Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Katika Mapokezi ya Tundu Lissu na Mkutano Mkubwa wa Hadhara Geita Mjini

Wanahubiri kuwa fair wakati wao baada ya kununua JF wako biased.
Yaani leo thread mbili nilizokua nachangia mada wamezitoa , halafu wao wakwanza kulalamika.
 
Reactions: Ole
Unaota.

Hutaamini kitakachotokea October 28, 2020.
Vyovyote itakavyokua lakin lazima kufika mtajamba mekenikia....iption iliyobaki ni kutumia polisi na tume nje ya hapo jiwe keshashindwa mpk saiz
 
Sasa nchi za ughaibuni na huku kwetu ni nchi na mabara mawili tofauti

Kwanza sisi Watanzania ni waoga hatuwezi kufika level hizo

Pia sisi ni wazee wa ndio mzee kwa ajili ya uwoga wetu

Hata hivyo tukubali tu ccm itashinda ushindi wa kishindo
Unatumia ujinga uliojazwa na wazee wako kumtaka kila mtanzania awe muoga na mjinga kama wewe.

Mind wananchokosa watz ni mtu wa kuwaongoza tu waliamshe na sio kwamba wanamuogopa mbwa yoyote yule.

Wakati wa Dr Slaa raia hao hao unaowaita waoga ndiwo walikuwa wanapambana na jeshi la polisi kila uchwao.

Kinondoni wakina Mbowe wali test mitambo tu raia zikajaa road na mapolisi wenu wakamuua binti wa watu Akwilina, R.I.P
 
Tukutane hapahapa kuanzia tarehe 28 October
Baki na ID yako hiyohiyo kama mimi ili tupate kupengezana na kupeana pole
mama D , je...

Pamoja na hadi leo hatma ya Ben Saanane kutojulikana,
hatma ya Azory Gwanda kutojulikana na
hatma ya wengi waliopotea kutojulikana...

Pamoja na waliomteka Roma kutojulikana,
waliomteka MoDewji kutojulikana na
waliommiminia Lissu risasi kutojulikana...

Pamoja na hatma ya wafanya biashara kuwa mashakani,
hatma ya wakulima (wa korosho) kuwa mashakani na
hatma ya wafanya kazi kuwa mashakani...

Pamoja na kwamba CCM ni ile ile,
mgombea wa Urais kutoka CCM ni yule yule,
Katiba atakayoapa kuiheshimu, kuilinda na kuitetea ni ile ile na

mama D, je pamoja na kuwa usalama wa Watanzania bado tete na wasiojulikana bado hawajulikani...

Uko tayari kuweka roho yako rehani kwa kumkabidhi maradaka kiongozi yule yule...
Kiongozi mropokaji aliyeshindwa kuiheshimu, kuilinda na kuitetea Katiba?
Kiongozi ambaye chini ya uongozi wake umeshuhudia kila aina ya uovu?
Kiongozi dikteta ambaye sauti yake ndiyo sera na kauli yake ndiyo sheria?
Kiongozi ambaye matumizi ya kodi zetu, yanategemea matakwa yake binafsi?
Kiongozi ambaye anawajibika kwake tu na hahitaji ushauri wowote kwa yeyote?
 

Kuna swali najiuliza hivi watu wote wanaopotea, wanaouwawa, wanaotekwa, wanaojeruhiwa wanafanyiwa hivyo na serikali ya Magufuli? Nawaza kuhusu wamarekani 100 wanaokufa kwa kupigwa risasi peke yake Marekani Kwa miaka nenda rudi... je Trump ndio anawaua?

Hapo bado wanauwawa kwa njia zingine na wanaojeruhiwa, halafu mbona wazungu hawawezi sauti huko? Ni nini special kwa Tanzania?
Una uhakika waliomteka Roma na Mo ni rais na serikali yake? Wenyewe walirudi walisema hayo au ndio vile waswahili tunajua kujenga story?

Tundu alipigwa risasi kila mtanzania alisikitika na kuumia. Vyombo vya usalama vilifanya kazi kwa kiasi chake na bado liko mkononi mwao. Tundu alipita media zote ulaya kupaza sauti kwamba serikali ya Magufuli ilimpiga risasi lakini hakumwachia dereva wake kuja kuhojiwa na kumsaidia police. Wewe unaijua sababu? Yeye mwenyewe amerudi hajapeleka ushahidi wowote kuhusu Yale aliyokua akiongea, unajua sababu? Tuachie vyombo husika vifanye kazi yake kwa wakati, tuache kuongelea tusiyojua yalikofikia.

Umehujumiwa biashara gani mkuu? Najua wote tulizoea maisha flani ambayo sasa hayapo lakini tunapata vitu ambavyo hatukua navyo pia
Tuvumilie tuu hamna namna ukiwa mgonjwa dawa ni chungu ila kupona inabidi unywe tuu
 
Hujasoma sheria hivyo upumbavu wako uko wazi kabisa. Lisu kapigwa risasi na kina makonda umeiona hatua iliyoanza kuchukuliwa? Sheria huwa ina msaidia mnyonge sio wauaji na washamba Kama nyie. Maneno yote anayotamka lisu hayaana shida kisheria ila watumwa wa akili Kama wewe unaona ni uchochezi. Hivi unadhani UN hawaoni dhuluma inayofanyika ambayo likitokea la kutokea washitakiwa Ni ******** na kina zero? Mpuuzi mmoja we
 
mama D, si kawaida yangu kuwajibu watu wapuuzi lakini leo nitavunja mwiko wangu kwako, nitakujibu. Umetoa mfano wa Marekani au siyo? Marekani unaijua ama unasimuliwa tu...yaani kitendo kama kile cha Mh. Lissu kimtokee mwakilishi wa wananchi tena Mbunge (kwa Marekani wanaitwa members of Congress, muunganiko wa House na Senate) halafu maisha yaendelee kama vile hakuna kilichotokea! Kama maana yako ni hiyo nadhani wewe ni mpuuzi kuliko wapuuzi wote humu JF.

