Yaliyojiri katika Mkutano Mkuu wa CHADEMA Desemba 18, 2019 katika Ukumbi wa Mlimani City, Dar

Yaliyojiri katika Mkutano Mkuu wa CHADEMA Desemba 18, 2019 katika Ukumbi wa Mlimani City, Dar

chagueni mtu ambaye atakuwa nasimama mbele kukiwa na yale maandamano yenu ya kijinga siyo kama mbowe anaanzisha maandamano yeye anasafiri muoga kama kunguru
 
chagueni mtu ambaye atakuwa nasimama mbele kukiwa na yale maandamano yenu ya kijinga siyo kama mbowe anaanzisha maandamano yeye anasafiri muoga kama kunguru
Kama Mbowe si tishio kwenu mbona mnaogopa Mpaka Bendera?
 
CHADEMA Inahitaji mabadiliko makubwa ya kiuongozi, kifikra, kisera na kimkakati, vinginevyo 2020 kitakufa kabisa.
Mbowe hawezi Tena, hana mbinu mpya wala mbinu mbadala za kukabiliana na kasi ya Magufuli
Tuachie Mbowe wetu tafadhal
 
Molemo,
Mkuu Tukiwa huku Mbeya macho na masikio tunaelekeza hapo M/city kuwasikiliza wenye nchi Chadema
 
CHADEMA Inahitaji mabadiliko makubwa ya kiuongozi, kifikra, kisera na kimkakati, vinginevyo 2020 kitakufa kabisa.
Mbowe hawezi Tena, hana mbinu mpya wala mbinu mbadala za kukabiliana na kasi ya Magufuli
Magufuli anafanya sana fujo uwanjani!!
Naona kama Mbowe anawapenda sana washabiki wa mchezo. (watanzania)
Kwasababu na yeye akifanya fujo, watakaoumia ni sisi.

Refa hafanyi fair uwanjani kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jana CCM tulikua na uchaguzi kwenye ukumbi wa mikutano wa AICC-Arusha.
Hatukuweka bendera hata moja njiani ila kulikua na wanachama wenye sare pekee.
 
Molemo,

Tunajua kuwa TV stations za hapa nchini TZ zinaweza kupigwa marufuku kurusha mkutano huu muhimu wa CHADEMA live hata kama watapewa fedha zote duniani kama gharama ya malipo ya matangazo......

Maana kama CCM na "baadhi" ya viongozi wake wa serikali wanayoiongoza bendera tu zimewaogopesha na kuwasababishia matumbo ya kuharisha....

Watawezaje kuhimili live coverage ya matukio ya makamanda dunia nzima wakikosoa sera na utawala huu muovu chini ya Magufuli na CCM??

Badala yake waambie wasiache kufanya LIVE STREAMING kupitia social medias mbalimbali kama YouTube, FB, Twitter, Instagram nk....

Wananchi huku Shinyanga tuna hamu sana kufuatilia hatua kwa hatua kinachojiri huko. Nawasihi wajumbe, mkifanya kosa tu kumpa Mwambe chama badala ya Mbowe, mtakuwa mmejichinjilia mbali nyie wenyewe.....!!

Kwa kifupi, CHADEMA inaendelea kupendwa tena na tena, zaidi na zaidi kotekote bila kujali wachache waliojiuza na wanaoendelea kujiuza wakidhani wana-paint picha ya kuchukiza kwa chama hiki, msifanye kosa kugeuza hii kitu upside down....

Hii ni kinyume kabisa na propaganda za kijinga zilizokwishashindwa zinazoenezwa na CCM...

Hii inathibitishwa na matendo yao wenyewe CCM kwa kuvitumia vyombo vya dola vibaya kiasi ambacho sasa imefikia hatua wanaogopa hata kivuli cha bendera tu za CHADEMA....!!

POOR CCM, POOR MAGUFULI POMBE.....!!!!!!!
 
Back
Top Bottom