Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Katika Mapokezi na Mkutano Mkubwa wa hadhara wa Tundu Lissu Mjini Bukoba

Ni kawaida ya wahaya kuwakaribisha wageni hata kama hawana la maana, Karibu Lissu Bukoba.

Ila kaa ukijua kura zetu zinaenda kwa Magufuli.

CCM 5 Tenaa
 
Mbona chadema online wenyewe wanaogopa kufungua chaneli yao ili watu watoe comment zao?
 
Lissu anakamilisha ratiba huko kanda ya ziwa hana chake, mdomo wake umemponza. Anachukia meli,treni,daraja la busisi nk. kwa kifupi ngoja akatembee na uwepo wake unawaponza wagombea ubunge na udiwani kupitia chadema.
Mkuu, tuliza hilo kalio dawa ya rais Lissu ikuingie taratiiiibu..
 
Watu aina ya pascal Mayalla ni hatari sn kwa taifa
 
Nashangaa kwa nini hajadekiwa barabara kama ilivyokuwa kwa Lowassa!

Uzuri wa siasa za upinzani Tanzania, wagombea Urais huingia kwenye uchaguzi kwa mbwebwe na baada ya uchaguzi huanza kupotea polepole!

Tanzania kuna vituko!
Mkuu, ni sabb tuu ya wizi wa kura unaofanywa na ccm, ambao kwa sasa majira yake imepita
 
Hivi kwanini unajiona kama nabii... Kila kitu unasema 'nilisema' unadhani bila wewe kusema . unadhani hatujui.
ukitaka kuaminisha watu uko smart upstairs ni vilevile tunakuona uko empty set upstairs. let that sink in.
Kwani lazima uamini anachosema Pascal Mayalla, it's either you choose to agree or disagree with his opinions. Maandiko yake mengi yameenda shule.
 
Hivi kwanini unajiona kama nabii... Kila kitu unasema 'nilisema' unadhani bila wewe kusema . unadhani hatujui.
ukitaka kuaminisha watu uko smart upstairs ni vilevile tunakuona uko empty set upstairs. let that sink in.
Huyo njaa inamsumbua,fanya tu kumdharau halafu siku imeisha.
 
🤣🤣🤣🤣🤣 ngoja nikueleze ukweli kila mahali anapoenda anapoteza kura. Hadi Jana asilimia 2.98% mpaka Chadema wameanza kumshangaa, Mliobakia ni washika Keyboard
 
Kama namuona Lwakatare anavyochungulia kama panyabuku tunduni

Ahhh Jamani mmempiga chini tena kabakiza siku chache amalizie kipindi chake cha ubunge, sasa tena mnamponda mawe ? si mlimfukuza wakati anakipenda chama. Mpunzisheni , tukumbuke anashikilia uzi ambao akiuwasha lazima mtapata madhara.
 
Nashangaa kwa nini hajadekiwa barabara kama ilivyokuwa kwa Lowassa!

Uzuri wa siasa za upinzani Tanzania, wagombea Urais huingia kwenye uchaguzi kwa mbwebwe na baada ya uchaguzi huanza kupotea polepole!

Tanzania kuna vituko!
Acha mihemuko wewe safarii haibiwi mtu
 
Molemo
Inawezekana upo karibu na rais mtarajiwa, mdokezee hili
 
Tv tv wewe kule kwenu kijijini wangapi wana tv acheni mbwembwe Lissu atawafikia hukohuko na akisema neno mioyo ya watu inapona
 
Lissu anakamilisha ratiba huko kanda ya ziwa hana chake, mdomo wake umemponza. Anachukia meli,treni,daraja la busisi nk. kwa kifupi ngoja akatembee na uwepo wake unawaponza wagombea ubunge na udiwani kupitia chadema.
Tatizo lako ni kuwa na fikra za kijinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…