Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe na wenzake, kesi imeahirishwa mpaka 15, Nov 2021

madesa... ha ha ha ha ha scripts ni ngumu kukariri jamani.
 
mbowe ndiyo anatia nchi hii nuksi na UGAIDI WAKE
 
Dah... Washazoea kuiba kura wanadesa mpaka mahakamani...
 
Serikali inawafanya mawakili waonekane malofa. Ni dhahiri serikali ina-collude na wale maafisa wa mahakama bandia, wasiojulikana waliopenyeshwa ndani ya mahakama. Marehemu aliua kabisa mhimili wa mahakama na Bunge.

Bahati mbaya wanaofanya haya akili zao ni kidogo sana, watazidi kuumbuka zaidi kila siku ipitayo.
 
TRUE
 
Watu wanavyopiga Kelele juu ya kesi hii unaweza dhania kuwa Mbowe anajulikana sana hapa TZ kumbe ni boya mmoja tu.
 
kwa sababu natoa kitu halisi MBOWE GAIDI AFUNGWE MILELE
Mahakama haifanyi kazi namna hiyo dogo, inahitaji ushahidi wa kujiridhisha pasi na shaka na ndiyo maana Shahidi wenu wanaingia na madesa kufanya uhalali wa kumfunga mbowe.., ngoma bado mbichi.
 
Updates:

Jaji amesema kutokana na swala la privacy ya shahidi, simu yake atarudishiwa. Ila diary itakaa chini ya uangalizi wa mahakama, then j3 utatolewa uhamuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…