Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe na wenzake, kesi imeahirishwa mpaka 15, Nov 2021

Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe na wenzake, kesi imeahirishwa mpaka 15, Nov 2021

ERYTHROCYTE VIPI WAZUNGU SIKU HIZI WAMESHAKATA PUMZI YA KUSHABIKIA UGAIDI WA MBOWE?
Wameshajuwa Samia ni pimp wa kesi hawajishughulishi na ujinga wa Samia hawana sababu ya kuona Jaji anaiba nyaraka stoo kumpa shahidi wa serikali hawapendi upumbavu wajaji kuruhusu shahidi wa serikali anasoma majibu kwenye simu na diary haha Samia ni zumbukuku limemchweya chifu Hangaya alidhani kesi ya kubumba ni kizenj zenj shetani kamchoka kambwaga atajiju
 
Hivi kwanini vile vitu yaani simu na ile dairy havijakaguliwa leo leo kabla hajarudishiwa?? Nimesikia Jaji akisema atabakiza dairy huku simu akisema arudishiwe shahidi. Wanaweza kuja weekend hii nakufanya mabadilisho. Hawa watu ni mabingwa wa kufanya editing nyaraka za Mahakama. Ni hayo Tu Mh Tindo

Mahakama imeagizwa kuibeba serikali, ndio maana jaji anakuwa refa na wakati huo mchezaji.
 
Mbowe akiwa jela chief Hangaya atakuwa kamfuata kaka yake Magu kuzimu ndio principle ya dhuluma hadi sasa kajisiiliba kinyesi akili yake kaa makonda vile
Hata kama jaji angekuwa ni katibu wa CCM, hakuna hoja za kumfanya mbowe awe na kesi ya kujibu.

Mahakama kuu haitakubali kujidharaulisha kiasi hicho..
 
Wakili wa Serikali: Mheshimiwa Jaji Sasa haya Maombi haya semi kama ni Kwa Mujibu wa Sheria au Lah na Kwa sababu hiyo Hatujui ni zoezi la Kisheria..

Kibatala: Sheria Inakataza na Mpaka kesi zipo za Marejeo Vifungu Vya 127 Vya Sheria ya Ushahidi,

... ona tofauti! Wakili wa Serikali hajui kwamba kuna sheria inakataza shahidi kupanda na "vibuti" kizimbani!
Mtiririko huu hapa unaweka wazi kuwa Jamuhuri inawakilishwa na the best advocates ila mbele ya kina Kibatara ni sunday school babies.
 
Bashite wewe kiazi ulifeli darasa la nne mara 4 la saba mara 2 chuo.Moshi walikudisco ukarudi umeapa kubaki jina ukamaliza kwa nguvu za sita kwa sababu alikuondoa marinda habari yako Tanzania nzima tunaijuwa so usijitoe ufahamu
ndege JOHN Ni MANDAKO?? Aiseeee
 
Mkuu sijasema popote kuwa wananukuu public mood, nilichosema ukiwasikiliza na ukochora body language yao kifasihi utagundua kuwa kuna mahari Ni Kama wanakwenda na public mood, japo hawawez wakasema, ili ujastfy heb Angalia kile kibatara alichokise wakati anatoa zuio la kukataa kielelezo, mpka akasema hyo mtu ana diary cjui sim[emoji15][emoji15] cjui kama unanielewa, Sasa Angalia chanzo Cha alikotoa hyo taarifa, unaweza kuona how public mood inavyo waendesha wanasheria wetu, na ujue hata ile kesi ya yule mkuu wa wilaya ingekuwa inarepotiwa hivi Bila shaka isingekuwa imeisha...

Ww lazima utakuwa ni mzee, tena unayelalia kwenye upande wa siasa chafu za serikali. Kinachokuudhi kwenye hiyo kesi ni baada ya kuona uhuni wa serikali wa kesi ya kutunga unakaa wazi, hivyo unataka hiyo kesi iwe siri. Eti kesi inaenda na public mood, itaacha kuwa na public mood wakati Rais na IGP wamekuja public ili kumchafua Mbowe na haiba ya chama chake? Hiyo kesi haifanani kwa chochote na ya Sabaya maana hii ni ya kutunga, na ya Sabaya ilikuwa ni ya kweli na ushahidi wa wazi. Hii wamejazana mashahidi wa uongo toka upande wa jamuhuri ili kupotosha, uzuri ni kuwa mawakili wa utetezi wako vizuri kwenye upande wa hiyo kesi.
 
