Mlachake
JF-Expert Member
- Oct 13, 2009
- 4,437
- 4,618
Kwani pgo inasemaje, hata King'aa anajua mziki was kuzuia live updates.
Mkuu PGO umewapelekesha puta wale Jamaa mahakamani mimi ndio nitajua kitu kweli?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani pgo inasemaje, hata King'aa anajua mziki was kuzuia live updates.
Kwakuwa ni wakupiga chaboMboana wanahaha kuzuia usipokelewe
Usijilinganishe nao, wanasema kwao hawahitaji wenye akili.Mkuu PGO umewapelekesha puta wale Jamaa mahakamani mimi ndio nitajua kitu kweli?
Mtobesya ikutobhesya kuikoroti!!Salaam Wakuu,
Leo tarehe 17/11/2021 kesi ya Mwenyekiti wa CHEDEMA Freeman Mbowe inaendelea baada ya kuahirishwa siku ya jana.
Kujua jana kesi ilipoishia, soma: Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe: Jaji aahirisha kutoa uamuzi mpaka tarehe 17/11/2021 saa tatu asubuhi
Ungana nami katika uzi huu ili kujua kila kinachojiri Mahakamani.
Mtobesya: Ya tatu ni NBC AND ANOTHER Vs BRUNO VITUS SWALO Maamuzi ya Mahakama Ya Rufaa Iliyoketi MBEYA (Civil Appeal).. Kwa Maana hiyo Jambo hili lilihitimishwa Kwamba ni FUNTUS OFICIO. Kwenye Maamuzi ilionekana Kwamba Siyo Sahihi Kwa Kuleta Jambo ambalo limeshatolewa Uamuzi. Kwamba Kwa Kielelezo ambacho Shahidi Wa Pili anaomba Mahakama kukipokea, Mahakama ikatae hicho Kielelezo.. Na Kwa Sababu hiyo Naomba Kimkaribisha Kaka Yangu Peter Kibatala.
Kibatala: Mheshimiwa Jaji hii Nyaraka Ipo inapatikana ila kwa Uhusiano wa Kaka na Dada Nawaazima ya kwangu.. Mheshimiwa Jaji Sasa niende Kwenye dhana ya Estoppel.. Naialika Mahakama Katika kesi ya ISSA ATHUMAN Vs JAMHURI Ukusara wa 25 na 26 Paragraph ya pili.
Ilikuwa ni Kesi ya Madai lakini Mahakama ya Rufaa ikasema inafaa Kutumika Kwa Kesi ya Jinai.. Naomba Pia Nikupeleke kwenye Kesi namba 264 Mwaka 2004 Chini ya aliyekuwa Jaji Mkuu wakati huo Jaji Othuman JULIUS MICHAEL AND FOUR OTHERS Vs REPUBLIC katika Ukusara wa SitaUkurasa wa 6,7,8 na 9.
- Kibatala Anasoma...
Kibatala: Kwamba Jambo lililokuwa limesha amriwa Katika Kesi hiyo Kurudishwa tena Mahakamani.. Imekataza. Page ya 8 ya Kesi ya Julius Michael ilisema Kwamba Issue ya Estoppel ina maana Kwamba, Siyo Sahihi Kwa Jambo lililokuwa limeamriwa a Kurudishwa Mahakamani
Kibatala: Kwamba Jambo lililokuwa limesha amriwa Katika Kesi hiyo Kurudishwa tena Mahakamani.. Imekataza. Page ya 8 ya Kesi ya Julius Michael ilisema Kwamba Issue ya Estoppel ina maana Kwamba, Siyo Sahihi Kwa Jambo lililokuwa limeamriwa a Kurudishwa Mahakamani.
Kibatala: Kwa Sababu ya Criminal Fairness, Value za Taasisi Zinazofanya Maamuzi Kulinda Hadhi yake, kutolutumia Muda na Fedha Kuamua Jambo hilohilo, Kwa kuwa Jambo lilisha amriwa basi haliwezi Kurudiwa tena.. Ni hayo tu. Kibatala anaketi..
Jaji: Serikali!!?
Wanapinga usipokelewe sababu haukidhi viwango na upo kinyume na sheria/utaratibu.Ni hayo tuMboana wanahaha kuzuia usipokelewe
Picha inaonyesha tofauti mkuudayari tayari ishakaguliwa na ilikuwa ni bonge la desa, shahidi kafunzwa kumsemea mwenzake uongo , MUNGU aliye juu atajibu tu, soon.
Wanapinga usipokelewe sababu haukidhi viwango na upo kinyume na sheria/utaratibu.Ni hayo tu
Kwakuwa ni wakupiga chabo
Mbona mwamba kashika tama,afu anaonekana kapauka sana?
Sana tuHii kesi mpaka iishe majaji na mahakama vitakuwa vimezaraulika
Duuuh aiseeeAnother day in court. Tunamsubiria Jaji. View attachment 2013685
Ushahidi wa taratibu za kipolisi ni sawa upowamegwaya baada ya kuona kuwa kuna ushahidi wa kutosha kuwa mboe alikuwa anaratibu mipango ya kigaidi.
Na mie nimeona hili wallah.Hiyo dairy imesha badilishwa wala wasipoteze mda kuikagua
Anakufikiria wewe mkewe kuwa utakuwa unamsaliti kwa kugawa kitumbua hovyoMbona mwamba kashika tama,afu anaonekana kapauka sana?