Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe - Novemba 18, 2021. Kesi imeahirishwa hadi Novemba 22, 2021

Shida inapokuja kulipoti habari za mahakama, sipidi ni mwendo wa konokono, au M.m hayupo?
Nenda mahakamani mwenyewe usikilize kesi acha kulalamika kama mjinga
 
Siasi zilivyo za ajabu unawezakuta hawa ni Watu wa karibu sana na Mbowe au ukute ni MDEE na MNYIKA. Ukiangalia jinsi Iboya anavyochangia mijadala muda wote inawezekana akawa ni LEMA anam SNITCH jamaa
Iboya hawezi kuwa Mnyika au Lema. Iboya ni Boya siku nyingi hata kabla ya hii kesi bambikizi.
 
Unasema kweli! Yaani wewe humo kwenye hizo baraka? Ndiyo maana unaonekana mara kwa mara kama umechanganyikiwa; usijue ushike lipi uache lipi!
Tatizo lenu nyie Warombo mnaamini siasa ni uadui!

Kuwa CCM haimaanishi nipinge hata mazuri ya Chadema.

Nyie ndio aliwasema Katambi kuwa ni chombo cha kubebea Zege.

We mrombo bure kabisa!
 
kimekuuma?
 
Mkuu kwa umaridsdi wa kibatala katika kupiga misumari ya kisheria kinyume na maoni kama wengine walivyozoea Jaji aliomba muda akatoka sijui alienda kupiga simu haikupokelewa gafla akarudi ooh maamuzi kesho hayawezekani!!! Mpaka j3.
 
Mimi nadhani hizo 10 minutes alikwenda kupiga simu kibaya haikupokelewa ndo maana akasema......
 
If you're fool, you don't know that you're fool, it's the same as when you die, you don't know that you're dead only people know that you're dead. So I can only say sorry to you.
 
TANZANIA NCHI ILIYOJAA UONEZI IPO SIKU NA SIKU HIYO ANAIJUA MUNGU WATU WATATAMANI ARIDHI IPASUKE WAINGIE LKN ITASHINDIKANA.HAKI HUINUA TAIFA NA INABAKI HIVYO.
 
Mkuu kwa umaridsdi wa kibatala katika kupiga misumari ya kisheria kinyume na maoni kama wengine walivyozoea Jaji aliomba muda akatoka sijui alienda kupiga simu haikupokelewa gafla akarudi ooh maamuzi kesho hayawezekani!!! Mpaka j3.
Alienda kuvuta fegi!
 
uko kijiwe gani Cha gahawa. Umevimbiwa bila shaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…