Yaliyojiri katika kesi ya Mbowe 26 Jan 2022. Shahidi wa 12 Luteni Denis Urio kuendelea kutoa ushahidi wake

Yaliyojiri katika kesi ya Mbowe 26 Jan 2022. Shahidi wa 12 Luteni Denis Urio kuendelea kutoa ushahidi wake

Kwa hyo na hao walitaka kuipindua nchi?

Tatizo nyie mnachukulia simple simple.

Kwanza mawasiliano yoyote ya mbowe na urio tayari yameshamtia hatiani Mbowe.

Hao watu sio wa kuwaamini.

Niwaambie Mara ngapi?

Hyo kamanda urio ndio anamjengea mbowe jela yake..hawezi kumtetea Mbowe.
Kwani hayo mawasiliano yana miplicate Mbowe kufanya ugaidi, kama wataalamu wa IT kutoka serikalini wali kili kwamba kwenye udukizi wao hawakuona vya shiria vyovyote vya ugaidi, wange vikuta wangetoa taarifa, hapo kosa la mbowe ni kuongea na Urio hilo ni kosa kweli?
 
Mkuu tuseme ushahidi wa huyu Urio ni wa kweli!Hivi kweli walichotendewa hao makomandoo ni halali mbele ya jicho la sheria!
Yaani vyombo vya usalama vigundue tuseme Jasmoni Tegga anataka kufanya uhalifu na anatafuta washirika,then vyombo vya usalama (under cover)viende uraiani kuwashawishi kina Bome-e kuwa Kuna kazi ya uhalifu!Mimi Bome-e nikakubali,Huoni kuwa nimeingizwa kwenye uhalifu na jeshi la Polisi!
Hii ni sawa na jeshi kuanzisha kitengo Cha undercover ambao kazi Yao ni kwenda kuwashawishi raia kuwa Kuna deal la uhalifu!Halafu wakikubali wanakamatwa,hii imekaaje?
Kwanini Dola haikutumia under cover agents wao?Badala yake wakatafutwa akina Adamoo na kuingizwa mkenge?Je,bila Urio kutumwa na jeshi la Polisi,akina Adamoo wangeingia kwenye hiyo mesh?
Hii ni kama akisemacho Urio ni sahihi!

Mpaka hapo hao akina hawawezi kutiwa hatiani!This is absurd!
Upande wa mashtaka watasema walikengeuka!
 
1.) Mwanajeshi amepata taarifa nzito asipeleke kwa mkuu wake jeshini apeleka polisi? Analichafua jeshi kwakuwaingiza wenzie kwenyekesi za ugaidi nabado yukokazini?
2.) Nini kilichomfanya Free amuamini na kumfungukia ishu kubwa kiasi hicho? Kwanini asimwambie tuu amtafutie walinzi alafu akishawapata angewapa hizo kazi nyingine! Free anaakili na amesalitiwa maranyinhi asingemwamini MTU kijinga hivyo.
3.) Unamtafutia MTU magaidi kisha husemi wewe ulidai/ulilipwa kiasi gani? Mara yapili tena unatumwa bila posho? Nonsense!!
4.) Kesi nzito ya Free wanaemchukia, polisi wasichomeke mtuwao akaajiriwe naFree wapate info? Wakwambie homeboy endelea tuu kutafuta watuwako?
5.) Polisi washindwe kumrekodi mbowe akipanga hayo mavitu na haowajeda kweli?
6.) Polisi lazima wangekutana na kina Adamoo wawaseti ili ushahidi uwe wawazi wasiteseke mahakamani kamahivi.
7.) Urio aangaliwe alikosa kazini wakati katiwa ndani aeleze kwanini alikosa kazi na aliswekwa ndani?
8.) Polisi walijua mapeeema sabaya anapangiwa shambulizi walieleza walinzi wake? Walimwambia OCD wa hai?
9.) Kwanini polisi walitoka AR kwenda operation KLM wasiyoijua vyema? KLM hakuna wapelelezi?
10.) Kwahiyo Free ndiye alifahamika mapeeeema Siku yakwanza kwa kupanga uhalifu,nikwavipi alichelewa kukamatwa wakakamatwa kina Adamue et all?
Non sense hiikitu, inasikitisha taasisi kuuubwa kutumia kodizetu kuendesha kesimichongo kamahii... Na CAG tunamlipa remunerations nyiiingi anakaa anatizama hii aibu akiamini atashinda kesi!! Kweliiii!!!
 
