Stan Mashamba
JF-Expert Member
- Apr 22, 2020
- 3,183
- 2,479
Hizi ni mbinu za kukawiza haki. Hakimu anasubiri maagizo kutoka kwa wakubwa zake. Atapiga chini pingamizi. Ndiyo maana amehitimisha kauli ya kuahirisha kesi kwa kuwataka upande wa mashitaka wamlete shaidi kesho kuendelee kutoa ushahidi.Hili jua la Leo liongezeke kidogo li wachome Jaji na Shahidi wake hadi wa seme sms walikuwa wanapokea toka kwa nani?
Hawa mashetani wanazidi kujivua nguo hadharaniJaji anamwambia shahidi kesho awepo aendelee kutoa ushahidi!?!? Hapo si tayari katoa uamuzi kwamba nshahidi ataendelea kuwa shahidi licha ya ushahidi wake ni wa kutazamia?
Watu wa ajabu sana, unamkaba akuletee TAARIFA KAMILI umemwajiri?Shukurani ya punda ni mateke! Jamaa ameweka bando kwa pesa yake ya ngama, lakini wajumbe hamridhiki tuu! Umewai hata kusema Asante kwa hizi taarifa?!
Histotria ya Belshaza, Azaria, Mishaeli na Hanania ilionesha ukuu wa Mungu ndani ya serikali ya Babeli chini ya Chifu Hanganya Nebukadneza. Hata Sasa Bwana atawatendea Mbowe na wenzake.Salaam Wakuu,
Leo tarehe 16/11/2021 kesi ya Mwenyekiti wa CHEDEMA Freeman Mbowe inaendelea...
Kaulimbinu ya Simba Sports Club. Safi sana!Nguvumoja
Days for murderers (CCM and its police force) are numbered. "Karibu katiba mpya na tume huru ya uchaguzi vituondolee huu uchafu".Polisi Goba, Dar, wajeruhi kwa kipigo, majeruhi yuko ICU, anapumlia mashine, madaktari wasema, kupona kwake utakuwa muujiza wa Mungu...
Lakini pia kumbuka maamuzi ya judge ni 1wapo ya vyanzo vya sheria. Hivyo usishangae hayo maamuzi yake unayosema ni ya kuibeba serikali ikawa ni marejeo katika maamuzi ya kesi mbalimbali Dunianj.Jaji amesha ona haya maamuzi yake ya kuwa beba serikali ina kuja kuwa mbaya kwake. Maana kina Kibatala wana kusanya taarifa za kukata rufaa. Kule hakuna poyoyo tena. Bali kuangalia ni wapi Jaji ali teleza na kupa lalamikia...
Maamuzi mnapewa in advance.Upande wa mashtaka mutamleta shahidi atakaa kizimban na ataendelea kutoa ushahidi wake, mbona sasa kama tayari ameshatoa uamuzi kwa namna yake fulani hivi
Jaji anawapa muda mawakili wa Serikali kwenda kumfunda vizuri shahidi wao ambaye akili yake ni ndogo.sana kuweza kushika uongo anaofundishwa kuja kuutoa mahakamani. Wakati huo huo Jaji naye anaenda kupigwa msasa na mamlaka ya uteuzi ili ahakikishe Mbowe anafungwa.Hakika mhimili wa Mahakama na tasnia ya sheria kwa ujumla wake imenajisiwa vibaya sana.
Wakati anaanzisha hii thread, ilikuwa haipo. Naona walifanya update...Mkuu jmushi1 nimeisoma hiyo link inaenda mpaka walipoishia jana ebu icheki tena.
Jaji: Basi kesho tarehe 16 saa 5 asubuhi kesi itakuja kwa maamuzi madogo MJIANDAE KWA YOTE.. Shahidi, naomba uwepo ILI uamuzi ukiwa utaendelea kuwepo basi tutaendelea Nahairisha kesi mpaka kesho saa 5 asubuhi
Haikuwepo mwanzoni wakati thread hii inaanzishwa.Rudi kasome tena mkuu, tayari iko hadi mwisho.
Daah ila ndiyo hayo. Kwasababu ameshamuambia shahidi aje kesho kutoa ushahidi wakeMaamuzi mnapewa in advance.
Jaji hajamalizia tu kuandika ndio maana ameomba mpaka kesho.
Daah ila ndiyo hayo. Kwasababu ameshamuambia shahidi aje kesho kutoa ushahidi wakeMaamuzi mnapewa in advance.
Jaji hajamalizia tu kuandika ndio maana ameomba mpaka kesho.
Upo sahihi, hata mimi nimejiuliza hilo swali. Jana alisema hivi...Mbona Kama jaji kashatoa uamuzi maneno yake kuwa upande wa mashtaka mtamleta shaidi na atakaa kizimbani kuendelea kutoa ushahidi si tayari anashiria kukataaa pingamizi.
Mahakama kuu haiwezi tengua maamuzi ambayo yalisha fanywa na mahakama ya rufaa.. Ni sawa yanaweza kuwa rejea kwenye kesi duniani. Sio lazima iwe kwa rejea positive inaweza pia kuwa rejea negative. Kama umesoma andiko langu hadi mwisho nime taja hilo.Lakini pia kumbuka maamuzi ya judge ni 1wapo ya vyanzo vya sheria. Hivyo usishangae hayo maamuzi yake unayosema ni ya kuibeba serikali ikawa ni marejeo katika maamuzi ya kesi mbalimbali Dunianj.
Salaam Wakuu,
Leo tarehe 16/11/2021 kesi ya Mwenyekiti wa CHEDEMA Freeman Mbowe inaendelea.
Kujua jana kesi ilipoishia, soma: Yaliyojiri kesi ya Freeman Mbowe na wenzake Nov 15,2021
Ungana nami katika uzi huu ili kujua kila kinachojiri Mahakamani...