Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe - Novemba 18, 2021. Kesi imeahirishwa hadi Novemba 22, 2021

Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe - Novemba 18, 2021. Kesi imeahirishwa hadi Novemba 22, 2021

Natoa Ushauri wa Bure kwa Jopo la Mawakili Upande wa Bowe;

1. Watafute kiongozi mwengine wa wa Jopo lao ili awe kiongozi wao, wamtamtafute wakili wa zamani mtu mzima na mzoefu wa muda mrefu, mfano kama Kina Mabere Marrando, Taslima, sio lazima hao lkn mfano wa hao.

Moja kati ya hao wazee wazoefu wa siku nyingi ndio anapaswa kuwa kiongozi wa jopo lao sio Kibatala au Malya kama ilivyo sasa.

kwa sasa Jopo lililopo limewaka moto, yaani wote pale injini zina chemka hivyo lazima kuwepo na "coolant" engine.

Faida yake wataiona wakati wa kuendelea kusikiliza kesi.
Wewe mtu wa kukaanga mihogo tu unaongeaje mambo ya sheria ongelea mambo size yako, after all, hata wakichemsha wewe inakupa tabu gani si ndio furaha yenu ccm. Very hopeless.
 
Una kisu kama kielelezo kwenye kesi ya mauaji, unaleta Shahidi wa Kwanza ku tender kielelezo hicho upande wa Utetezi unapinga upatikanaji wake Hadi kufikia kuletwa mahakamani. Unaleta Shahidi wa pili unamtaka Ku tender kielelezo kilekile ambacho Mahakama awali ilisema hakikufika mahakamani kihalali, hiyo ndo hoja ya Utetezi. Ni mtego Kwa Mahakama maana wakiruhusu wataonekana lile pingamizi la juzi walilipokea wakijua mbele wataruhusu Shahidi mwingine kuingiza kielelezo hichohicho.
Hapana - umeeleza isivyo sawa. Kithibiti ni kisu lakini kimetumika kwenye kesi ndogo baada ya kusimamisha kesi kubwa.
Turejee kesi ya
UGANDA VS OKUMU REAGAN AND FIVE OTHERS

"After the inquiry into the violation and resulting prejudice, the trial court then proceeds to address the propriety of a sanction. There should be evidence of the party's or counsel's consent, connivance, procurement, or knowledge regarding the violation before a sanction can be imposed against that party. The rationale for this is that refusal to permit a witness in violation to testify because his or her violation has tainted the testimony is a sanction on the party offering the evidence, not the witness. The party is subject to sanction where there is evidence of that party's or counsel's consent, connivance, procurement or knowledge regarding the violation.A court may find that no prejudicial violation occurred if it was clearly inadvertent. This in not, however, to suggest that in every case a trial court must hold a “mini-trial” on the issue of a sequestration or discovery violation and the imposition of a sanction. It may do so at it did in this case by inviting submissions on the point, asking further questions of the prosecution and the defence counsel, or make a relatively brief inquiry of the witness being proffered. In any event, the party seeking exclusion of another party's witness bears the burden of demonstrating that such relief is appropriate under the circumstances.
 
Mawakili wa utetezi wako makini na kila kinachofanywa na huyo jaji Tiganga ambaye ameamua kuendesha kesi hiyo kwa matakwa yake bila kufuata sheria.Hizo faulo anazocheza zitawasaidia mawakili wa utetezi kwenda kwenye hatua nyingine ya kutoa haki maana kwa hali ilivyo inaonekana kabisa hukumu tayari anayo mfukoni mwake.Kwa ushahidi unaotolewa ,kesi hiyo ilitakiwa ifutwe.
 
In my opinion, huyu jaji pamoja na kwamba anatekeleza maagizo fulani kutoka pahala lkn uwezo wake pia kitaaluma ni mdogo, ni "Novice" kabisa.

Kadri siku zinavyozidi kusogea ndio ukweli huo utakavyozidi kudhihiri. Tuweke macho.
Huyu jaji ni wale lissu aliwasema wanapewa tu na mheshimiwa bila hata kuangalia uwezo wao product za mwendazake hizo Jana kitu kila kitu kupiga masimu tu kuulizia.
 
UGANDA VS OKUMU REAGAN AND FIVE OTHERS

..... There should be evidence of the party's or counsel's consent, connivance, procurement, or knowledge regarding the violation before a sanction can be imposed against that party.....
1. Notebook
2. Nyaraka kupatikana kwa shahidi kinyume na utaratibu uliowekwa, tena nikwa malayapili.
....... Mahakama maana wakiruhusu wataonekana lile pingamizi la juzi walilipokea wakijua mbele wataruhusu Shahidi mwingine kuingiza kielelezo hichohicho....