Kwa hiyo hata hayo Makampuni ya Yappi Markez, na mengineyo yaliyo waajiri hao makomandoo hapo kabla, nayo yanatakiwa kushtakiwa kwa ugaidi na uhujumu uchumi baada ya kuwaajiri hao makomandoo!

Au ni Mbowe tu ndiyo haruhusiwi? Halafu kuna sheria yoyote inayo mlazimisha mtu kuajiri walinzi wa Kampuni binafsi? Mimi ninacho fahamu huo utaratibu wa kupangiana maisha kwenye nchi yetu, haupo!

Hivyo jitahidi usijitoe ufahamu. Think critically, ok?
Mkuu, naona umepoteza muda kumuelimisha huyo. Ye mwenyewe anajiita MJINGA. Unategemea nini!!?
 
Wakili wa Serikali: Tuambie Sasa Umepeleka Watu wawili, Nini Kikafuata.

Shahidi: Freeman Mbowe akaniambia Bado, Ongeza wengine Wawili

Wakili wa Serikali: Baada ya kukueleza hivyo wewe Ulifanyaje

Shahidi: Nikaanza Kuwatafuta Watu wawili

Kwahio hawa watu wanne ndio walitegemewa kuleta taharuki nchi nzima?
Na kabla hawajaleta tahaluki tena mwanzo wao wa kazi wanakamatwa kwanini?
 
Mawakili wa utetezi waende mitandao husika waulize gharama ya kutoa Tsh 500,000/ ilikuwa sh ngapi wakati huo,,maana haiwezekani 500,000 itolewe kwa makato ya buku
Hapa hata Mimi nimestaajabu na halafu kwann awape laki tatu wakati katumiwa laki 5...laki na tisini aliipeleka wapi
 
I get the point. Think it this way. Suppose Luteni Urio ni real culprit, kama akina FM. Yaani, ni kweli alikuwa fully involved kwenye mkakati husika wa ugaidi--alikuwa ameikubali deal hiyo (labda kwa fadhila ya kulipwa pesa na cheo and so forth).

Suppose hakwenda kuripoti kwa DCI, kama anavyodai, since yeye naye alikuwa sehemu ya mchezo. Ila kwa sababu upande wa mashtaka (jamhuri) umemwona anaweza kuwasilisha evidences za kumtia hatiani FM, umeamua kumsafisha kiaina (kwamba alitoa taarifa, mtego ukawekwa).

Kwa ufupi: ^Tunajua ulishiriki kikamilifu kwenye harakati na mipango husika, lakini ukitupatia sisi ushirikiano wa kutosha, basi tunakuondoa kwenye kesi hii.^
Mahakama haitakwi kuendeshwa kwa vitu vya kufikirika bali kwa ushaidi uliorekodiwa na kusemwa mahakamani, hii yako ni hypothetical ya kitoto tu ambayo haijangia na haiwezi kuingia tena kwenye rekodi ya mahakama.
 
