Ciril
JF-Expert Member
- Jan 10, 2011
- 8,557
- 7,160
walitafuta kuvuruga uchaguzi wetu wa leo..
Polis nao ni Tawi la CCM ,wanaogopa mpaka Bendera。
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
walitafuta kuvuruga uchaguzi wetu wa leo..
hiki chama kitachukua muda sana kushika dola mpaka kitakapowashirikisha waislamu nao,
Sent using Jamii Forums mobile app
Aulizaye ataka kujua: Molema, mbona hamkutupa kura zilizopigwa na walivyopata washindani wa leo ie Mbowe alipata ngapi na Mwambe aliata ngapi?
Hilo ndio tatizo lenu,mkipata tatizo mnataka kulinganisha na ccmHaijajulikana hasa sababu ni nini kwa sababu Chama Cha Mapinduzi kinapofanya Mkutano wake Mkuu jijini Dodoma Mji wote na viunga vyake hupambwa kwa bendera za CCM.
Atafukuzwa kwa usaliti na si kwa kugombea uenyekiti. matamshi yake hawezi kuvumiliwa hata kidogo! Aende apambane na jiwe alikotoka! Agombee na Jiwe mwaka kesho , aweke jina!Hakuna mtu wa kumtoa Mbowe kwenye kiti anachokita na baada ya Uchaguzi kumalizika, Mwambe atafukuzwa ndani ya CHADEMA!
Yaliyomkuta Zitto mwaka 2014 yanaenda kumpata Cecil Mwambe!
Hakuna mtu wa kumtoa Mbowe kwenye kiti anachokita na baada ya Uchaguzi kumalizika, Mwambe atafukuzwa ndani ya CHADEMA!
Yaliyomkuta Zitto mwaka 2014 yanaenda kumpata Cecil Mwambe!
Mpaka sasa Chadema umepoteza mwelekeo, haina uhakika hata na kiti kimoja cha udiwani. Anahutajika mtu wa kuivusha Chadema, Mbowe hana jipya, mbinu za Magufuli haziwezi kabisaaaaaaKwa maelezo yako bango namba 4 wewe hutaki Mbowe aendelee,halafu inasema kuweni makini,na kutoa rai ya kuchagua mtu anaeweza kushinda hila za CCM wenzio,si munataka upinzani ufe ndiyo maana munalipigia debe pandikizi?inawauma nini Chadema ikifa wakati ndiyo kusudio lenu?Tunampigia Mbowe(MWAMBA)ili atuvushe kwenye mto wa hila zenu za mapandikizi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna chama kinachochafua mazingira kama ccm.ccm wanaweka Bendera mpaka sehemu isiyostahili.huu Ni ubaguzi mkubwa sana.U
Hilo ndio tatizo lenu,mkipata tatizo mnataka kulinganisha na ccm
Nyie mmelipia ukumbi sio kuchafua mazingira kwa mibendera
Na zaidiMwamba Tuvushe --- MitanoTena.
Mpaka sasa Chadema umepoteza mwelekeo, haina uhakika hata na kiti kimoja cha udiwani. Anahutajika mtu wa kuivusha Chadema, Mbowe hana jipya, mbinu za Magufuli haziwezi kabisaaaaaa
Polisi Tanzania wamefanyakazi ya kukitangaza chama jana...