... A court may find that no prejudicial violation occurred if it was clearly inadvertent...
kwa pingamizi namba
1. Kwamba shahidi hakuingia nawala hakua anatumia ile Notebook intentionally kweli.?

Japo halina mana lishatolewa uamuzi kwamba shahidi hataondolewa, ila Notebook kagueni.

2. WS hawakujua kwamba walitakiwa omba Ruhusa kwa judge ilikupata nyaraka ambayo tayar ipo store ya mahakama?

if they knew it, this means they decided to go against utaratibu ama sheria intentionally.

.......In any event, the party seeking exclusion of another party's witness bears the burden of demonstrating that such relief is appropriate under the circumstances.
Kwa jinsi walivyo eleza Mawakili wa utetezi, Wame demonstrate (display) vizuri why pingamizi lao lipewe uzito.

Nandio maana hata Jaji ameona it's better atumie muda wakutosha kuzi process hoja izo.

Pingamizi lakwanza ilikua kumtoa shahidi nakufuta ushahidi wake wote {nandilo lina relate sana na maelezo haya ya kesi ya UGANDA vs OKUMU}
Ila pingamizi hili lapili nikuzuia tuu ile nyaraka isipokelewe.

All in all
Tusubiri J3, Uamzi atao kuja nao Mh Jaji.
 
1. Notebook
2. Nyaraka kupatikana kwa shahidi kinyume na utaratibu uliowekwa, tena nikwa malayapili.




kwa pingamizi namba
1. Kwamba shahidi hakuingia nawala hakua anatumia ile Notebook intentionally kweli.?

Japo halina mana lishatolewa uamuzi kwamba shahidi hataondolewa, ila Notebook kagueni.

2. WS hawakujua kwamba walitakiwa omba Ruhusa kwa judge ilikupata nyaraka ambayo tayar ipo store ya mahakama?

if they knew it, this means they decided to go against utaratibu ama sheria intentionally.


Kwa jinsi walivyo eleza Mawakili wa utetezi, Wame demonstrate (display) vizuri why pingamizi lao lipewe uzito.

Nandio maana hata Jaji ameona it's better atumie muda wakutosha kuzi process hoja izo.

Pingamizi lakwanza ilikua kumtoa shahidi nakufuta ushahidi wake wote {nandilo lina relate sana na maelezo haya ya kesi ya UGANDA vs OKUMU}
Ila pingamizi hili lapili nikuzuia tuu ile nyaraka isipokelewe.

All in all
Tusubiri J3, Uamzi atao kuja nao Mh Jaji.
Unatakiwa uwe na sababu za kutosha sana kuzuia ushahidi kwa sababu likifanyika hilo madhara yake hayana tiba kwa upande wa mashtaka. Ila ukiruhusu ushahidi upande wa utetezi bado una nafasi ya kufanikisha nia yao kwenye dodoso na cross examination.
Kibatala et al wanajaribu kuzuia ushahidt amabayo ni injustice kubwa sana na si SAHIHI
 
Unatakiwa uwe na sababu za kutosha sana kuzuia ushahidi kwa sababu likifanyika hilo madhara yake hayana tiba kwa upande wa mashtaka.....
nikweli kabisa mkuu.
........wanajaribu kuzuia ushahidt amabayo ni injustice kubwa sana na si SAHIHI.
Swala ni kwamba sheria ndiyo inayo zungumza na ndiyo inayotoa muongozo wanini kifanyike kabla ya kipi.

Sio hisia wala maoni binafsi ya mtu.
 
Jaji anayajua yote anayoeleza Mtobesya, tatizo namna ya kuwabeba Jamhuri ndipo tatizo linapokuja
Na hapo aliairisha akashindwa kutoa maamuzi anasubiri Chief hangaya ampe maelekezo njaa hizi zinaaribu utaratibu....anakoelekea atajitoa tu atakuja judge mwingine
 
Jaji keshaivuruga hii keshi kwa sababu ya kuegemea upande wa mashitaka na kushindwa kusmama kwenye sheria,huko tuendako kuirudisha kesi kwenye mstari ni sawa na kupanda mlima kilimanjaro,yetu macho!!
 
Na hapo aliairisha akashindwa kutoa maamuzi anasubiri Chief hangaya ampe maelekezo njaa hizi zinaaribu utaratibu....anakoelekea atajitoa tu atakuja judge mwingin
Jifunze kuheshimu wenzako
 
Back
Top Bottom