1.) Mwanajeshi amepata taarifa nzito asipeleke kwa mkuu wake jeshini apeleka polisi?
2.) Nini kilichomfanya Free amuamini na kumfungukia ishu kubwa kiasi hicho? Kwanini asimwambie tuu amtafutie walinzi alafu akishawapata angewapa hizo kazi nyingine! Free anaakili na amesalitiwa maranyinhi asingemwamini MTU kijinga hivyo.
3.) Unamtafutia MTU magaidi kisha husemi wewe ulidai/ulilipwa kiasi gani? Mara yapili tena unatumwa bila posho? Nonsense!!
4.) Kesi nzito ya Free wanaemchukia, polisi wasichomeke mtuwao akaajiriwe naFree wapate info? Wakwambie homeboy endelea tuu kutafuta watuwako?
5.) Polisi washindwe kumrekodi mbowe akipanga hayo mavitu na haowajeda kweli?
6.) Polisi lazima wangekutana na kina Adamoo wawaseti ili ushahidi uwe wawazi wasiteseke mahakamani kamahivi.
7.) Urio aangaliwe alikosa kazini wakati katiwa ndani aeleze kwanini alikosa kazi na aliswekwa ndani?
8.) Polisi walijua mapeeema sabaya anapangiwa shambulizi walieleza walinzi wake? Walimwambia OCD wa hai?
9.) Kwanini polisi walitoka AR kwenda operation KLM wasiyoijua vyema? KLM hakuna wapelelezi?
10.) Kwahiyo Free ndiye alifahamika mapeeeema Siku yakwanza kwa kupanga uhalifu,nikwavipi alichelewa kukamatwa wakakamatwa kina Adamue et all?
Non sense hiikitu, inasikitisha taasisi kuuubwa kutumia kodizetu kuendesha kesimichongo kamahii... Na CAG tunamlipa remunerations nyiiingi anakaa anatizama hii aibu akiamini atashinda kesi!! Kweliiii!!!
Huu ushahidi wa uwongo umetengenezwa na mtu mwenye kiwango kidogo sana cha akili.
 
Kwahyo Denis urio aliwatafuta kina bwire Ili awakamatishe kwa polis kabla hawajalipua vituo vya mafuta

🤔🤔🤔

Mbona haimake sense yn umewatafuta watu kwa ajil ya Kaz flan lkn kabla ya hyo Kaz ukawakamatisha kwa polis na wakat polis pia wanajua hao watu umewatafuta wewe.

Kwnn wasisubir barabaran wakiwa wanakata magogo ndo wawakamate

Usije ukayaamini 100% maneno yote ya mchongo. Unaweza kupangwa hivi, kumbe wewe ndiye real target! Can you imagine, Luteni Urio hakujua suala la njama za kwenda kumla kichwa Mstaafu Ole Sabaya.

Endapo vyombo vya usalama ^vingekata matawi^ ya tatizo husika mapema (kama unavyopendekeza), hizi njama zote zisingejulikana. Na leo hii Mstaafu LOS angeonekana ni mwongo!
 
Sasa mbowe NI private sector?
Kwa hiyo askari akifukuzwa kazi hawezi ajiliwa hata na private sector? ni wapi sheria inakataza? kwamba hao wanajeshi watamgeuka na kusema alitaka kufanya ugaidi? na kama wakitaka kumgeuka una uhakika wanaweza kutetea hoja yao mbele ya sheria? Uongo ni uongo tu haijalishi unasemwa na nani mwisho wa siku ni aibu
 
This is ridiculous .... Yaani huu ushahidi mpaka unatia hasira. Hata kama ni kweli Mbowe alikuwa anania hiyo, kwa nini huyu Luteni Urio awaset hao akina Adamoo. This is very bad and serious.

Hata kama Mbowe alikuwa na huo mpango kwa nini hakutumia watu wa usalama kufanikisha na badala yake akatumia watu wasio na kazi huku akiwadanganya kuwa wanakwenda kufanya kazi ya ulinzi wakati akijua kuwa ni terrorism ....sic!!
Watasema walishafukuzwa kazini kwa utovu wa nidhamu!
 
