Yaliyojiri katika kesi ya Mbowe na wenzake: Kaaya amaliza kutoa ushahidi. Shauri kuendelea 29/10/2021

Yaliyojiri katika kesi ya Mbowe na wenzake: Kaaya amaliza kutoa ushahidi. Shauri kuendelea 29/10/2021

"Upande wa utetezi ameongezeka Wakili Niyikiza Seth Jacob, ametokea Bukoba mkoa wa Kagera Kuja kuongeza nguvu katika kesi ya Mbowe na wenzake."

Wapiga mayowe mitandaoni walikuwa wanasema hii kesi rahisi sana, sasa huu utitiri wa mawakili wa nini wakati kesi ni rahisi sana?
Majibu
1. Record
2. Cv
3. Umaarufu.
4. Part of the just course.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Yaani nimecheka kwa sauti haswa! ati wameru wameanza kuwapa watoto majina gani ndio hayo ya Power
Jichekee tu best angu maana mwaka huu tutaona na kusikia mengi, mtu anasema eti amebatizwa jina la Power khaaa nitafurahi nikilijua hilo Kanisa!!
 
"Upande wa utetezi ameongezeka Wakili Niyikiza Seth Jacob, ametokea Bukoba mkoa wa Kagera Kuja kuongeza nguvu katika kesi ya Mbowe na wenzake."

Wapiga mayowe mitandaoni walikuwa wanasema hii kesi rahisi sana, sasa huu utitiri wa mawakili wa nini wakati kesi ni rahisi sana?
Kwa hiyo ndo justfication ya kuwa kesi ngumu?
Nawahurumia waliokupeleka shule maana wamefaidika na kitu kimoja tu ulichonufaika nacho shule nacho ni kujua kumwagilia maua.
 
kuna jamaa yangu alikwenda kutoa ushahidi wa uongo, akasema aisee sijui kizimbani pana nini pale, maana nilipopanda tu na kumaliza kuapa nikasahau kila kitu nilichofundishwa kusema nikawa najikanyaga tu - pana nguvu za pale ya ajabu ajabu.
 
Huyu shahidi ni empty head utopolo kabisa...hiki ndio kiwango cha uelewa cha watu wetu... huyu ni mtu anayekutana na waheshimiwa mara kwa mara...anauelewa na ujinga kwa kiasi hiki yaani full kiazi. kwa mashahidi hawa wawili NASEMA MBOWE yuko huru Mh Jaji hana haja yakupoteza muda wake kusikiliza upumbavu huu.

Hivi hata kama ni kupanga issue, hivi mnaweza kuleta shahidi kama hutu mahakamani kabisa kwa kesi nyeti kama hii...mbona inaonekana no utoto utoto tu.
Kwa weledi was kitanzania na aina ya siasa yetu inawezekana.
 
Naona title ya thread imekuwa rephrased for permanent record keeping and future reference as;

"Yaliyojiri katika kesi ya Mbowe na wenzake: Kaaya amaliza kutoa ushahidi. Shauri kuendelea kesho 29/10/2021"

... yafaa isomeke;

"Yaliyojiri katika kesi ya Mbowe na wenzake: Kaaya amaliza kueleza ujinga. Shauri kuendelea kesho 29/10/2021"
 
Jichekee tu best angu maana mwaka huu tutaona na kusikia mengi, mtu anasema eti amebatizwa jina la Power khaaa nitafurahi nikilijua hilo Kanisa!!
Kabisa maana hata ukileta jina la mtoto lazima useme maana ya jina na kwanini mtoto apewe jina hilo.
 
Sasa huyu shahidi mbona kila kitu ni kama fambastic, maelezo yake ya awali kwa maandishi na ushahdi wake vitu viwili tofauti, sasa mahakama ishike yapi? au yajumlishwe, na yakijumlishwa si yatakinzana... kazi kubwa hii.
Wanazuoni watueleze ikiwa hali hii Sheria unasimama wapi tena kukubali yote au kukataa moja
 
"Upande wa utetezi ameongezeka Wakili Niyikiza Seth Jacob, ametokea Bukoba mkoa wa Kagera Kuja kuongeza nguvu katika kesi ya Mbowe na wenzake."

Wapiga mayowe mitandaoni walikuwa wanasema hii kesi rahisi sana, sasa huu utitiri wa mawakili wa nini wakati kesi ni rahisi sana?

Unashindwa kielewa wewe bwabwa la ccm !.

serikali ya ccm ilijua kesi kwa ni rahisi kwa uovu wao ili kumpoteza baada ya kuingia mahakamani mambo yanazidi kuibuliwa mpaka itafika uozo wa ccm utajulikana wote.

Na hii ndio kesi ya kwanza tanzania inaonyesha ccm kuwa imeoza na utawala wa mabavu
 
Back
Top Bottom