Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe - Novemba 17, 2021: Kesi yaahirishwa mpaka tarehe 18/11/2021 saa tatu asubuhi

Mi si mwanasheria, naomba msaada. Detention Register ipo mikononi mwa mahakama, shahidi anaiomba na anapewa, anakaa nayo kisha anakuja iwasilisha kizimbani katika ushahidi wake. Kuna uthibitisho upi kuwa haijabadirishwa au kuongezewa?
 
Acha hoja za kitoto gaidi lazima afungwe...mbona watu binafsi wanalipa mawakili..mbowe nini kwa mfano..
 
Mwanafunzi akikutwa Na kibomu ndani ya chumba cha mtihani asibughuZiwe labda akionekana akikitumia kibom hicho ndio apunguziwe maksi.

Jaji kapiga tikitaka huku kavaa msuli na ndani hajavaa boksa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nasikia hilo desa ilibaki mahakamani

Kwa hiyo nikiingia na nyezo aka madesa ndani chumba cha mtihani, kama sijazitumia ni sawa tu bwana Jaji ??
 
Na mie nashangaa hapo tu.
Mawakili wa utetezi ni wazalendo. Kitendo cha kuomba kwenda kando kuongea ni kuzuia aibu kwa mahakama na taifa, ya madudu yaliyo onekana kwenye detention register.
 

hali mbaya
 
Kina kibatala achieni ngazi haraka. Kesho jitoeni kabisa na mheshimiwa azungumze kesho. Hatahitaji kujitetea wala kutetewa tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…