Analyse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 17,637
- 47,413
Jaji kavu sana aiseeMpaka hapa naona jaji kamhalalisha shahidi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jaji kavu sana aiseeMpaka hapa naona jaji kamhalalisha shahidi
Upo mahakamani mkuu?Mpaka hapa naona jaji kamhalalisha shahidi
Uganda magaidi walitaka kulipua bunge siyo vituo vya kuuza mafuta ya taa!
Mungu akutangulie utuhabarishe bila ushabiki wa kifipa.
Hapana ila napokea updates kutoka vyanzo vingine maana hapa wako slowUpo mahakamani mkuu?
Niko kwa shahidi kwenye kibanda cha mbege!View attachment 2013766umeshakunywa uji na mihogo kada?😃😀
Utakuwa unadoea mbege ya wenzako hapo ccm ni nyokoNiko kwa shahidi kwenye kibanda cha mbege!
Hahahaaaa.......!Utakuwa unadoea mbege ya wenzako hapo ccm ni nyoko
Wakala wa shetani kazini!!Ulaniwe wewe na familia yako.sana
Good for you.Atafungwa muda siyo mrefu.Afungwe kabisa ili wewe na ukoo wako mpate Kinga ya kifo hapa duniani.Wamfunge tu..ushahidi wenyewe upo wazi kuliko ule wa sabaya wa kuunga unga na gundi
My take: kama kukiwepo na contents ambazo zina relate na kesi, ina maana kwamba shahidi atakuwa ameitumia diary bila ya kuomba ruhusa ya mahakama.Hahaha huyu jaji anatuona sisi hatuna akili kabisa au ndo tuseme naye anajichanganya kama mashahidi
Mwanzo kadai kua shahidi anaruhusiwa kupanda kizimbani na material kama diary bila kuhitaji ruhusa, na kwa hilo akaona haoni sababu ya kumtoa shahidi..
we mkuu suley unazingua.Salaam Wakuu,
Leo tarehe 17/11/2021 kesi ya Mwenyekiti wa CHEDEMA Freeman Mbowe inaendelea baada ya kuahirishwa siku ya jana.
Kujua jana kesi ilipoishia, soma: Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe: Jaji aahirisha kutoa uamuzi mpaka tarehe 17/11/2021 saa tatu asubuhi
Ungana nami katika uzi huu ili kujua kila kinachojiri Mahakamani.
Hiyo dairy imesha badilishwa wala wasipoteze mda kuikaguaHahaha huyu jaji anatuona sisi hatuna akili kabisa au ndo tuseme naye anajichanganya kama mashahidi
Mwanzo kadai kua shahidi anaruhusiwa kupanda kizimbani na material kama diary bila kuhitaji ruhusa, na kwa hilo akaona haoni sababu ya kumtoa shahidi
At the same time anasema anakubaliana na kibatala kwamba ufanyike ukaguzi kwenye diary ya shahidi kuangalia kama kuna content ambazo zina relate na kesi
Sasa ukaguzi wa nini wakati mwanzo mheshimiwa jaji umesema shahidi anaruhusiwa kuingia na diary ambapo baadaye shahidi ataweza kuomba ruhusa kwa ajili ya kujikumbusha?
Kwa hiyo hata kama ikionekana diary ilikua na contents ambazo zina relate na kesi, bado itakua ni bure kwasababu nwanzo ulishaweka backup kua shahidi hakukutwa akiwa anasoma.
Huyu jaji ni wakupingwa tu hamna kitu hapo
Uganda magaidi walitaka kulipua bunge siyo vituo vya kuuza mafuta ya taa!
Mungu akutangulie utuhabarishe bila ushabiki wa kifipa.
Tuko pamojaSalaam Wakuu,
Leo tarehe 17/11/2021 kesi ya Mwenyekiti wa CHEDEMA Freeman Mbowe inaendelea baada ya kuahirishwa siku ya jana.
Kujua jana kesi ilipoishia, soma: Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe: Jaji aahirisha kutoa uamuzi mpaka tarehe 17/11/2021 saa tatu asubuhi
Ungana nami katika uzi huu ili kujua kila kinachojiri Mahakamani.
Na kwasababu alishatoa tamko jaji kwamba shahidi haitaji ruhusa kuingia na diary kizimbani basi itatafsirika kua hizo content hazina madhara kwenye hii kesiMy take: kama kukiwepo na contents ambazo zina relate na kesi, ina maana kwamba shahidi atakuwa ameitumia diary bila ya kuomba ruhusa ya mahakama.