MACHUKIZO Hao mashahidi wataendelea sana kupotoka sababu NI CHUKIZO KWA MUNGU KUWA SHAHIDI WA UONGO.
 
Ww lazima utakuwa ni mzee, tena unayelalia kwenye upande wa siasa chafu za serikali. Kinachokuudhi kwenye hiyo kesi ni baada ya kuona uhuni wa serikali wa kesi ya kutunga unakaa wazi, hivyo unataka hiyo kesi iwe siri. Eti kesi inaenda na public mood, itaacha kuwa na public mood wakati Rais na IGP wamekuja public ili kumchafua Mbowe na haiba ya chama chake? Hiyo kesi haifanani kwa chochote na ya Sabaya maana hii ni ya kutunga, na ya Sabaya ilikuwa ni ya kweli na ushahidi wa wazi. Hii wamejazana mashahidi wa uongo toka upande wa jamuhuri ili kupotosha, uzuri ni kuwa mawakili wa utetezi wako vizuri kwenye upande wa hiyo kesi.
Hapa umemtwanga na kitu kizito, lazima aelewe tu.

Cc Boniphace Bembele Ng'wita
 
Mkuu sijasema popote kuwa wananukuu public mood, nilichosema ukiwasikiliza na ukochora body language yao kifasihi utagundua kuwa kuna mahari Ni Kama wanakwenda na public mood, japo hawawez wakasema, ili ujastfy heb Angalia kile kibatara alichokise wakati anatoa zuio la kukataa kielelezo, mpka akasema hyo mtu ana diary cjui sim[emoji15][emoji15] cjui kama unanielewa, Sasa Angalia chanzo Cha alikotoa hyo taarifa, unaweza kuona how public mood inavyo waendesha wanasheria wetu, na ujue hata ile kesi ya yule mkuu wa wilaya ingekuwa inarepotiwa hivi Bila shaka isingekuwa imeisha...
Kwahiyo unaumia watu kuwa informed.
Huoni kama umetumia msamiati usio sawia?unachosema hakina tofauti na kile kwenye mprira kwamba wachezaji wanacheza na jukwaa kiambacho ni uwongo...
Hakuna ubaya wowote mawakili kuwa informed.They alot of study n reseach on everything they defend.Mbona huumii hawa mawakil wa serikal wanavyocheza na "executive mood pamoja na mood ya dola na majaji wa mahakama yenyewe?"

Kwakifupi umma wa watanzania umeamua kwa dhat kabisa kuukataa uovu ndio maama wanashiriki kufichua kila nia mbovu...
Suala la Kibatala katoa wap taarifa hiyo haihusiani na chochote as long as haiathir mwenendo wa kesi.

Pia hata kama kesi itachelewa kuisha, hakuna ulazima wa kuharakisha kesi iishe mapema wakat kuna loop holea kibao zinazoonyesha kasoro kuwa kesi ina kila hila na uovu wa washtaki.sasa wewe unataka tufuate mkondo wa Sabaya keai iende haraka haraka ili Mbowe afungwe kirahis kama mlovyo plan??? Maana mlivyomhukum 7ya licha kwamba ilikua haki yake mlikua pia mnawaanda kisaikolojia watu waridhike kirahia pia hata hukumu nzito itakaposhuka kwa Mbowe kitu ambacho mli miscalculate ...

Acha kesi iende hiv hiv hata kama itakuchukua yeara cha msing haki ipatikane.

Na mwisho kama umesoma vizuri, Kibatala mwenyewe kaweka wazi kwamba "Profesaor Jay ameni text kuwa shahidi anasoma" na hapa ndipo waligundua kwakua wao wali concerntrate kufuatilia mengine huku wanyetishaji nao wako mahakam kufuatilia mengine.Usije ukadhan kila anaye kwemda mahakama mwana cdm ukadhan kaenda bora mradi tu.People are claver brother hawaendi pale kupoteza muda tu.Kama kusikiliza keai tu basi wangeweza kufuatilia mitandaon kama tunavyofanya wengine
 
Mkuu sijasema popote kuwa wananukuu public mood, nilichosema ukiwasikiliza na ukochora body language yao kifasihi utagundua kuwa kuna mahari Ni Kama wanakwenda na public mood, japo hawawez wakasema, ili ujastfy heb Angalia kile kibatara alichokise wakati anatoa zuio la kukataa kielelezo, mpka akasema hyo mtu ana diary cjui sim[emoji15][emoji15] cjui kama unanielewa, Sasa Angalia chanzo Cha alikotoa hyo taarifa, unaweza kuona how public mood inavyo waendesha wanasheria wetu, na ujue hata ile kesi ya yule mkuu wa wilaya ingekuwa inarepotiwa hivi Bila shaka isingekuwa imeisha...
Ni vyema ungelala au ukhudumia ndoa
 
Niliyaongea mapema Ile kuwa shahidi ANAONGEA Kama KAKARIRISHWA,kumbe alikuwa na dayari amejaza nondo za kutosha. Msemwa ,,hivi wanao Ndugu na marafiki wakiona unatoa vitu mahakamani si watakutharau?? Ona sasa .NILISEMA Ile mapema mwisho WA ubaya NI fedheheko.
 
