Bome-e
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 17,179
- 26,188
Sasa mbona hao akina Adamoo wameshawakana Polisi na kusema waliteswa Ili wasaini maelezo waliyoandikiwa?Au ulikuwa wapi wakati wa kesi ndogo?Hyo kampuni ya yappi markez ilimuajiri kwa kazi gani?
Unaona kazi aliyowaitia mbowe?
Mbona kamanda urio amemaliza kila kitu mnapata wapi shida ya kuelewa?
Kiufupi hao watu sio wa kufanya nao kazi.mkubali mkatae mbowe alingia Cha kike ndo maana mtu wa kwanza kumsaliti NI huyo.
LUTENI URIO
Fikirisha ubongo wako!