Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 8,939
- 10,403
Kwa hiyo mipango itathibitishwaje mahakamani?Kwani mipango aliyoitiwa kule Mikocheni ilikuwa ya shughuli gani?
Na uzingatie hakuna shahidi aliyeshuhudia hizo hadithi za Luteni Urio...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo mipango itathibitishwaje mahakamani?Kwani mipango aliyoitiwa kule Mikocheni ilikuwa ya shughuli gani?
Kwa hiyo askari akifukuzwa kazi hawezi ajiliwa hata na private sector? ni wapi sheria inakataza? kwamba hao wanajeshi watamgeuka na kusema alitaka kufanya ugaidi? na kama wakitaka kumgeuka una uhakika wanaweza kutetea hoja yao mbele ya sheria? Uongo ni uongo tu haijalishi unasemwa na nani mwisho wa siku ni aibuHauwezi kumtafuta mwanajeshi awe mlinzi wako hata Kama amefukuzwa jeshini.
huo ndo ukweli na ndio utakaomfunga mbowe.ameshirikiana na watu SIO.
Kwa hiyo hata hayo Makampuni ya Yappi Markez, na mengineyo yaliyo waajiri hao makomandoo hapo kabla, nayo yanatakiwa kushtakiwa kwa ugaidi na uhujumu uchumi baada ya kuwaajiri hao makomandoo!Hauwezi kumtafuta mwanajeshi awe mlinzi wako hata Kama amefukuzwa jeshini.
huo ndo ukweli na ndio utakaomfunga mbowe.ameshirikiana na watu SIO.
Mimi tangu kesi inaanza mwanzo kipindi mbowe anakamatwa.nilisema kosa alilofanya mbowe NI kushirikiana na hao wanajeshi wengi hawakunielewa.
Sasa wanajionea wenyewe...
washatolewa kwenye kosa maana Urio aliwaambia wanaenda kufanya kazi ya ulinzi. Ina maana aliwadanganya.Bc Kwa maana hyo kina bwire hawana hatia maana walitumika kama chambo si ndio???
Yaani nikwambie tu Mimi Sheria nimeisoma siyo kwamba natokea jalalani. Awali nilijua Urio atakuwa na Jambo la maana, lakini tangu Goodluck atoe ushahidi wa majumuisho nilifuta uwezekano huo.
Urio ni miongoni mwa Wasiojulikana ndo maana ofisi ya DCI ni kama kwake. Ndo maana anaweza kutoka kazini bila kuaga akaenda kwa DCI. Ndo maana anapata Taarifa eti ya kupanga kulipua nchi anamjulisha DCI badala ya kuanza na mkubwa wake kazini.
Ninachomwonea huruma ni jinsi atakavyoteseka baada ya ushahidi wa uongo kwamba aliwategea Bomu vijana aliowafundisha ili wakaangamie. Kwenye ukamataji wa uhalifu kuna mengi Ikiwemo kuuawa kama alivyofanyiwa Lijenje.
Unawezaje kuwasakizia kifo watoto wa wenzio? Kwa nini Mbowe asingekamatwa Kwa "Nia yake" ya kulipua nchi bila kuhusisha roho za wasio na hatia kina Lijenje na Kusekwa?
Unaweza kuchekelea Sasa, lakini chukulia ni Mtoto wako Yuko mahabusu halafu linajitokeza jinga moja linasema Mimi ndo nilipewa kazi ya kutafuta wahalifu nikawasakizia hao akiwemo Mtoto wako!!
What is funny you dimwit Mbowe kukubali kwamba bodyguards aliokuwa anawatafuta ni kwa ajili ya ulinzi wake tu na na sio kufanya ugaidi ? Ni kazi ya Kingai na watu wake kuthibitisha kwa vielelezo vinginevyo na mpaka sasa hawajathibitisha hivyo kwa njia yoyote zaidi ya maneno matupu.You're so funny, unajua! Unakubali ushahidi wa Luteni Urio kwamba ni kweli Mbowe alimwomba amtafutie bodyguards, at the same time unakataa sehemu iliyosalia ya ushahidi wake kwamba alikuwa anafanya plans za kuzua taharuki na vurugu kwenye nchi?
Labda wakijibu na kuishawishi mahakama juu ya swali hili: ^Moshi mlitumwa kufanya nini?^washatolewa kwenye kosa maana Urio aliwaambia wanaenda kufanya kazi ya ulinzi. Ina maana aliwadanganya.
Very good reasoning!Huyu shahidi huenda ana aiba ya mwendawazimu wa namna fulani.
Kwenye mtego wa rushwa, tangu lini wanawakamata wasiohusika?
Hata kama tukaamua kujivika ujinga kwa muda, tujifanye hatuna akili, tuamini kuwa Mbowe alitaka kufanya uhalifu, makomandoo hawakuwa kwenye mtandao wa kufanya uovu, imekuwaje wakaingizwa moja kwa moja kwenye uovu wakati Urio alitaka kuwatumia tu kuupata mtandao wa uovu wa Mbowe?
Kama hawa makomandoo walitumika katika kuupata mtandao wa uovu wa Mbowe, mbona hawajatajwa hao waliokuwepo kwenye mtandao wa uovu wa Mbowe?
anawaombea wateja wakeComte Kibatala angeomba huruma kwa lipi?
Kwa hiyo mipango itathibitishwaje mahakamani?
Na uzingatie hakuna shahidi aliyeshuhudia hizo hadithi za Luteni Urio...
Hilo la ulinzi amelisema Luteni Urio. Halafu hakuishia hapo. Amesema pia kwamba harakati ilikuwa UGAIDI. Umemsikia? Sasa kama unakubali hilo la kuwa walinzi binafsi (bodyguards), kubali pia na hili la pili la terrorism.What is funny you dimwit Mbowe kukubali kwamba bodyguards aliokuwa anawatafuta ni kwa ajili ya ulinzi wake tu na na sio kufanya ugaidi ? Ni kazi ya Kingai na watu wake kuthibitisha kwa vielelezo vinginevyo na mpaka sasa hawajathibitisha hivyo kwa njia yoyote zaidi ya maneno matupu.
Mpaka sasa hiyo ni ya ugaidi ya Mbowe haijathibitishwa kwa kielelezo chochote zaidi ya maneno ya mdomoni tu.Kwa mjibu wa sheria ya kuzuia na kupambana na ugaidi ya 2002- nia tu inatosha kuweka hatiani kwa ugaidi
Hii haiwezekani,kabda kama wakala alikuwa hawara wa UrioMawakili wa utetezi waende mitandao husika waulize gharama ya kutoa Tsh 500,000/ ilikuwa sh ngapi wakati huo,,maana haiwezekani 500,000 itolewe kwa makato ya buku
Hakuna inapomulinda.Hii ni pointi kubwa sana inayomlinda Luteni Urio!
Basi hii kesi Mbowe ashashinda shahidi muongo hata kama alikuwa na mahusiano na MboweHii haiwezekani,kabda kama wakala alikuwa hawara wa Urio