Uko sahihi. Ninaona kauli za IGP na Rais zikiwa sehemu ya shauri hili. Je Jaji atakuwa tayari kuonesha kuwa Rais hakuwa sahihi? Je Jaji yuko tayari kuonesha maneno ya IGP “mbowe sio malaika, ushahidi tunao…” hayataathiri uamuzi wake??

Ninaona kesi hii ikikwama huko mbele hasa pale mahakama itakapoombwa kuita mashahidi wanaotakiwa na utetezi!
Mkuu 'NewOrder', kwani huyo Rais ndio sheria?

Mahakama inatakiwa kufuata utaratibu wake wa kufanya kazi bila kujali haya mambo mengine yanayoingizwa humo.

Jaji atakuwa amejijengea heshima kubwa sana, hasa kwenye kesi iliyo wazi kama hii, kufuata tu taratibu za kimahakama na kuacha sheria ifanye kazi ipasavyo.

Rais na hao wengine uliowataja hapo hawana mchango wowote katika utoaji HAKI, ambayo ndiyo kazi ya mahakama.

Hawa watu wanapokiuka taratibu kama walivyofanya kwenye kesi hii, njia pekee ni kuwaacha waaibike kwa ujinga wao, wakidhani wao wako juu ya sheria, kumbe hawako juu ya sheria.

Shida inayoongeza matatizo yetu, ni kwa watu wanaojitambua kama wewe kuanza kuwa na wasiwasi, kwamba kauli zao haziwezi kupingwa. Hili linawaongezea kiburi cha kuzidi kukiuka sheria, wakijua tunaotawaliwa kumbe ni majuha!
 
Kesi ya kutunga, mashahidi wanaokotwa tu njiani eti kwa sababu ni Askari Wa upelelezi...

Yaani shahidi wa Jana Jumanne akaibiwa nondo toka stoo ya mahakama...

Huyu wa leo naye kwa sababu ya maandalizi ya haraka haraka amepewa nyaraka ambayo hata siyo ya kwake eti itumike kama kielelezo cha ushahidi wake...

Hawa mawakili wa Jamhuri kwa kushirikiana na maafisa wa mahakama hakika ni WAJINGA SANA na NIA YAO kwa watuhumiwa hawa kwa hakika wala hata siyo KUTENDA HAKI na haki hiyo ionekane INAVYOTENDEKA...

Hivi utaletaje barua iliyokuwa addressed kwa mtu mwingine na kuifanya kuwa yako ili uitumie kama ushahidi ili mwenzako ahukumiwe..??

Hivi kuna Jaji gani mjinga anaweza kukubali UJINGA HUU...?

Huyu Jaji, Mimi ninaamini kabisa kuwa, hata kama iko nguvu ya nje kumlazimisha kuwahukumu kifungo kina Mbowe na wenzake, lakini haiwezekani kuwa kwa njia za kijinga namna hii kwa uongo wa mchana kweupe kiasi hiki...

Ni Bahati mbaya sana kuwa huyu Jaji anashirikiana na watunga uongo WAPUMBAVU na WAJINGA SANA kiasi cha kumpa wakati mgumu sana Jaji kuwabeba beba kila wakati...

Hii nyaraka nayo haitapokelewa kwa hakika nawaambia for the same grounds kama ambavyo D.R ya Jumanne ilikataliwa jana kwa mujibu wa sheria..

Hongereni sana mawakili wa utetezi. Mko makini sana na mnafanya kazi kubwa sana kuzidhibiti hila za UOVU WA HAWA HAYAWANI....!!

NB:

OUT OF CONTEXT:

Hivi njia na utaratibu wa kuchangia mfuko wa mawakili na kesi za wapigania haki wa CHADEMA uko wapi...?
Mstari wa mwisho huo wengi wanaulizia ipoje hii wana kiu tu ya kuchangia ili nafsi zao zipate furaha. Huenda kuna kitu wanakwepa lkn huenda wakapokea burungutu kwa kweli
 
Back
Top Bottom