Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe - Novemba 17, 2021: Kesi yaahirishwa mpaka tarehe 18/11/2021 saa tatu asubuhi

Mahakama inatakiwa kutoa mfano wa kufuata sheria ili taasisi nyingine pia ziinge mfano - kwa hiyo Mwalimu akimkamata denti na desa kwenye chumba cha mtihani asichukuliwe hatua kama desa hilo hajalifunua.

Asante sana Jaji kutupa mwenendo mpya !!
Huu ndio ule weledi wa kitanzania, kutumia desa ruksa, kutoa kupokea mlungula ruksa, uhujumu uchumi ruksa Kwa mujibu wa mtoa haki.
 
Serikali ya Tanzania ina shida na Ugaidi..wataupata tu !! Na wasije wakalia lia.
Huu wa Ruvuma/ Mtwara unawatoa jasho,sembuse huo wa kufikirika. Wanaume magaidi wa Mozambique huko Ruvuma wanatumaliza sana [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji849][emoji849][emoji849]
 
wewe umesoma kweli sheria ya Ugaidi au unafuata mkumbo tu?
tumia akili wewe acha kufuata mkumbo.
kwa akili yako unadhani ili ushahidi ukamilike eti mpaka awe alitekeleza matukio hayo ya kihalifu.
sio hivyo, nenda kasome sheri ya ugaidi usinipotezee muda buree.
 
Ugaidi ni mipango kama aliyo kuwa anaipanga mboe na wenzake.
Mipango ni jambo moja na utekelezaji wa mipango ni jambo jingine.
Lakini mipango ya mboe ili lenga kuleta madhara kwa mali na kwa wananchi na kuuwa baadhi ya viongozi hata kama ilikuwa bado haijatekelezwa lkn bado haiondoi uovu wa Mbowe kwa Jamii.
mboe na watu wake hawafai kwenye Jamii, wanapaswa watengwe na jamii ili kuepusha madhara.
 
Kwa kesi hii ya Mhe Mbowe mtihani mtihani yangu Open University nimepata nondo za maana za kujibia mtihani. Thanks very much DPP.
 
Leo Jaji ameahirisha kesi na kumsisitiza shahidi kuja mahakamani "....REGARDLESS YA KITAKACHOTOKEA...."

Jana alimaliza na kumsisitiza shahidi kuja mahakamani ili "aendelee kutoa" ushahidi wake na watu kulalamika kuwa, "KUMBE ANA MAAMUZI TAYARI...!!!"

Nini maoni yenu wadau? Je, ni dalili ya Jaji kumtupa nje shahidi huyu...??
 
Kumbe Jaji Tiganga yumo humu JF. Baada ya kusoma comments za wajumbe Jana kuhusu kruhusu Shahidi kutoa ushahidi Kesho yake wakati hajatoa Uamzi wa pingamizi Leo kaja na lugha mpya, "regardless maamuzi yatalayotolewa kesho'.
 
Jaji ana ruhusu kudesa[emoji872][emoji872]sijui Mwenda zake aliwatoa wapi hawa watu.. Kwamba umekamatwa na majibu ya mtihani. Examiner hakutoi chumba cha mtihani bado ana ruhusu uebdelee na paper.
Nadhani sasa kina Mbowe wamkatae huyu Jaji au wayajatie rufaa maamuzi yake.
 
Kumbuka bosi wake anaweza kumtetea Kwa kuwa anakinga ya kutoshitakiwa Kwa makosa atakayo fanya kipindi Cha utumishi wake, hapa dawa ni kuitaka katiba mpya tuitokomeze hii Kansa kwani ina Lila taifa Kwa Kasi ya 6G.
 
Lakini sugu alishinda Rufaa, kuonesha mahakama ilimuhukumu kimakosa
Hata Sugu mlisema hivyo hivyo.

Siku ya hukumu mkatoka mnalia.

Wakili msomi na mtaji wake.
Nyumbu andaeni michango jamani mwenyekiti atatoka tu mapema mwaka kesho kutwa.
Unatukana watanzania wenzako kisa sio wa chama chako. Wewe ni zaidi ya unaowatukana. Kutofautiana vyama isiwe chuki na matusi, Bali kuelimishana kwa hoja.
 
Jaji ameitwa jina Joachim alipozaliwa, Baba mzazi wa BIKIRA MARIAM aliitwa JOACHIM (Mtakatifu Joachim), alikuwa mtu wa haki mbele za Mungu pamoja na mke wake Anna (Mtakatifu Anna).
Sasa huyu Jaji amepewa jina la aliye haki ila yeye kwa mwenendo na dhamira amekuwa mwenye hila na asiyehaki kwa dhamana aliyobeba...Eee Mwenyezi Mungu wa Ibrahimu, wa Isaka na Yakobo ambaye ndiye Mungu wetu, Sisi tumekuachia wewe juu ya majaji wa namna hii...
kwa namna hii yaelekea hakuwa na wito wa kazi anachojali kufurahisha watawala na kufurahia mishahara na marupu rupu yanayotokana na kodi za watu wako.....
 
Ugaidi wa kufikirika, ugaidi wa laki sita! Ukiwaambia Al Shababu Kuna ugaidi wa laki sita, watacheka wavunjike mbavu! Halafu gaidi unasafiri naye kutwa mnakunywa mtori na MO energy!
 
Kama Mbowe atafungwa basi Samia atakuwa ameharibu kila kitu kuhusiana na wasifu wake.
 
Ushahidi unaotolewa ni wa ukamataji tu, ushahidi wa ugaidi bado hata DALILI hazipo, vielelezo vya ugaidi detention register na m iamala ya simu TIGO! Haya masihara.
 
Ushahidi unaotolewa ni wa ukamataji tu, ushahidi wa ugaidi bado hata DALILI hazipo, vielelezo vya ugaidi detention register na m iamala ya simu TIGO! Haya masihara.
Unaharaka ya nini, wewe kula mtori nyama utakutana nazo chini.

Hata hivyo maelezo aliyo kiri Lig'wenya na yakapokelewa uliyasikiliza wakati yanasomwa?
mzee mboe kakaangwa na kina Lingwenya na Bwire.
au kwa lugha ya mitaani tunasema wamemchoma mzee mzima mboe.
 
Ugaidi wa kufikirika, ugaidi wa laki sita! Ukiwaambia Al Shababu Kuna ugaidi wa laki sita, watacheka wavunjike mbavu! Halafu gaidi unasafiri naye kutwa mnakunywa mtori na MO energy!
wewe ulidhani ugaidi ni lazima uwe na mamilioni?! halafu usisahau kuwa mboe ni mchaga!! pesa haitoki ovyo!
yote na yote ugaidi au uhalifu wowote ule haupimwi kwa kiwango cha fedha bali dhamira/maandalizi na kuuelekea utekelezaji.
hata hivyo unaweza kunaswa na kutiwa nguvuni hata kama bado uko kwenye mipango na ukashitakiwa, kama yalivyo mkuta mboe na wenzake.
 
Hii kesi ishakuwa ngumu kwa Tiganga 4 sure. Kwa hali inavyokwrnda ni kama hajui anachokifanya.
 
Kwani wewe hufuati mkumbo? Wamekamatwa na vitu/vifaa gani vya kutenda ugaidi au mnakurupuka tu maigizo yenu? Bastola ya kumshikisha mtu ndio zana ya ugaidi? Kwani mama yako hana bastola?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…