mulwanaka
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 5,262
- 12,855
Huyu ni Mhaya mwenzangu anatoka Kanyingo wilaya ya missenyi'Mtobesya', atakuwa ni wa Mwanza huyo, Ukerewe ndio wenye majina kama hilo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu ni Mhaya mwenzangu anatoka Kanyingo wilaya ya missenyi'Mtobesya', atakuwa ni wa Mwanza huyo, Ukerewe ndio wenye majina kama hilo.
Wewe mtu wa kukaanga mihogo tu unaongeaje mambo ya sheria ongelea mambo size yako, after all, hata wakichemsha wewe inakupa tabu gani si ndio furaha yenu ccm. Very hopeless.Natoa Ushauri wa Bure kwa Jopo la Mawakili Upande wa Bowe;
1. Watafute kiongozi mwengine wa wa Jopo lao ili awe kiongozi wao, wamtamtafute wakili wa zamani mtu mzima na mzoefu wa muda mrefu, mfano kama Kina Mabere Marrando, Taslima, sio lazima hao lkn mfano wa hao.
Moja kati ya hao wazee wazoefu wa siku nyingi ndio anapaswa kuwa kiongozi wa jopo lao sio Kibatala au Malya kama ilivyo sasa.
kwa sasa Jopo lililopo limewaka moto, yaani wote pale injini zina chemka hivyo lazima kuwepo na "coolant" engine.
Faida yake wataiona wakati wa kuendelea kusikiliza kesi.
Hapana - umeeleza isivyo sawa. Kithibiti ni kisu lakini kimetumika kwenye kesi ndogo baada ya kusimamisha kesi kubwa.Una kisu kama kielelezo kwenye kesi ya mauaji, unaleta Shahidi wa Kwanza ku tender kielelezo hicho upande wa Utetezi unapinga upatikanaji wake Hadi kufikia kuletwa mahakamani. Unaleta Shahidi wa pili unamtaka Ku tender kielelezo kilekile ambacho Mahakama awali ilisema hakikufika mahakamani kihalali, hiyo ndo hoja ya Utetezi. Ni mtego Kwa Mahakama maana wakiruhusu wataonekana lile pingamizi la juzi walilipokea wakijua mbele wataruhusu Shahidi mwingine kuingiza kielelezo hichohicho.
BOWE 🤔Natoa Ushauri wa Bure kwa Jopo la Mawakili Upande wa Bowe
Basi sawa.Huyu ni Mhaya mwenzangu anatoka Kanyingo wilaya ya missenyi
Huyu jaji ni wale lissu aliwasema wanapewa tu na mheshimiwa bila hata kuangalia uwezo wao product za mwendazake hizo Jana kitu kila kitu kupiga masimu tu kuulizia.In my opinion, huyu jaji pamoja na kwamba anatekeleza maagizo fulani kutoka pahala lkn uwezo wake pia kitaaluma ni mdogo, ni "Novice" kabisa.
Kadri siku zinavyozidi kusogea ndio ukweli huo utakavyozidi kudhihiri. Tuweke macho.
1. NotebookUGANDA VS OKUMU REAGAN AND FIVE OTHERS
..... There should be evidence of the party's or counsel's consent, connivance, procurement, or knowledge regarding the violation before a sanction can be imposed against that party.....
....... Mahakama maana wakiruhusu wataonekana lile pingamizi la juzi walilipokea wakijua mbele wataruhusu Shahidi mwingine kuingiza kielelezo hichohicho....
kwa pingamizi namba... A court may find that no prejudicial violation occurred if it was clearly inadvertent...
Kwa jinsi walivyo eleza Mawakili wa utetezi, Wame demonstrate (display) vizuri why pingamizi lao lipewe uzito........In any event, the party seeking exclusion of another party's witness bears the burden of demonstrating that such relief is appropriate under the circumstances.
Unatakiwa uwe na sababu za kutosha sana kuzuia ushahidi kwa sababu likifanyika hilo madhara yake hayana tiba kwa upande wa mashtaka. Ila ukiruhusu ushahidi upande wa utetezi bado una nafasi ya kufanikisha nia yao kwenye dodoso na cross examination.1. Notebook
2. Nyaraka kupatikana kwa shahidi kinyume na utaratibu uliowekwa, tena nikwa malayapili.
kwa pingamizi namba
1. Kwamba shahidi hakuingia nawala hakua anatumia ile Notebook intentionally kweli.?
Japo halina mana lishatolewa uamuzi kwamba shahidi hataondolewa, ila Notebook kagueni.
2. WS hawakujua kwamba walitakiwa omba Ruhusa kwa judge ilikupata nyaraka ambayo tayar ipo store ya mahakama?
if they knew it, this means they decided to go against utaratibu ama sheria intentionally.
Kwa jinsi walivyo eleza Mawakili wa utetezi, Wame demonstrate (display) vizuri why pingamizi lao lipewe uzito.
Nandio maana hata Jaji ameona it's better atumie muda wakutosha kuzi process hoja izo.
Pingamizi lakwanza ilikua kumtoa shahidi nakufuta ushahidi wake wote {nandilo lina relate sana na maelezo haya ya kesi ya UGANDA vs OKUMU}
Ila pingamizi hili lapili nikuzuia tuu ile nyaraka isipokelewe.
All in all
Tusubiri J3, Uamzi atao kuja nao Mh Jaji.
nikweli kabisa mkuu.Unatakiwa uwe na sababu za kutosha sana kuzuia ushahidi kwa sababu likifanyika hilo madhara yake hayana tiba kwa upande wa mashtaka.....
Swala ni kwamba sheria ndiyo inayo zungumza na ndiyo inayotoa muongozo wanini kifanyike kabla ya kipi.........wanajaribu kuzuia ushahidt amabayo ni injustice kubwa sana na si SAHIHI.
Na hapo aliairisha akashindwa kutoa maamuzi anasubiri Chief hangaya ampe maelekezo njaa hizi zinaaribu utaratibu....anakoelekea atajitoa tu atakuja judge mwingineJaji anayajua yote anayoeleza Mtobesya, tatizo namna ya kuwabeba Jamhuri ndipo tatizo linapokuja
Kesi sheria nyingi ni tafasri na tafasri ni maoninikweli kabisa mkuu.
Swala ni kwamba sheria ndiyo inayo zungumza na ndiyo inayotoa muongozo wanini kifanyike kabla ya kipi.
Sio hisia wala maoni binafsi ya mtu.
Jifunze kuheshimu wenzakoNa hapo aliairisha akashindwa kutoa maamuzi anasubiri Chief hangaya ampe maelekezo njaa hizi zinaaribu utaratibu....anakoelekea atajitoa tu atakuja judge mwingin