Yaliyojiri katika kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na Wenzake tarehe21/01/2021. Kesi imeahirishwa hadi 24/ 01/ 2022

Yaliyojiri katika kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na Wenzake tarehe21/01/2021. Kesi imeahirishwa hadi 24/ 01/ 2022

Salaam Wakuu,

Leo tarehe 21/01/2022 kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe inaendelea.

Ungana nami katika uzi huu ili kujua kila kinachojiri Mahakamani....
Ugoro umeanza.
Hii kesi hii.. Mungu ata tuonyesha njia
 
Pamoja_na_Askofu_%40EmmausAskofu_pamoja_na_Dokta_%40azavelilwaitama_Mahakama_Kuu_kitengo_cha_R...jpg
 
Ugoro umeanza.
Hii kesi hii.. Mungu ata tuonyesha njia
Yaaaniii ,mpaka inachocha!
Inaoonyesha ni maneno ya kukariri yaleyale! Hataaa sioni haja ya kuleta mashahidi weeeeeeeengiiii, kuja kuimba wimbo wa aina moja!
 
Yule dada aliyekuja kutoa ushahidi kua alishuhudia wakina goodluck wakiwaweka chini ya ulinzi kina lingwenya hivi anaitwa nani au alikuwa shahidi wa ngapi?

Naona kuna maelezo yanapishana kati ya Goodlucck na yule dada, dada alidai kua wakina lingwenya walivyo sachiwa walikutwa na vipande 21 vya madawa, ila huyu goodluck anasema ni vipande 58
 
Acheni tuwafahamu maadui wa Watanzania
 
Mkuu tunashukuru kwa kutujuza hayo yote, ila mjitahidi kutochelewesha updates leo Ijumaa tunawahi ibaada, hata ukiweka vufupi vifupi sio mbaya kuliko kusubilia masaa ma tatu au manne.
Huwa nakosa update ya Uzi sjui kwa sabab ya flaud au
 
Back
Top Bottom