Yaliyojiri katika kesi ya Mbowe 26 Jan 2022. Shahidi wa 12 Luteni Denis Urio kuendelea kutoa ushahidi wake

Hapa hatoki mtu! (Siyo kwamba nimemjibia. Hii ni aidii yangu nyingine)! 🙂
Mkuu tuseme ushahidi wa huyu Urio ni wa kweli!Hivi kweli walichotendewa hao makomandoo ni halali mbele ya jicho la sheria!
Yaani vyombo vya usalama vigundue tuseme Jasmoni Tegga anataka kufanya uhalifu na anatafuta washirika,then vyombo vya usalama (under cover)viende uraiani kuwashawishi kina Bome-e kuwa Kuna kazi ya uhalifu!Mimi Bome-e nikakubali,Huoni kuwa nimeingizwa kwenye uhalifu na jeshi la Polisi!
Hii ni sawa na jeshi kuanzisha kitengo Cha undercover ambao kazi Yao ni kwenda kuwashawishi raia kuwa Kuna deal la uhalifu!Halafu wakikubali wanakamatwa,hii imekaaje?
Kwanini Dola haikutumia under cover agents wao?Badala yake wakatafutwa akina Adamoo na kuingizwa mkenge?Je,bila Urio kutumwa na jeshi la Polisi,akina Adamoo wangeingia kwenye hiyo mesh?
Hii ni kama akisemacho Urio ni sahihi!

Mpaka hapo hao akina hawawezi kutiwa hatiani!This is absurd!
 
Kuna uongo mwingine huyu shahidi anausema ili kuweza kuhalalisha uongo mwingine kuhusu kukutana na Mbowe.

Anaweza kusahau tarehe lakini siyo miezi. Hakumbuki mwezi alipotoka Darfur kama vile ambavyo hakumbuki mwezi ambao alikutana na Mbowe kwa mara ya kwanza. Lakini anakumbuka kuwa alikuwepo likizo kule Morogoro kipindi anakutana na Mbowe kwa mara ya kwanza…Ina maana hakumbuki hata mwezi alioenda likizo?!

Hakuna jambo lolote analokumbuka mwezi wala tarehe.

Usanii mtupu na ushahidi wake ni wa kupanga.
 
Shahidi Urio ni muongo na mjinga kabisa. Pia ana hatia kwa kuwadanganya wenzake waliokuwa wakijitafutia vipato halali ili kuwalengesha kwenye kesi ya mchongo.

Na hao wenzake walimuamini kwasababu alikuwa ni kiongozi wao ambaye aliwa “train”

Sasa kama Mbowe aliomba amtafutie watu wa kufanya nchi isitawalike, ni kwanini aliwadanganya kuwa wanaenda kufanya kazi ya ulinzi kwa Mbowe?

Huu ushahidi haujakaa sawasawa hata kidogo!
 

I get the point. Think it this way. Suppose Luteni Urio ni real culprit, kama akina FM. Yaani, ni kweli alikuwa fully involved kwenye mkakati husika wa ugaidi--alikuwa ameikubali deal hiyo (labda kwa fadhila ya kulipwa pesa na cheo and so forth).

Suppose hakwenda kuripoti kwa DCI, kama anavyodai, since yeye naye alikuwa sehemu ya mchezo. Ila kwa sababu upande wa mashtaka (jamhuri) umemwona anaweza kuwasilisha evidences za kumtia hatiani FM, umeamua kumsafisha kiaina (kwamba alitoa taarifa, mtego ukawekwa).

Kwa ufupi: ^Tunajua ulishiriki kikamilifu kwenye harakati na mipango husika, lakini ukitupatia sisi ushirikiano wa kutosha, basi tunakuondoa kwenye kesi hii.^
 
Wakili wa Serikali: Iambie Mahakama ulipo Mwambia unahitaji TSh Laki 5 nini Kilitokea

Shahidi: aliniambia ni mtumie namba Nyingine, nikamtumia Namba yangu ya Airtel

Wakili wa Serikali: Namba yako ya Airtel ni Namba gani

Shahidi: Ni 0787 555200

Wakili wa Serikali: Ulitumia hiyo namba nini Kilitokea

Shahidi: ailituma TSh Laki Tano Kupitia Namba Yake ya Tigo

Wakili wa Serikali: Ni Namba gani hiyo ya Tigo

Shahidi: Ni 0719933386.

Wakili wa Serikali: Na Fedha hiyo alikutumia Tarehe ngapi

Shahidi: Tarehe 20 July 2020

Wakili wa Serikali: pesa hiyo ilikuwa kwa Malengo gani

Shahidi: Kwa Malengo ya Kumpelekea Watu Kwenda Kufanya Uhalifu Mawakili wa Serikali Wanateta Tena
 
Kwa kawaida unapowatafuta magaidi, huwezi kuwaambia tunaenda kuua wala kufanya vurugu. Unawaambia tunaenda kuikomboa nchi. Kwenye neno ^kuikomboa^ hapo ndimo yamejificha yote hayo.

