Yaliyojiri katika kesi ya Mbowe 26 Jan 2022. Shahidi wa 12 Luteni Denis Urio kuendelea kutoa ushahidi wake

..yes kufunika aibu na kuendelea kupiga perdiem kwa jaji na mawakili wa jamhuri
Wakili wa Serikali: Baada ya Kusema Wapo tayari?

Shahidi: Laki Moja na tisini na Tisa Iliyobakia, nilimwambia Mtafanya kazi Iliyowapeleka, Lakini mkiona chochote ambacho cha uhalifu mtaniambia, Mohammed Ling'wenya Kwa Maneno yake aliniambia ASKARI HAWEZI KUWA RAIA ILA RAIA ANAWEZA KUWA ASKARI. Nikawaambia Chochote Kitakachotokea Wataniambia, Baada ya Hapo, Nilimpigia Freeman Mbowe akanitumia Laki Moja na Tisini na Tano, Kwa ajili ya nauli yao Kutoka Morogoro Kwenda Dar es Salaam..
 
Naona una copy kazi za watu, inakuwa kero JF

Polisi wamechemka... Nadhani director wa series kapoteza scripts!
FAM hana kesi ya kujibu hapo!
 
Shilingi laki tano kwa ajili ya kufanya uhalifu. Halafu uhalifu haukufanyika?.
 
Saa 3 usiku - na gari huwezi kuwa Dar kesho yake saa 4?
BTW it is none of Urio's business
Yaani ndio Kwa mara ya kwanza DCI anapigiwa simu juu ya hizo issue na Urio!

Sasa Kingai ambaye ni ACP Arusha anaingiaje hapo?Yaani kwanini huyo DCI hakumwita ACP wa Kilimanjaro au wa Mbeya au Morogoro?Why ghafla anapata taarifa za uhalifu amuite Kingai wa Arusha(kama kweli alimuita)!

Hapo ndio mashaka yanaanza ya ushahidi wa Urio!
 
Polisi wamechemka... Nadhani director wa series kapoteza scripts!
FAM hana kesi ya kujibu hapo!
Tamaa ya kushika dola ilimfanya zezeta ili maandiko yatimie- ndege mjanja hunasawa na tundu bovu

Wakili wa Serikali: Baada ya Kusema Wapo tayari?

Shahidi: Laki Moja na tisini na Tisa Iliyobakia, nilimwambia Mtafanya kazi Iliyowapeleka, Lakini mkiona chochote ambacho cha uhalifu mtaniambia, Mohammed Ling'wenya Kwa Maneno yake aliniambia ASKARI HAWEZI KUWA RAIA ILA RAIA ANAWEZA KUWA ASKARI. Nikawaambia Chochote Kitakachotokea Wataniambia, Baada ya Hapo, Nilimpigia Freeman Mbowe akanitumia Laki Moja na Tisini na Tano, Kwa ajili ya nauli yao Kutoka Morogoro Kwenda Dar es Salaam..
 
KWENYE HII KESI MMECHEMKA SANA!!
 
What if hao jamaa walikuwa kwa DCI? Au immediately usiku ule alishawataarifu wakutane the next morning? Kumbuka hii ni issue kubwa sana, halafu ni enzi zile za JPM mambo yalikuwa kashikashi kama moto wa upepo kwenye nyasi kavu za kiangazi!
 
Sasa hao wengine mbona wanasota gerezani bila kosa masikini,watu wamekaa gerezani muda huo wote kwa kuambiwa kuwa wanaenda kufanya ulinzi dah ,urio umefanya makosa sana kwa kuangamiza vijana wa watu
 
Mkuu yaani Urio anahusikaje na Kingai- ila kwa mawakili wenu wanaharakati watamuuliza swali hilo na ngoja niwachongee jibu kabisa-
Kibatala: Kingai alikujaje kutoka Arusha ambacho ndicho kituo chake cha kazi?
shahidi: Sijui
Kibatala; Mh. Jaji naomba swali langu likijibiwe
Jaji: Nimesikia shahidi anakujibu hajui
Kibatala: samahani kwa usumbufu Mh. Jaji
 
What if hao jamaa walikuwa kwa DCI? Au immediately usiku ule alishawataarifu wakutane the next morning? Kumbuka hii ni issue kubwa sana, halafu ni enzi zile za JPM mambo yalikuwa kashikashi kama moto wa upepo kwenye nyasi kavu za kiangazi!
Hatuna haja ya kupiga ramli vyovyote vile swali hili si la kuulizwa Urio
 
Yaani kwa maoni yangu, akina Adamoo na wenzake waachiwe leo hii hii maana shahidi kishathibitisha kuwa aliwaset up .... !!

Mwanzoni kesi ilipoanza nilikuwa na wasiwasi na hao watu kwa kuwa ni wanajeshi. Nilifikiri walitumika kumchomekea Mbowe. Nilishangaa akina Mbowe kuwaunganisha kwenye utetezi wake. Sasa naona ni jinsi gani ambavyo defence ya Mbowe walivyocheza mchezo. Hata kama hawa Makomando wako upande ule bado ni ngumu kwa serikali kuwatumia ...... Sasa wanajigonga mpaka wanaadmitt kuwa wao ndiyo waliowachomekea.

Luteni wa jeshi amabaye amekutana na Mbowe toka 2012 anashindwa kupata walau kaushahidi kadogo tu ka maneno au maandishi ... seriously!

Baada ya huyu shahidi ....DCI ajiuuzulu kwa kushindwa kazi.
 
Halafu kaka yake Mbowe alikuwa na cheo kikubwa sana jeshini. Aache kumtumia kaka yake awatumie watu asio wajua?? Nonsense
 
Mkuu kweli huwa wanaambiwa utapata mabikira 7 mbinguni.
Aliyekuwa anajua kuwa kuna ugaidi ni Mbowe na Urio WENGINE WOTE WALIKUWA WANAENDA TU
Sidhani kama yupo mtu mwenye akili timamu anayeweza kuridhia kama kondoo tu, endapo akiambiwa tunaenda kufanya UGAIDI! Walishawishiwa kwa namna nyingine ili wakishaingia kwenye 18 za kiongozi husika, kutoka hakuna! The only choice ni kutimiza matakwa yake!
 
Haya ni maoni yako
m-pesa kwenda kwa HOMEBOY - for what?
do not forget the text massage and voice log
 
Huyu mpuuzi amewatesa wenzako kwa upumbavu wake
 
Halafu kaka yake Mbowe alikuwa na cheo kikubwa sana jeshini. Aache kumtumia kaka yake awatumie watu asio wajua?? Nonsense
Unajua vile wanasema, ^Niache mimi, tunaweza kushtukiwa mapema; n'takuwa tu undercover kwa mbali? Usikute hawa jamaa--sirikali--wananipiga CCTV zao!^ See?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…