Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Hakuna chochote kilichobadilika wewe unaangalia kichama na siyo kisheria.Mimi tangu kesi inaanza mwanzo kipindi mbowe anakamatwa.nilisema kosa alilofanya mbowe NI kushirikiana na hao wanajeshi wengi hawakunielewa.
Sasa wanajionea wenyewe.
Kama alikuwa anataka ulinzi alitakiwa atafute kampuni za ulinzi sio hao.
Hao Wana viapo vya UTII.
Ila watu walinibishia humu