Ingekuwaa Marekani mitaa yote isingekalika hadi mhusika apatikane. Nakuapia ingekuwa Marekani haingechukua saa 24 wahusika wote wangekuwa wameshakamatwa. Natamani nikupe shule lakini kwa kuwa umethubutu kuifananisha Marekani na Tanzania, nadhani ni kazi bure hata kujaribu kukuelimisha. Congressman amiminiwe risasi kama ilivyotokea kwa Lissu tena kwenye makazi ya viongozi halafu miaka mitatu inapita...oh what's the use...than argue with your likes, I'd rather argue with a dining table, goodbye!

Watu kama wewe kambi yaenu ni CCM, hifadhi ya wajinga na wapuuzi.
 

Kama umesoma sheria bila Shaka ulipata karai...yaani hata kwenye mitandao mnavyohamasisha vurugu na mauaji ushahidi unawekwa ..ole wako uko verified member...nadhani hujui dunia inavyokwenda...unadhani walioshitakiwa kwenye mahakama ya Arusha kuhusiana na mauaji ya kimbari Rwanda 1994 wewe unafikiri wote walishika mapanga na kuua?! Wengine walikuwa Kama nyie kuhamasisha kwenye media.

Sasa kupigwa risasi kwa Lissu na madai ya kuhusika kwa huyo uliyemtaja bila Shaka mwenzetu una ushahidi mzuri kwa polisi na huko The Hague...huko utawasilisha vielelezo na suyo blah blah..umetaja UN tangu lini chombo hiki kilizungumza masuala ya Tanzania?! Nyie watu hamnazo kichwani...Yaani UN izungumzie dhuluma ya TZ??!! .ni kikao gani hicho ?! Cha security council? Au Cha General Assembly?! Tangu lini UN ikaona Kuna dhuluma Tanzania?! .stupid...very stupid indeed and idiot too...yaani mnaropoka ropoka tu...you don't know how the international system works and/ or operates...humjui masuala ya international relations...hujui dhuluma ni Nini...mmevimbiwa amani ya TZ Sasa mnataka kuleta vurugu...hamfanikiwi ng'o..this country is safe...Kuna watu wanafanya kazi usiku na mchana to make sure this country is safe...hata wewe unayeropoka nyuma ya keyboard ni kwa sababu vijana wako kazini kuhakikisha kuwa uko huru...stupid...ila ukiendelea kuhamasisha ushahidi wa maandiko ya Aina unawekwa..utakuwa candidate wa the so called The Hague...
 
Huko Marekani unakokusema watu wanaouwawa au kupotea sio kwasababu za kisiasa,pia uchunguzi huwa unafanyika na wanaokutwa na hatia hufungwa au kunyongwa!Wengi wao ni mambo ya drugs,gang fights,mapenzi,life insurance na robbery ndio vinapelekea mauaji,sio siasa!Yaani huwezi ukakuta Trump anamweka ndani mshindani wake au anaamuru mshindani wake auwawe!

Siasa za huku kwetu,wapinzani wanaonekana maadui!Wanafanyiwa unyanyasaji wa kila aina!Angalia akina Nusrat Henje,zaidi ya miezi mitatu wako ndani bila dhamana kwa kesi ya kuimba "mungu ibariki Chadema....",wakati huo huo UVCCM walioimba "Mungu mbariki Magufuli ...." wakiwa uraiani na hakuna tatizo!

Kuhusu suala la kushambuliwa Lissu kwenye makazi yenye ulinzi,hao walinzi wa geti wenye silaha walikuwa wapi?Yaani watu wanaingia makazi ya viongozi,wanamimina risasi na kuondoka salama kabisa with no trace!Kweli?Hao waliotakiwa kuwa lindoni wamehojiwa???
 
Kweli kabisa,baada ya Lissu kushambuliwa hatukuona effort yeyote kuwasaka waliohusika!Yaani maisha yakiendelea as if hakuna kitu kilichotokea!Hakuna msako wowote wala juhudi zozote zilizofanyika zaidi ya propaganda za kwenye vyombo vya habari!
Kwakweli nchi hii CCM inapaswa kuwekwa kando ili walau watu wawe waoga kufanya uhalifu dhidi ya binadamu wenzao!
 
Mwambie huyo, mimi Nipo kwe 40s, ni CHADEMA damu damu, lakini mpaka sasa sijachukua kadi ya uanachama!
 
Lissu amekamata kanda zote zenye kura nyingi. Magufuli amebaki Morogoro na dodoma tu, labd na tabora.
 
UONGO OVER, kama ni kweli tuma walau video ikionyesha hivyo ulivyovitaja nitakupa millioni,edited sio hizi tunazoziona. kubalini ukweli ili mjipange na muongeze bidii kulikwamua jahazi,mambo si shwali kaka kuna shida!
Hiyo hapooo kengeeee weweeeeeeee
Your browser is not able to display this video.
 
Hizi hasira ni za mtu aliyefele au anaelekea kufeli. Ni rebound reaction
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…