Yaliyojiri katika kesi ya Mbowe 26 Jan 2022. Shahidi wa 12 Luteni Denis Urio kuendelea kutoa ushahidi wake

Yaliyojiri katika kesi ya Mbowe 26 Jan 2022. Shahidi wa 12 Luteni Denis Urio kuendelea kutoa ushahidi wake

Yeye anasema aliambiwa atafute vijana.
Anasema alishindwa kukataa kwa sababu za kiusalama.
Anasema hata Kama angemkatalia mbowe kumtafutia vijana mbowe angeweza kuwatafuta wengine.
Kwa hyo kamanda anasema angekuwa hajasaidia kuilinda nchi.
Kwa hyo alikubali ili kumuwekea mtego mbowe
Akili zako zimejaa mav
 
Shahidi alinichanganya aliposema alitumiwa kwenye cm tshs 500,000/= alipoenda kuitoa akapewa cash tshs 499,000/=.
Kuwa makato yalikuwa tshs buku pekee. Hayo makato siyo hapa bongo,au labda kwa vile ni cm ya luten komandoo
 
Basi kama Mbowe hakutaka mazungumzo ya simu, Urio kama alivyojinasibu kuwa ni mwelevu alitakiwa kutafuta namana yoyote ya kuwa na ushahidi kwani anaonesha kuwa alikuwa na nia kwenda kumtaarifu DCI.

Litakuwa ni jambo la ajabu Sana na aibu kubwa kama DCI alipokea mashtaka haya akayafanyia kazi akiwa hana viambata toshelevu vya ushahidi.
Hahahaha simu zote wanazo mbowe alirekodiwa subilia mvua za kutosha

USSR
 
Naungana na wewe kumtaka DCI ajiuzulu. Haiwezekani suala la kuhatarisha Usalama wa nchi liachwe mikononi mwa Askari mmoja tena Asiyeweza hata kujeshimu wakubwa zake jeshini. Yaani Mwalimu wa darasa apate Taarifa mwanafunzi wa kike darasani kwake ana mimba, aache kumwambia Kwanza Mwalimu Mkuu aende akamwambie Bwanashamba? Afisa wa JW unapata Taarifa ya kuteteresha Usalama wa nchi unakimbilia Polisi Dar bila hata kumuaga mkubwa wako wa kazi?
Kiapo chake unakijua, au unaropokwa tu? Amekwambia hakuaga kazini kwake? Kiwango cha hatari husika unakifahamu? What if aliona mahali pekee pa kupeleka suala lake likashughulikiwa haraka na kikamilifu ni kwa DCI?
 
Uenda alikuwa na vichenji chenji kwenye simu.
Unataka kusema hakuwa na hela nyingine kwenye simu yake?
Shahidi alinichanganya aliposema alitumiwa kwenye cm tshs 500,000/= alipoenda kuitoa akapewa cash tshs 499,000/=.
Kuwa makato yalikuwa tshs buku pekee. Hayo makato siyo hapa bongo,au labda kwa vile ni cm ya luten komandoo
 
Kwahyo Denis urio aliwatafuta kina bwire Ili awakamatishe kwa polis kabla hawajalipua vituo vya mafuta

🤔🤔🤔

Mbona haimake sense yn umewatafuta watu kwa ajil ya Kaz flan lkn kabla ya hyo Kaz ukawakamatisha kwa polis na wakat polis pia wanajua hao watu umewatafuta wewe.

Kwnn wasisubir barabaran wakiwa wanakata magogo ndo wawakamate
 
Yeye anasema aliambiwa atafute vijana.
Anasema alishindwa kukataa kwa sababu za kiusalama.
Anasema hata Kama angemkatalia mbowe kumtafutia vijana mbowe angeweza kuwatafuta wengine.
Kwa hyo kamanda anasema angekuwa hajasaidia kuilinda nchi.
Kwa hyo alikubali ili kumuwekea mtego mbowe
Hii ni pointi kubwa sana inayomlinda Luteni Urio!
 
Yeye anasema aliambiwa atafute vijana.
Anasema alishindwa kukataa kwa sababu za kiusalama.
Anasema hata Kama angemkatalia mbowe kumtafutia vijana mbowe angeweza kuwatafuta wengine.
Kwa hyo kamanda anasema angekuwa hajasaidia kuilinda nchi.
Kwa hyo alikubali ili kumuwekea mtego mbowe

JIBU LAKO HAPA JUU
Kwahyo Denis urio aliwatafuta kina bwire Ili awakamatishe kwa polis kabla hawajalipua vituo vya mafuta🤔🤔🤔
Mbona haimake sense yn umewatafuta watu kwa ajil ya Kaz flan lkn kabla ya hyo Kaz ukawakamatisha kwa polis na wakat polis pia wanajua hao watu umewatafuta ww
Kwnn wasisubir barabaran wakiwa wanakata magogo ndo wawakamate
 
Mbona leo makasiriko ni mengi hivi?
Yaani nikwambie tu Mimi Sheria nimeisoma siyo kwamba natokea jalalani. Awali nilijua Urio atakuwa na Jambo la maana, lakini tangu Goodluck atoe ushahidi wa majumuisho nilifuta uwezekano huo.

Urio ni miongoni mwa Wasiojulikana ndo maana ofisi ya DCI ni kama kwake. Ndo maana anaweza kutoka kazini bila kuaga akaenda kwa DCI. Ndo maana anapata Taarifa eti ya kupanga kulipua nchi anamjulisha DCI badala ya kuanza na mkubwa wake kazini.

Ninachomwonea huruma ni jinsi atakavyoteseka baada ya ushahidi wa uongo kwamba aliwategea Bomu vijana aliowafundisha ili wakaangamie. Kwenye ukamataji wa uhalifu kuna mengi Ikiwemo kuuawa kama alivyofanyiwa Lijenje.

Unawezaje kuwasakizia kifo watoto wa wenzio? Kwa nini Mbowe asingekamatwa Kwa "Nia yake" ya kulipua nchi bila kuhusisha roho za wasio na hatia kina Lijenje na Kusekwa?

Unaweza kuchekelea Sasa, lakini chukulia ni Mtoto wako Yuko mahabusu halafu linajitokeza jinga moja linasema Mimi ndo nilipewa kazi ya kutafuta wahalifu nikawasakizia hao akiwemo Mtoto wako!!
 
Mkuu Urio anaunga mkono ushahidi wa mtaalam wa mawasiliano na ule wa Kaaya. KESI IMESIHA HAPO. Ingekuwa Ulaya au USA Mh. Kibatala angetupa taulo mahakamani na kuomba huruma ya mahakama
Comte Kibatala angeomba huruma kwa lipi?
 
Ni kama vile unavyowekewa mtego wa rushwa ili mtandao mzima upatikane!
Huyu shahidi huenda ana aiba ya mwendawazimu wa namna fulani.

Kwenye mtego wa rushwa, tangu lini wanawakamata wasiohusika?

Hata kama tukaamua kujivika ujinga kwa muda, tujifanye hatuna akili, tuamini kuwa Mbowe alitaka kufanya uhalifu, makomandoo hawakuwa kwenye mtandao wa kufanya uovu, imekuwaje wakaingizwa moja kwa moja kwenye uovu wakati Urio alitaka kuwatumia tu kuupata mtandao wa uovu wa Mbowe?

Kama hawa makomandoo walitumika katika kuupata mtandao wa uovu wa Mbowe, mbona hawajatajwa hao waliokuwepo kwenye mtandao wa uovu wa Mbowe?
 
Back
Top Bottom