Yaliyojiri katika kesi ya Mbowe 26 Jan 2022. Shahidi wa 12 Luteni Denis Urio kuendelea kutoa ushahidi wake

Hivi ndivyo inavyofahamika na watu wengi , kwamba Shahidi wa leo Luteni wa Jeshi la Wananchi aitwaye Denis Urio alikamatwa tangu mwaka jana na kuwekwa kizuizini hadi alipotolewa leo asubuhi kuja kutoa ushahidi wake Mahakamani .

Denis Urio ndiye anayetajwa kuwatafutia kazi ya Ulinzi akina Adamoo na wenzake ili wafanye ulinzi (VIP PROTECTION) kwa Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe .

Bila shaka Mahakama itaelezwa alikokuwa Urio kabla ya kuletwa Mahakamani na kama kwa hali hiyo ushahidi wake utaweza kupokelewa au la .
 
Katika makosa ambayo Mwenyezi Mungu ameyalaani ni pamoja na;
Kushuhudia uongo
Kutoa ushuhuda wa uongo
kutengeneza kesi za uongo ili kumuumiza mtu mwingine.
Fuatilieni watu wa namna hii utagundua kitu ktk maisha yao hasa uzee wao na familia zao utagundua kitu si cha kawaida ambapo ni laana na adhabu toka kwa Mungu kwa walichofanya kwa watu walioumbwa kwa mfano wa Mwenyezi Mungu
 
OH SERIKALI HAINA MASHAIDI WALA USHAHIDI
 
Nyie pigeni porojo tu ila Mbowe anafungwa tena kwa ushahidi usio na mashaka
 
Urio ndo anajua kila kitu anaweza kuchomoa waya ndo itakuwa mwisho wa kesi
 
Urio ndo anajua kila kitu anaweza kuchomoa waya ndo itakuwa mwisho wa kesi
Kama kafika kizimbani na katoa ushahidi- waya ndo umekatikia hivyo- Mbowe anachungulia jela kutokea mahabusu
 
Huyu ndio shahidi wa muhimu kuliko wote, huyu ndio atamaliza kesi yote.
 
fix tupu, looh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…