Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ugoro umeanza.Salaam Wakuu,
Leo tarehe 21/01/2022 kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe inaendelea.
Ungana nami katika uzi huu ili kujua kila kinachojiri Mahakamani....
Hivi hamna ushahidi wa moja kwa moja wa ugaidi?mbona huo wa kukamata unachosha tunapoteza mda kweli kwa ushahidi wanamna hi wa kuhisia tu huwezi ku convict mtu hata jaji akiwa biasi kiasi gani,Ugoro umeanza.
Hii kesi hii.. Mungu ata tuonyesha njia
Huyu ni muhimu sanaLeo kizimbani tunaye Goodluck kutoka kitengo maalumu cha crucifixion
Baada ya unyama huu alioufanya wakamtunukia hizo V 3Kumbe ni yeye; nilijua ni mtu mwenye cheo kikubwa.
kupitia ushahidi a leo ni yeye wa siku zote
Yaaaniii ,mpaka inachocha!Ugoro umeanza.
Hii kesi hii.. Mungu ata tuonyesha njia
Tena leo mambo yameanza mapema, cross examination inafanyika leo leo hii ngoma hailali, shahidi atakosa muda wa kuelekezwa majibu na mawakili wakeHuyu ni muhimu sana
Kelele, unalipia hii huduma autatizo huwa munachelewesha sana Update unakaa hata one hour bila ku update chochote asee,leo mujitahidi
Huyu Godluck sio yule wa Mh. Nape? Hili jina ni kama nae ana sifa ovu sana ktk jamii.Leo kizimbani tunaye Goodluck kutoka kitengo maalumu cha crucifixion
Be gratefultatizo huwa munachelewesha sana Update unakaa hata one hour bila ku update chochote asee,leo mujitahidi
Huwa nakosa update ya Uzi sjui kwa sabab ya flaud auMkuu tunashukuru kwa kutujuza hayo yote, ila mjitahidi kutochelewesha updates leo Ijumaa tunawahi ibaada, hata ukiweka vufupi vifupi sio mbaya kuliko kusubilia masaa ma tatu au manne.
Jana sjui nini kiliendelea na sioni hata linkMh The Sheriff na sisi tuko kama tulivyo kufatilia Shauri