unayosema ni ya kuibeba serikali ikawa ni marejeo katika maamuzi ya kesi mbalimbali Dunianj.
Mahakama kuu haiwezi tengua maamuzi ambayo yalisha fanywa na mahakama ya rufaa.. Ni sawa yanaweza kuwa rejea kwenye kesi duniani. Sio lazima iwe kwa rejea positive inaweza pia kuwa rejea negative. Kama umesoma andiko langu hadi mwisho nime taja hilo.
 
Kigezo cha kumpa mtu ujaji mana yake ni nguli wa sheria na mashauri mbalimbali. Sasa inakuaje judge toka jana Hana majibu ya shauri?Huyu judge toka mwanzo amekua slow kutoa uamuzi. Hata kama atapinga hoja i ya utetezi. Lakn bado kesi ni ngumu kwa Mashahidi waliobaki.
 
Salaam Wakuu,

Leo tarehe 16/11/2021 kesi ya Mwenyekiti wa CHEDEMA Freeman Mbowe inaendelea.

Kujua jana kesi ilipoishia, soma: Yaliyojiri kesi ya Freeman Mbowe na wenzake Nov 15,2021

Ungana nami katika uzi huu ili kujua kila kinachojiri Mahakamani...

Mbona amesisitiza shahidi atakuja na ataendelea kutoa ushahidi? haya si maamuzi tayari issue ni kuyasoma tu? au mimi ndio sijaelewa?

Tuache kupotezeana muda. Au ni Maamuzi gani hayo yalikua yafanyike leo?
 
Back
Top Bottom