Likewise, usikute yeye alipewa kazi (na FM) ya kwenda kuwatafuta na kuwaunganisha kwake. How? ^Just waambie tu kwamba wanakuja kwangu kunipatia ulinzi binafsi. Mambo mengine yote hayo mimi nitayamaliza mwenyewe!^
 
Kusahau tarehe hakumfanyi mtu kuwa shahidi wa uongo. Actually, hii inaweza kuwa evidence kwamba anasema ukweli. If you remember all details, ni kwamba, evidently, kuna uwalakini wa mchongo hapo.
 
Kingai ni DCP tangu lini? Ukilishwa matango unayatapika kama yalivyo?
 
Huyu kasha jengewa nyumba..kawa tahaira
Wakili wa Serikali: Iambie Mahakama ulipo Mwambia unahitaji TSh Laki 5 nini Kilitokea

Shahidi: aliniambia ni mtumie namba Nyingine, nikamtumia Namba yangu ya Airtel

Wakili wa Serikali: Namba yako ya Airtel ni Namba gani

Shahidi: Ni 0787 555200

Wakili wa Serikali: Ulitumia hiyo namba nini Kilitokea

Shahidi: ailituma TSh Laki Tano Kupitia Namba Yake ya Tigo

Wakili wa Serikali: Ni Namba gani hiyo ya Tigo

Shahidi: Ni 0719933386.

Wakili wa Serikali: Na Fedha hiyo alikutumia Tarehe ngapi

Shahidi: Tarehe 20 July 2020

Wakili wa Serikali: pesa hiyo ilikuwa kwa Malengo gani

Shahidi: Kwa Malengo ya Kumpelekea Watu Kwenda Kufanya Uhalifu Mawakili wa Serikali Wanateta Tena
 
Nilikuwa sijanotice hii kitu,nadhani mawakili wa utetezi watakuwa wameliona hili!Kingai alifika lini Arusha

Naona umeshawasaidia Mawakili wa Serikali kuandaa Majibu ya hizi hoja. Tupia nyingine humu
 
Tuseme iwe hivyo,huoni kuwa wana-joepardize ushahidi wa mtoa ushahidi kama akigundulika kudanganya?Kwanini wasingempa immunity deal Kwa ushirikiano wake?Hebu angalia hii time frame,Urio anapiga simu Kwa DCI saa 3 usiku kumtaarifu juu ya alichoambiwa na Mbowe,anabambikwa aende ofisini,kesho asubuhi anaenda ofisini kwake hapo hapo DSM!
Baada ya dakika chache anakutanishwa na Kingai Pamoja na Mahita,kumbuka Kingai ni ACP Arusha!
Huyu shahidi atamalizwa vibaya mno na akina Kibatala!
 
Mkuu kweli huwa wanaambiwa utapata mabikira 7 mbinguni.
Aliyekuwa anajua kuwa kuna ugaidi ni Mbowe na Urio WENGINE WOTE WALIKUWA WANAENDA TU
 
Yaani huyu shahidi ataongea Kichagga mahakamani. Maana anavyo jieleza mie mwana sheria lakini ana jikanyaga mbaya.
 
Saa 3 usiku - na gari huwezi kuwa Dar kesho yake saa 4?
BTW it is none of Urio's business
 
This is ridiculous .... Yaani huu ushahidi mpaka unatia hasira. Hata kama ni kweli Mbowe alikuwa anania hiyo, kwa nini huyu Luteni Urio awaset hao akina Adamoo. This is very bad and serious.

Hata kama Mbowe alikuwa na huo mpango kwa nini hakutumia watu wa usalama kufanikisha na badala yake akatumia watu wasio na kazi huku akiwadanganya kuwa wanakwenda kufanya kazi ya ulinzi wakati akijua kuwa ni terrorism ....sic!!
 
Huyu urio ndo atamfunga mbowe[emoji848][emoji848]
Kingai alichemka... Urio alisema kuwa 500K alipokea ili jamaa wakafanye uhalifu...
Je, kuna sehemu mashahidi waashtaka kuanzia Kingai wameonesha ualifu uliofanywa na watuhumiwa??
Urio keshaimaliza nguvu hii kesi.
Amekuwa mkweli sana!

Kama watamfunga FAM, watafanya hivyo ila si kwa ushahidi unaotolewa kwenye kesi hii...!!
Laki tano, Urio kasema ilikuwa "nauli"...!
 
This is ridiculous .... Yaani huu ushahidi mpaka unatia hasira. Hata kama ni kweli Mbowe alikuwa anania hiyo, kwa nini huyu Luteni Urio awaset hao akina Adamoo. This is very bad and serious...
Wakili wa Serikali: Baada ya Kusema Wapo tayari?

Shahidi: Laki Moja na tisini na Tisa Iliyobakia, nilimwambia Mtafanya kazi Iliyowapeleka, Lakini mkiona chochote ambacho cha uhalifu mtaniambia, Mohammed Ling'wenya Kwa Maneno yake aliniambia ASKARI HAWEZI KUWA RAIA ILA RAIA ANAWEZA KUWA ASKARI. Nikawaambia Chochote Kitakachotokea Wataniambia, Baada ya Hapo, Nilimpigia Freeman Mbowe akanitumia Laki Moja na Tisini na Tano, Kwa ajili ya nauli yao Kutoka Morogoro Kwenda Dar es Salaam..
 
Naona una copy kazi za watu, inakuwa kero JF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…