Yaliyojiri katika kesi ya Mbowe 26 Jan 2022. Shahidi wa 12 Luteni Denis Urio kuendelea kutoa ushahidi wake

Sasa mbona hao akina Adamoo wameshawakana Polisi na kusema waliteswa Ili wasaini maelezo waliyoandikiwa?Au ulikuwa wapi wakati wa kesi ndogo?
Fikirisha ubongo wako!
 
Hayaa baki hivyo hivyo.
Wenzenu wanatumia huu upumbavu wenu kuwakandamiza.
Kesi imetengenezwa vizuri na stering ndo huyo kamanda urio.
Alimpigia DCI boaz simu .
Kazi NI kwako
Kiapo bongo, watu wanaaapa wameshika biblia/quran na bado wanaingia mikataba ya kihuni, ndio itakuwa hao majobless?
 
Kama ni kweli, mbowe alibugi sana,, inakuaje bigboss unahusika direct ku recruit watu wa kuffanya uhalifu tena unatumiana simuzako kuwasiliana?
 
Yaani mnazidi kuonesha jinsi mlivyo wapumbavu.
Kwani kamanda urio amesema AMEKUTANA NA mbowe kwa ajili ya nini?
Mbona mleta mada kajitahidi kuwaandikia kwanini msisome?
haiingii akilini mtu akakutumia tu hela bila kuwa na sababu.
Usisahau kamanda urio ndo alimpigia simu DCI boaz
Wewe hukutan na watu? Unakutana nao kwaajili ya nn??

Ujinga mtupu, au huko CCM kukutana na watu ni dhambi? Kwamba n marufuku mtu kukutana na mtu mwingine??
 
ishia hapo hapo.
Ila huo ndo ukweli.
Unatafuta nini na wanajeshi Kama sio kukuchoma?
najua hauwezi kuyajua haya Mambo uenda bado mtoto mdogo.
Nikuulize swali dogo kwanini mtu wa kwanza kumchoma mbowe ni kamanda urio?
Hayo ni maneno ya Urio,unajuaje kama hajashurutishwa mpaka Leo anakuja kuyasema hayo?Ushahidi wake ni wa mashaka!Mashaka hayo subiri kesho,kama upande wa mashtaka umetumia zaidi ya siku Moja,basi huyu shahidi upande wa utetezi wanaenda naye wiki nzima!
Hapo pumba na mchele vitajulikana!
 
Kwani MAELEZO ya kamanda urio anasema mbowe alitaka walinzi binafsi au vijana wakulipua vituo vya mafuta n.k?
 
Watasema walishafukuzwa kazini kwa utovu wa nidhamu!
Si ndiyo hapo ujinga wenyewe ulipo. Yaani issue kubwa kama hiyo utumie waovu wa nidhamu na ambao pia wamefukuzwa kazi. Utawaamini vipi?

Inakuwaje DCI anamuachia Urio ajifanyie kila kitu mwenyewe maana hata huyo Kingai the right hand wake anaonekana hajui lolote. Hii kesi ni Mchongo, Mchongo, Mchongo.... Kama Chief Hangaya haoni aibu kwenye hili basi aibu kwake ni Mkwe.
 
ulitoa hukumu wewe kuwa waliteswa?
Sasa mbona hao akina Adamoo wameshawakana Polisi na kusema waliteswa Ili wasaini maelezo waliyoandikiwa?Au ulikuwa wapi wakati wa kesi ndogo?
Fikirisha ubongo wako!
 
Ulikuepooo ujue watu umu ayo ni maoni 2 nawaambien ukwel hamuujui hamna uhakika na mnavmchokiongea
 
Mimi rijali siwezi kuolewa.
Pengine wewe upo kwa mumeo unachezea ndonga.
Mama yako mahari yake ndo ile hela aliyotuma mbowe
Zilikua za kukuoa wewe i hope unaitumikia ndoa vizur
 
ishia hapo hapo.
Ila huo ndo ukweli.
Unatafuta nini na wanajeshi Kama sio kukuchoma?
najua hauwezi kuyajua haya Mambo uenda bado mtoto mdogo.
Nikuulize swali dogo kwanini mtu wa kwanza kumchoma mbowe ni kamanda urio?
Mtu wa pili atakuwa bwire,,, maana ndo informer,, huu mtego ulisukwa
 
Yaani Usalama wa Taifa ulikabidhiwa mikononi mwa watovu wa nidhamu?
 
Urio amezua maswali mengi zaidi ya majibu.

Je Moses Linjenje ataonekana au kufaamika mahali alipo?

Je Urio alitoa pesa yake kufadhili ugaidi?

Je Urio ataweza kuonesha vithibitisho vya makutano na Mbowe?

Je .....
Kesi ndo inaanza Sasa.
Kuna jambo Moja nimeiona,yaani Mbowe amtafute Urio halafu amwambie amtafutie watu wa kutenda uhalifu!Halafu mara baada ya watu hao kupatikana,Urio akawaambia Kuna kazi ya ulinzi Kwa Mbowe(hapo hakusema kuwa ni kazi ya uhalifu).Baada ya Mbowe kupewa hao wanajeshi akakata mawasiliano na Urio!
Swali:Mbowe anawezaje kumpotezea mtu (Urio) ambaye ana Siri yake ya kufanya uhalifu?Mbowe alikuwa ana sababu gani za hadi kumwambia Urio kuwa anahitaji wanajeshi wa kutenda uhalifu,si angeishia kumwomba amtafutie walinzi wanajeshi waliofukuzwa halafu yeye akaenda kuwaset bila Urio kujua mipango?

Kwa maoni yangu,Urio asingeweza kuachwa nje ya mesh na Mbowe,lazima angempa hongo nyingi za hapa na pale Ili aendeleze kuwa royal!
Sasa hii ya Mbowe kumpotezea na kukata mawasiliano naye mara tu baada ya kumpelekea akina Adamoo ndio inatia zaidi mashaka!
 
Kwa hyo ulitegemea kamanda urio angemtetea mbowe?
Mbona urio anasema yeye ndo kampigia simu DCI boaz?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…