Yaliyojiri katika kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na Wenzake tarehe21/01/2021. Kesi imeahirishwa hadi 24/ 01/ 2022

Kwa mwendo hii kesi naamini kesi ya mchongo Mbowe na wenzake watashinda
 
Naona shahidi anaturudisha tena kule RAU MADUKANI, kwa mama P - aisee mbege ni taaaaamu acha.
 
Watu wanakwenda kutembea uchi Kariakoo saa 7 mchana.....walionywa Waifute
 
Yaani hii tamithilia ni sawa na isidingo. Maana wana ridia story za long time. Kupoteza muda tuu hapa. Maana kama hana jipya kwanini ahojiwe?
afu eti watanzania tupo serious na maendeleo, kwa style hii maweeee !! hatufiki sehemu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…