Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe: Jaji aahirisha kutoa uamuzi mpaka tarehe 17/11/2021 saa tatu asubuhi


Naomba kuuliza, hivi ikifahamika kuwa hakimu au jaji ametoa hukumu kwa kupindisha sheria ni hatua gani za kisheria anachukuliwa? Isije ikawa nao wana kinga ya hukumu za kupindisha sheria, hivyo kutoa mwanya wa kufanya wapendavyo kinyume na sheria.
 
Nyie mnacheza tena mnacheza mko uchi kama mnategemea rufaa ndiyo akatokee huko mmekwisha tu pia maana huko nako mnawakuta majaji hamumkuti malaika huko
 
Salaam Wakuu,

Leo tarehe 16/11/2021 kesi ya Mwenyekiti wa CHEDEMA Freeman Mbowe inaendelea.

Kujua jana kesi ilipoishia, soma: Yaliyojiri kesi ya Freeman Mbowe na wenzake Nov 15,2021
Hawa Mawakili wa serikali na jaji wao, jumlisha wadau wa kutunga KESI ni wapumbavu,ieleweke , UPUMBAVU SIO TUSI BALI NI UPEO MDOGO WA KUPAMBANUA MAMBO.

Mawakili utetezi ,walisema ni Kwamba lazima Kama upo kizimbani ukiwa afisa wa police au Kama shahid na una document lazima omba kibali KWA mahakama husika fuul stop ,

Kama ukuomba Basi huo ni wizi Kama wizi mwingine wa nyaraka ,au kutazamia , Sasa hoja iyo ambayo ipo wazi inamfanya jaji kuhalisha KESI , Mambo ya kipuuzi ,eti unaanndika,unaandika nini wakati shahidi alijisalimisha mwenyewe KWA kuinua vitu alivyo tumiwa navyo kinyume Cha taratibu za Mahakama, Bila ruhusa ya Mahakama? Mfano sim, diary, na pen, ?

Kama SIO MPANGO wa kuwatesa watuhumiwa ni nini Sasa?

Majaji wa mwendazake sema kweli wanaidhalilisha mahakama,but MUNGU yupo
Salaam Wakuu,

Leo tarehe 16/11/2021 kesi ya Mwenyekiti wa CHEDEMA Freeman Mbowe inaendelea.
K
 
Na mimi nimeshangaa au labda sijaelewa vizur kuhusu mapingamizi ya jana.
Bado ni shahidi halali hadi atakapochambua vifungu vya sheria pande zote mbili nakujua ukweli upi.
NB Kuna umuhimu kuwa na majaji wa Dola na Jamhuri.
Mie sijui sheria,ila kitendo cha jaji kukubali notibook ikae mahakamani maana yake jaji anafahamu shahidi alikosea
 
Jaji hawezi kuamua jambo mpaka afanye consultation kwa Jaji Kiongozi Siyani
 
Mkuu, mbona inakomea tu saa za mchana pale jaji anaposema mapumziko mpaka saa 8 na dk 20?
 
Ni mijinga michache isiyojua kwa nini yamekuwa yanaishi. Wa ovyo na visifa vya kiranja kiranja
 
Huyo jaji ni bure kabisa na ni wa kimkakati halafu hata afiche basi, hamna, very useless kangaroo court judge.

Tusubiri ruling atakayokuja nayo hata kwa hoja rahisi kama hii ambayo hata "Layman" anaona, ndio kila mwenye kufikiri atajua kwamba hii kesi ni ya kipumbavu namna gani.
 
Naomba kuuliza, hivi ikifahamika kuwa hakimu au jaji ametoa hukumu kwa kupindisha sheria ni hatua gani za kisheria anachukuliwa? Isije ikawa nao wana kinga ya hukumu za kupindisha sheria, hivyo kutoa mwanya wa kufanya wapendavyo kinyume na sheria.
Nikiangalia rufaa zinazokatwa, na waliohukumiwa kushinda rufaa zao, MAANA YAKE MAJAJI NA MAHAKIMU KUNA NAMNA WANALINDWA PINDI WANAPOTOA HUKUMU ZISIZO NA HAKI
 
Nyie mnacheza tena mnacheza mko uchi kama mnategemea rufaa ndiyo akatokee huko mmekwisha tu pia maana huko nako mnawakuta majaji hamumkuti malaika huko
Kwa maneno haya.. nanukuu.. HAMUMKUTI MALAIKA HUKO...mwisho wa kunukuu... MAANA YAKE UONEVU UNAENDA KUCHUKUA NAFASI YA HAKI
 
Huyu jaji anatafuta namna gani atakataliwa na utetezi ili ajiondoe kwenye hili chaka aliloingizwa. Kama hajamaliza kuandika maana yake hajatoa hukumu lakini anawaambia upande wa mashitaka wahenga shahidi apande kizimbani atoe ushahidi! Anajua kabisa ni kinyume na taratibu za maamuzi ya kimahakama, kwamba hawezi kuliwekea utaratibu shauri ambalo hata kuandikwa kwake hakijakamilika. Maana yake anataka aonekane amepewa maelekezo kwamba lazima shaihidi aendelee na si vinginevyo, na kwa maana hiyo wamkatae ajitoe. Hahahaaaa ngoja tusubiri.
 
Ndiomana kasema shahidi aje,

Basically, atatoa uamuzi shahidi akiwepo mahakamani...
atakaa kizimbani

Maana yake, uamuzi utatolewa akiwa kizimbani. Bado anazo sifa za kuwa shahidi.
na ataendelea kutoa ushahidi.
Wala msiwe na shaka au wasiwasi kwa statement hiyo ya Jaji.

This simply means that, shahidi bado yupo chini ya kiapo cha ushahidi, bado ana sifa ya kuitwa "shahidi"...

Na kauli hii "ataendelea kutoa ushahidi", ina maana ya kuwa si lazima awe anadodoswa pale kizimbani. Bali ni kwa sababu " bado ana sifa ya kuitwa shahidi" at least for some few seconds tomorrow before the judgement...
 
Jaji hana kauli nyingine anayoweza kuitoa zaidi ya hiyo...

Na sababu ni moja tu, kuwa, bado shahidi hajavuliwa sifa za kuwa shahidi...

Lakini sheria haidanganyi, iko wazi. Na hoja za kisheria za upande wa utetezi ni nzito na zina nguvu zaidi kuliko za washtaki...

Habari njema ni hii...HUYU SHAHIDI HAENDI ZAIDI YA HAPO ALIPOFIKIA..!

Jaji hana pa kutokea. Yuko uchi mchana kweupe. Ni lazima achutame tu...
 
Naomba kuuliza, hivi ikifahamika kuwa hakimu au jaji ametoa hukumu kwa kupindisha sheria ni hatua gani za kisheria anachukuliwa? Isije ikawa nao wana kinga ya hukumu za kupindisha sheria, hivyo kutoa mwanya wa kufanya wapendavyo kinyume na sheria.
Hatua za kisheria ni kukata rufaa.
 
Judge Mfalila, Judge Kisanga, Judge Samatta, Judge Lewis Makame
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…