Mahakama haitakwi kuendeshwa kwa vitu vya kufikirika bali kwa ushaidi uliorekodiwa na kusemwa mahakamani, hii yako ni hypothetical ya kitoto tu ambayo haijangia na haiwezi kuingia tena kwenye rekodi ya mahakama.
And that's exactly my point! Rejea ulichoandika kabla yangu. Kumbuka, mimi na wewe hatujui ukweli kamili (unless kama wewe ni sehemu ya tukio husika).

Mantiki ya hoja ni kuainisha uwezekano wa namna tukio husika lilivyotokea.
 
Hyo kampuni ya yappi markez ilimuajiri kwa kazi gani?
Unaona kazi aliyowaitia mbowe?
Mbona kamanda urio amemaliza kila kitu mnapata wapi shida ya kuelewa?
Kiufupi hao watu sio wa kufanya nao kazi.mkubali mkatae mbowe alingia Cha kike ndo maana mtu wa kwanza kumsaliti NI huyo.
LUTENI URIO
Kwa hiyo hata hayo Makampuni ya Yappi Markez, na mengineyo yaliyo waajiri hao makomandoo hapo kabla, nayo yanatakiwa kushtakiwa kwa ugaidi na uhujumu uchumi baada ya kuwaajiri hao makomandoo!

Au ni Mbowe tu ndiyo haruhusiwi? Halafu kuna sheria yoyote inayo mlazimisha mtu kuajiri walinzi wa Kampuni binafsi? Mimi ninacho fahamu huo utaratibu wa kupangiana maisha kwenye nchi yetu, haupo!

Hivyo jitahidi usijitoe ufahamu. Think critically, ok?
 
Unategemea unaenda kulinda nini?.
angalia malengo ha mbowe ambayo yameainishwa.
mtu wa kwanza kumchoma mbowe ni Nani ?
Kama sio LUTENI urio aliyepanga naye mipango?
Kuna ukweli ambao hamtaki kuukubali je mbowe alimtuma kamanda urio kumtafuta vijana?
Kwa ajili ya kazi gani?
Hili hitimisho lako ndio matamanio yako toka mwanzo, ni kosa kuwa na walinzi wanajeshi? Mbona hata huko kwenye makampuni binafsi ya ulinzi kuna wanajeshi wengi tu waliostaafu nk? Je angekutana nao huko kwenye makampuni binafsi ya ulinzi kama alikuwa na nia ovu asingewatumia?
 
Tatizo sio ugaidi TATIZO hyo mipango ya ugaidi.
Kitendo Cha mbowe kushirikiana na LUTENI urio tayari kimeshamtia hatiani.ndo maana mtu wa kwanza kumsaliti mbowe ndo huyo kamanda urio.hao sio watu wa kuwaamini.
Mtaamka lini?
hyo kesi wenzenu wanajua mwanzo wake mpaka mwisho wake maana wameshajipanga.
Kwani hayo mawasiliano yana miplicate Mbowe kufanya ugaidi, kama wataalamu wa IT kutoka serikalini wali kili kwamba kwenye udukizi wao hawakuona vya shiria vyovyote vya ugaidi, wange vikuta wangetoa taarifa, hapo kosa la mbowe ni kuongea na Urio hilo ni kosa kweli?
 
Bora wewe kidogo umekuwa muelewa.ila makamanda wao hawataki kuelewa.
Mimi tangu mwanzo nilisema mbowe kujenga mipango na hao watu wa jeshi lilikuwa ni kosa Ila wafuasi wake walinipinga humu .
Watu wa majeshi sio.
Sasa Yule aliyepanga nae mipango ndo kaenda kumchoma.
Tuna mlaumu kingai na wenzake kumbe mchawi alikuwa nae
Kama Ni kweli Mbowe aliwasiliana na Urio basi atakuwa alijitakia mwenyewe. Kwanini uwasiliane na mtu wa jeshini wakati unawindwa Kila wakati upatikane na kosa. Kama Ni kweli lakini.
 
Back
Top Bottom